Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Badilika kwenye uandishi wako mkuu maana mtu ambae alielimika shule ya msingi hawezi kutumia namna ya uandishi wako weka settings kwenye keyboard yako vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumpotezee tusijibu labda atabadilika mana wadau wengi wamemwomba sana na tena kwa busala abadili hayo maandishi anagoma. Hii pekee inaonesha jamaa si muungwana hata kidogo.
 
Badilika kwenye uandishi wako mkuu maana mtu ambae alielimika shule ya msingi hawezi kutumia namna ya uandishi wako weka settings kwenye keyboard yako vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumpotezee tusijibu labda atabadilika mana wadau wengi wamemwomba sana na tena kwa busala abadili hayo maandishi anagoma. Hii pekee inaonesha jamaa si muungwana hata kidogo.
 
MIMI SIO MNAFIKI KAMA WEWE WA KUPENDA KUSIFIWA SIFIWA AU KUSIFIA KITU BILA SABABU ZA MSINGI KUSHINDA HATUJASHINDA NA HIZO NAMBA ZINAHITAJI WATU FASTA FASTA

ULITEGEMEA LEO NITAYAPONDA MATOKEO UNASHANGAA NAYAFURAHIA SABABU MIMI SINAGA UNAFIKI UNAFIKI KAMA KITU HAKIPO SAWA NTAKISEMA TU

Sent using Jamii Forums mobile app
Maherufi makubwa yanafanya scrolling inakuwa ndefu kinoma. Unazingua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Coyg
_20200122_083500.JPG
_20200122_083441.JPG
_20200122_083355.JPG
_20200122_083335.JPG
_20200122_083314.JPG
_20200122_083210.JPG
_20200122_083148.JPG
_20200122_083109.JPG
_20200122_083131.JPG
_20200122_083021.JPG
_20200122_082628.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Xhaka : “Sikujua kama mguu wake wa kushoto uko vizuri !”

Bellerín: “Umekua vizuri kwa sababu ya upasuaji!”


#coyg
IMG_20200122_014949.jpeg
 
milangomitatu kumbe hukwenda kulala
Huyo jamaa huwa ni mwongo mwongo alituambia anatuachia wenye roho ngumu tuangalie game yeye anaenda kulala ila tulikuwa nae mpaka kipenga cha mwisho....

Nishamwelewa now so hasumbui...

Tupo pamoja nae,ni Gunner mwenzetu ila ni plastic fan....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MECHI IMEISHA YES?TUMESHINDA?HAPANA HATUJASHINDA SASA UNATAKA HAPA KUSEMA NINI?

DROO KWA ARSENAL NI MATOKEO MABOVU YA KILA SIKU MECHI 11 TUMESHINDA 2 ILA HII SARE YA LEO NAJUA DUNIA NZIMA IMEYAFURAHIA LICHA NI SARE SABABU KWANZA NI DERBY NA PIA TUMEKUWA PUNGUFU DK KAMA 60

UKITAKA TUONGEE MENGINE UTASEMA MAMLUKI ILA SARE YA LEO KWETU NI USHINDI UKIZINGATIA TUMEBAKI TOP 10 MAANA TUNGEFUNGWA TUNGEKUWA WA 13 UNAONA HALI INGEKUWAJE HAPO KUSHINDA HATUJASHINDA ILA SARE HII INAHITAJI PONGEZI WEWE LALA SISI TUNAENDELEA KUPATA BIA KUFURAHIA MATOKEO LICHA NI SARE

HALAFU MIMI SIO MNAFIKI KAMA WEWE WA KUPENDA KUSIFIWA SIFIWA AU KUSIFIA KITU BILA SABABU ZA MSINGI MIMI HUWA KAMA NI NYEUSI NI NYEUSI KAMA NI NYEUPE NI NYEUPE HUWA SIPINDISHI PINDISHI
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe tatizo lako ni moja tu,

Una mihemko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom