Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Lacazette kabeep
NIAMBIE NILICHOKIONGEA UKAONA SINA KNOWLEDGE YA FOOTBALL TUANZIE HAPA KWANZA HALAFU TUTAENDELEA MBELEMkuu kila ukiongea sana ndio unazidi kudhihirisha kwamba pengine wewe ni mnazi tu wa arsenal. Pengine huna knowledge kuhusu football
ARTETA ndio kochaBado najiuliza Dani Ceballos amekosa nini ku-fit kwenye mfumo wa Arteta?
Sent using Jamii Forums mobile app
MZEE HAUJANIJIBU BADOARTETA ndio kocha
Arteta yupo na hawa wachezaji mazoezini
Arteta tumempa hii task na timu ilikuwa katika hali mbaya.
Muacheni arteta afanye kazi yake
Yan huyu mjinga uwa anaigharimu sna team yenu.. Mm uwa najiuliza ivi kocha unampanga Mustafi kwl kbs.. Yan angetakiwa awe tyr ameuzwa sik nyng
Sent using Jamii Forums mobile app
Atacheza tu hasa nadhan kuanzia FA next weekBado najiuliza Dani Ceballos amekosa nini ku-fit kwenye mfumo wa Arteta?
Sent using Jamii Forums mobile app


Mabeki wameumia ,Yan huyu mjinga uwa anaigharimu sna team yenu.. Mm uwa najiuliza ivi kocha unampanga Mustafi kwl kbs.. Yan angetakiwa awe tyr ameuzwa sik nyng
Sent using Jamii Forums mobile app
HAHAHA NIMEZOEA TU MKUU LICHA SISI NI WAZEE WA SARE NA KUTOPATA USHINDIMilango Mitatu huwezi kuandika kwa herufi ndogo Ndugu!!!Uandishi gani huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wewe unamuona Arteta mchumba tu sio???NIAMBIE NILICHOKIONGEA UKAONA SINA KNOWLEDGE YA FOOTBALL TUANZIE HAPA KWANZA HALAFU TUTAENDELEA MBELE
Sent using Jamii Forums mobile app
Nshakujibu. Niambie wewe unamuona arteta mchumba tu???