Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu Ozil alitakiwa asirudi uwanjani timu inavyoingia kutoka mapumziko.....bora angeanza Dani,

Sent using Jamii Forums mobile app
HAHAHA TUTAELEWANA TU NAKWAMBIA HATUNA NAMBA 10 SISI HUYU KAZEEKA TUNAISHI KWA HISTORIA YAKE MNASEMA MIMI MAMLUKI NA MATTEO NDO KAINGIA BIASHARA INAZIDI KUFIFIA

DANI YUPO MTAALAMU HAMCHEZESHI HUYU NAYE ARTETA NI ANAJITAKA KUJIFANYA NI GUARDIOLA WAKATI NI MCHUMBA TU
Sent using Jamii Forums mobile app
 
TUSHINDE SASA HAPA NDO PANA SHDA ASTON VILLA BOURNEMOUTH SOUTHAMPTON WALE WOTE WALIOPO CHINI WANAZIDI KUSHINDA WANATUSOGELEA TU 6 POINTS FROM RELEGATION MSIMU HUU MBAYA SANA ARTETA AMTAFUTE WENGER AMPE MBINU

Sent using Jamii Forums mobile app
Amini kwamba hili nalo litapita.....hivi uliiona Monaco ile ya kina Mbappe,Lema,Bakayoko na Bernado???? Then ile ya last season aliyokuwa nayo Henry????ndio maana halisi ya shida na raha.

So enjoy soccer brother.....

ONCE A GUNNER ,ALWAYS A GUNNER.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAHAHA TUTAELEWANA TU NAKWAMBIA HATUNA NAMBA 10 SISI HUYU KAZEEKA TUNAISHI KWA HISTORIA YAKE MNASEMA MIMI MAMLUKI NA MATTEO NDO KAINGIA BIASHARA INAZIDI KUFIFIA

DANI YUPO MTAALAMU HAMCHEZESHI HUYU NAYE ARTETA NI ANAJITAKA KUJIFANYA NI GUARDIOLA WAKATI NI MCHUMBA TU
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anayebisha kuhusu ubovu wa viwango vya wachezaji wetu,tatizo ndio tulionao sasa ni lazma tuwasapoti mzee,
Hii ndio Arsenal yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAHAHA TUTAELEWANA TU NAKWAMBIA HATUNA NAMBA 10 SISI HUYU KAZEEKA TUNAISHI KWA HISTORIA YAKE MNASEMA MIMI MAMLUKI NA MATTEO NDO KAINGIA BIASHARA INAZIDI KUFIFIA

DANI YUPO MTAALAMU HAMCHEZESHI HUYU NAYE ARTETA NI ANAJITAKA KUJIFANYA NI GUARDIOLA WAKATI NI MCHUMBA TU
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado najiuliza Dani Ceballos amekosa nini ku-fit kwenye mfumo wa Arteta?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAHAHA TUTAELEWANA TU NAKWAMBIA HATUNA NAMBA 10 SISI HUYU KAZEEKA TUNAISHI KWA HISTORIA YAKE MNASEMA MIMI MAMLUKI NA MATTEO NDO KAINGIA BIASHARA INAZIDI KUFIFIA

DANI YUPO MTAALAMU HAMCHEZESHI HUYU NAYE ARTETA NI ANAJITAKA KUJIFANYA NI GUARDIOLA WAKATI NI MCHUMBA TU
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kila ukiongea sana ndio unazidi kudhihirisha kwamba pengine wewe ni mnazi tu wa arsenal. Pengine huna knowledge kuhusu football
 
Back
Top Bottom