synthesizere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2019
- 882
- 1,264
Wakuu ni muda sasa nadhani umefika tuanze kushinda mechi ili tujivute kupanda juu zaidi
Maoni yangu naona Auba akirudi uyu lacazete akakae tu benchi Martinel aendelee kukiwasha kushoto pale mbele akae Auba mwenyewe
Hivi cebalos wakuu ni kwamba hajamuimpress Arteta mazoezini au bado yuko majeruhi? kwa wataalam hawez kuchukua namba ya ozil pale?