Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama nilivyosema mchana baado hatuna consistency nzr tupo kwenye kipindi cha mpito so mpira ni burudani twende tupate burudani...tumejitahidi sana kupata point moja,

fans wa Chelsea wameumia sana Kukosa point 3...

Arteta anajua nn anafanya yupo sahihi kabisa maamuzi yake....sioni makosa ya wazi kwa arteta

IMG-20200122-WA0015.jpeg
 
Huyu dogo kipindi anasajiliwa watu waliubeza uongozi sana hasa walivyoangalia bei yake aliyosajiliwa na ligi division aliyotokea.... Ila mpaka kufikia muda huu nadhani ni usajili bora zaidi kwa dirisha kubwa lililopita... Maoni yangu hayo...am I right?
Upo sahihi kabisa ,walimbeza sana

Oho makinda wanini mbona wapo wengi ,wanasahau anatoka Brazil sio hawa waingereza kama kina lingard, nelson

Ni £6m tu
IMG-20200122-WA0016.jpeg
 
Xhaka kwa kweli kafanya kazi sana

Granit Xhaka presenting Héctor Bellerín with his Man of the Match award in the post-match interview: “I didn’t know he had a good left foot!”

Bellerín: “It’s better after the operation!”

@HectorBellerin
IMG_20200122_014949.jpeg
 
MECHI IMEISHA YES?TUMESHINDA?HAPANA HATUJASHINDA SASA UNATAKA HAPA KUSEMA NINI?

DROO KWA ARSENAL NI MATOKEO MABOVU YA KILA SIKU MECHI 11 TUMESHINDA 2 ILA HII SARE YA LEO NAJUA DUNIA NZIMA IMEYAFURAHIA LICHA NI SARE SABABU KWANZA NI DERBY NA PIA TUMEKUWA PUNGUFU DK KAMA 60

UKITAKA TUONGEE MENGINE UTASEMA MAMLUKI ILA SARE YA LEO KWETU NI USHINDI UKIZINGATIA TUMEBAKI TOP 10 MAANA TUNGEFUNGWA TUNGEKUWA WA 13 UNAONA HALI INGEKUWAJE HAPO KUSHINDA HATUJASHINDA ILA SARE HII INAHITAJI PONGEZI WEWE LALA SISI TUNAENDELEA KUPATA BIA KUFURAHIA MATOKEO LICHA NI SARE

HALAFU MIMI SIO MNAFIKI KAMA WEWE WA KUPENDA KUSIFIWA SIFIWA AU KUSIFIA KITU BILA SABABU ZA MSINGI MIMI HUWA KAMA NI NYEUSI NI NYEUSI KAMA NI NYEUPE NI NYEUPE HUWA SIPINDISHI PINDISHI
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo umelewa!.. Endelea kumalizia bia zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Our first teenager to score 10 goals in a single season since Nicolas Anelka in 1998/99...

Gabriel Martinelli: baller

Nasemaje fundi haangaliwi kwa mechi 10 kama hao sijui wakina WILLOCK
IMG-20200122-WA0023.jpeg
 
Unamaanisha saka?

Saka ile sio namba yake , japo timu ya taifa ya vijana anacheza beki ya kushoto, ila ana lack ya kupiga cross

Martinel ili umfaidi vizuri acheze na beki wa kushoto anayetia kross kila muda ,anaweza kupiga hata goli 5
Yeah Saka sorry, najua dogo sio LB, Ila hata Cole, Lauren mabeki wetu bora wa Invincible ile hawakuanza Career zao kwenye nafasi hizo.

Still Saka yupo raw Ila ana potential fulani kwenye kukaba na kupandisha mipira. Sioni haja ya yule Kurzawa tunayemtaka atakuja kuua kipaji cha dogo.

Pia sioni Saka akitoboa kama Winga kule mbele kuliko anapocheza sasa. Kule mbele atamuweka benchi nani?

Mawazo yako kama yangu

Ila kurzawa anakuja June ,nadhan kolasinac anauzwa , pia Saka sio natural LB
 
Martinelli made 26 sprints tonight, more than any other Arsenal player on the pitch. The second highest? Saka and Lacazete with 11. Chelsea's highest was Emerson with 14.

Martinelli also clocked the top speed of the night. 34.11 (kmh).
IMG_20200122_021528.jpeg
 
Yeah Saka sorry, najua dogo sio LB, Ila hata Cole, Lauren mabeki wetu bora wa Invincible ile hawakuanza Career zao kwenye nafasi hizo.

Still Saka yupo raw Ila ana potential fulani kwenye kukaba na kupandisha mipira. Sioni haja ya yule Kurzawa tunayemtaka atakuja kuua kipaji cha dogo.

Pia sioni Saka akitoboa kama Winga kule mbele kuliko anapocheza sasa. Kule mbele atamuweka benchi nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dogo beki tatu ndio sehemu anayofiti zaidi, toka aanze kucheza hiyo nafasi hajawahi fanya makosa ya kijinga! Tatizo lake ni kwenye kupiga cross tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom