Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

No attempt in first half, hii timu inahitaji reform kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
MPAKA SASA TUMEKAA POINT 6 PEKEE KUSHUKA DARAJA MANINA NEXT GAME DHIDI YA BURNLEY NA HII NI EPL HUMU MTU UKIONGEA UNAONEKANA MPINZANI ZIMEBAKI SIKU 9 DIRISHA LIFUNGWE BODI YETU NA RECRUITMENT YETU WANAKUNYWA CHAI WANAKWAMBIA HAKUNA HAYA YA NEW PLAYERS HAHAHA UNAJUA INASHANGAZA SANA HII ARSENAL YA SASA INA WANAUME WACHACHE SANA WA KUPAMBANA WENGINE NI VIVULANA VULANA NDO MAANA SIKU HIZI OPPONENTS HAWATUOGOPI KABISA WANAJUA WAKIVIPA PRESHA HIVI VIVULANA GAME INAISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mustafi playing games for this football club in the year TWO THOUSAND AND TWENTY is an embarrassment
BODI YETU NA RECRUITMENT YETU WANAKUNYWA CHAI TU NOW NDO MAANA NASEMA HATUNA NIA KUPAMBANA NA KUBEBA MAKOMBE MAKUBWA MASHABIKI WALE AMBAO WAMEFUNGWA ITIKADI WANAKWAMBIA INAHITAJI PROCESS KILA MWAKA PROCESS LEO MUSTAFI AMBAYE ALITAKIWA KUWEPI JUKWAANI AU NYUMBANI KWAKE ILA YUPO UWANJANI HALAFU UNASEMA INAHITAJI PROCESS KUBADILIKA THAT'S NONSENSE TO ME

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan mzee.. Mm uwa najiuliza sna ivi kwl bora nitafute mtt wa academy nimpange kuliko nimpange Mustafi.. Yan Mustafi ni a disaster at all costs Yan makosa yake ni mengi sna Tena sna na sik zote yana gharimu sna team ya Arsenal
The man is a Disaster .........Is not good enough for Arsenal uwezo wake ndio umeishia hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wapinzani gani wanakuja kutucheka hapa?.. Mbona wewe ndo unaongoza kuishambulia timu Kila siku? Jana tu umesema tuna wachezaji takataka!.. Hapa huwa anakuja ARV kila timu yao inaposhinda au sisi tukifungwa, pia Cash money huwa anakuja hapa lakini jamaa ni muungwana huwa anakuja kutupa pole! Wengine wanaokuja hapa huwa wanapita mara moja moja then wanasepa. Wewe ndio unaongoza kuishambulia Arsenal katika jukwaa hili!.. Mimi huwa nashabikia pia Yanga, Biashara ya Musoma na zamani kidogo nilikuwa fani wa timu yangu ya mtaani ya black people pale majumba sita Ukonga!.. Asikwambie mtu hata ingetokea timu yetu ya black people ipate nafasi ya kucheza na Simba tungebaki na matumaini yetu kuwa huenda tunaweza kuifunga Simba ingawa tunajua kuwa kuifunga simba ni kazi kubwa sana, mara zote hatukuinanga timu kila tulipokuwa tunapewa kipiga pale Air wing jeshini! Tulibaki sold na timu yetu!.. Sasa wewe hapa ndio umekuwa mnangaji mkubwa wa timu yetu mpaka wapinzani wetu hawatusemi tena maana unawasaidia kutunanga kwa unangaji uliotukuka!.. Mara oooh, wachezaji wetu ni takataka tu, mara ile timu wanaume ni wanne tu, mara ooh timu hii ni ya hovyo sana, mara timu itoe pesa isajili wachezaji wa maana!.. Sasa hata sisi tunajua matatizo ya timu yetu na tunaamini yatafanyiwa kazi.. Yaani ni sawa na unaenda mtaani halafu unaanza kumponda mke wako kuwa hajui kukata kiuno usiku kunako majambozi, au mara oooooh, mke wangu anajamba sana usiku!.. Sasa hapo wenye akili wanakuona hamnazo.. Wewe unafikiri unacholalamikia kila siku sisi hatukijui? Yaani the same story kila siku mpaka watu wanakuwa bored. Sasa kama ulikuwa hujui timu zenye mashabiki wenye umri wa miaka kuanzia 30 hadi 50 ni Arsenal na Man u, mashabiki wa man city na chelsea ni wa juzi tu!.. Hapa kuna watu wanaijua Arsenal kuanzia ile Arsenal ya 1996!.. Ile Arsenal ya akina wiltod, tony adams na yule mchawi wa kiholanzi Dennis Beckamp!.. Sasa unapolalamika sana hapa mara oooh, naijua Arsenal tangu zaman, kwani unafikiri kuna shabiki wa Arsenal wa juzi hapa?.. Ndani ya hili jukwaa kuna waxheza mpira maarufu wa simba na yanga, pia kuna makocha nguli humu ndani! Usishangae hata JPM anaweza kuwa humu na anaifuatilia Arsenal!.. Sasa unaposema wapinzani wantushambulia hapa, mimi nabaki nakushangaa tu maana sisi sote tunapita humu!.. Nimefuatilia sana hoja zako nimegundua hujui kuwaelewesha watu kuamini kile unachoamini na unatumia hoja za nguvu badala ya nguvu ya hoja!.. Kiukweli toka uanze kuchangia hapa jukwaani, jukwaa limegeuka kuwa kero na sio tena jukwaa la sisi wana Arsenal kupeana faraja na up dates za timu yetu!.. Tafadhali toa mchango wako ambao ni constructive kwa jukwaa hili na sio kubomoa, toa mchango wako ambao utatujenga na kuimarisha umoja wetu na sio kutunanga!.. Siku hizi naona wapinzani wetu wamekuwa wanakuja hapa kukuunga mkono!.. Hivi kweli wewe huwa hujiulizi why wana gunners hawaku-support hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
ULIULIZA JANA WHY WANA ARSENAL WENZANGU HAWANISAPOTI SIO WOTE ILA WANAOJITAMBUA WANAELEWA ILA AMBAO HAWANIELEWI TUTAENDELEA KUELEWANA MBELE YA SAFARI NAKUTAKIA USIKU MWEMA NAWAACHIA WENYE ROHO NGUMU MUIMALIZIE HII GAME SIONI KAMA KUNA JIPYA NA BADO TUPO PUNGUFU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Luiz hakupaswa kufanya ile faul, angekubali goli liingie halafu iendelee kupambana 11vs11
Ni kwl lkn akil ya Luiz na ya Mustafi hazipishani sna mbl kwny kudefend 1 on 1 au kutoa boko..kwa ufup wote ni wajinga wa kiwango cha juu sna.. Kwa Beki hii arsenal mtapata sna Tabu.. Sema tu uwa mnapata nafuu kwa sbb ya Auba akiwa mbele anafunga vinginevyo mngekua Sijui wap tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom