Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

SAA NYINGINE NI HASIRA TU MZAZI SHDA NI BODI YETU NA RECRUITMENT YETU ACHA TUFURAHIE KWANZA MATOKEO KESHO NITARUDI VIZURI

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio siri uandishi wako unaboa sana, basi jaribu kuwaelewa wadau. Kwa nini uandike kwa maherufi makubwa mda wote.

It's boring, na kama unaelewa kidogo tu basi utabadilika, kama unatafuta attention basi endelea maana naona utaipata.
 
Huyu dogo beki tatu ndio sehemu anayofiti zaidi, toka aanze kucheza hiyo nafasi hajawahi fanya makosa ya kijinga! Tatizo lake ni kwenye kupiga cross tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe umeona tatizo kross tu ,ila marking anaifanya vzr sana , nadhan kuliko hata kolasinac

Tatizo kross zake ndio shida , akiimarika hapo, itakuwa poa
 
Taratibu tu ,soon Tutakaa kwenye reli

IMG_20200122_023753_144.jpeg
 
Huyu dogo beki tatu ndio sehemu anayofiti zaidi, toka aanze kucheza hiyo nafasi hajawahi fanya makosa ya kijinga! Tatizo lake ni kwenye kupiga cross tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Bukayo Saka playing well again tonight, by the way.

5/5 tackles, 3 clearances, 10/13 ground duels won, 3 free-kicks won without committing a single foul, 85% pass accuracy, 2/2 dribbles.

Other than a couple of stray crosses it was everything you want from a left-back.
IMG_20200122_024724.jpeg
 
Taarifa nyingi kutoka ufaransa zinasema Bruno Guimares anaelekea Lyon ,

Arsenal wameshindwana kwenye Kipengere ambacho Hawa Wabrazil wanataka wammiliki kwa 20% .

Tusubiri tuone kama Arsenal watashinda mbio za kumdaka Huyu fundi wa kibrazil ,japo hadi sasa 80% anaelekea Lyon .

Bruno Mwenyewe anasema

"If I am going to leave Brazil, I have to think about going to a team where I can play, evolve, play big matches & play in big championships. I'm still 22 years old, I don't have to think only about money"
IMG_20200122_025214.jpeg
 
Gabriel Martinelli made 26 sprints tonight, more than any other player on the pitch, Arsenal’s second highest coming from Lacazette & Saka (both 11 sprints), while Emerson topped for Chelsea (14 sprints). Martinelli also recorded the top speed (34.11kmh) tonight. [@charles_watts]
IMG_20200122_030144.jpeg
 
Nashangaa watu mnasema Saka anaweza muweka Saed benchi,,acheni maneno hayo bhna kumkosea the tank heshima,unajua Saed akiwa form anakua na madhara gani lakini?? Mmeshamuangakia vzr au mnasema tu,Saka sio nafas yake kweli lakin anajitahid kuzuia zuia kdgo,,hata Niles sio nafas yake anajitahid kuzuia zuia ila tutambue wote hawa saka na niles sio wapigaj wazur wa kross.. Ndo tatzo lao kuu na uingereza wao wa kijinga. Hawajitambui na kujiongeza..

Binadam pekee ambae tusipomfunga kwa mkataba mrefu sasa hiv na kumwongezea mshahara mnono anaweza kutuacha ni Martinell,,wabrazil sio wa kuaminika sana haswa wakitakiwa na timu kubwa za spain...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
All and all game ilikuwa tamu. Mabeki wameumia ndiyo maana Luis anapata namba. Well done arsenal considering all misfortunes.
We are arsenal till we die..
COYG..
 
MIMI SIO MNAFIKI KAMA WEWE WA KUPENDA KUSIFIWA SIFIWA AU KUSIFIA KITU BILA SABABU ZA MSINGI KUSHINDA HATUJASHINDA NA HIZO NAMBA ZINAHITAJI WATU FASTA FASTA

ULITEGEMEA LEO NITAYAPONDA MATOKEO UNASHANGAA NAYAFURAHIA SABABU MIMI SINAGA UNAFIKI UNAFIKI KAMA KITU HAKIPO SAWA NTAKISEMA TU

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee ukitumia herufi ndogo utafanya nini? Maybe unatengeneza identity lakini hayo maandishi yanaboa sana
 
Back
Top Bottom