Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

gunners wenzangu hata ROMA haikujengwa kwa siku moja tukaze mioyo
football ni tactics na inachukua muda mpaka kulaydown foundation ya tactic ktk timu husika..
unaweza ukawa na tactics nzuri ukakosa wachezaji wazuri vilevile unaweza ukawa na wachezaji wazuri ukakosa tactics so its all about finding the balance

once gooner always gooner

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala hujakosea , Soon tutajenga team ya ushindani

Team ipo kwenye mikono salama ya Arteta
 
Pictured here is Charlie Patino, who is 16 Years Old training with the Arsenal First Team.

He plays in the Central Midfield role and is of Spanish origin.

Some say Mikel Arteta likes him as he reminds him of Fàbregas...
IMG_20200118_071208.jpeg
IMG_20200117_184602.jpeg
 
Huyu kijana chini ya Arteta anacheza vzr , na kuna uwezekano akachukua namba moja kwa moja ya bellerin
FB_IMG_1579321014672.jpeg
 
Kurzawa kujiunga mwishino mwa msimu June

According to France Football information Kurzawa will join Arsenal in June on a free. Player is in advanced negotiations with agreed and both parties close to agreeing a 5 year deal for Kurzawa to join Arsenal in June .
Daah hili deal lingekua poa kama angekuja January hii, jinamizi la left back bado linaendelea kutuandama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It makes sense to sign Layvin Kurzawa from PSG next summer for free. With Tierney back to training now, we don't need Kurzawa now. But Kolasinac who earns around 100k a week out while we receive between 20-25m while getting Kurzawa on 70k a week for free makes a lot of sense.
 
Ni Juni na sio Januari

Kwa mujibu wa Jarida la Michezo la nchini Ufaransa , France Football , Layvin Kurzawa amekubali mkataba wa miaka mitano na Arsenal na anatarajiwa kujiunga na Gunners majira ya kiangazi pindi mkataba wake utakapofikia tamati mwezi Juni 2020.

Kurzawa - Juni
Saliba - Juni (huyu alisajiliwa na Emery )

Kikosi kinaanza kusukwa upya na Arteta
IMG-20200118-WA0001.jpeg
 
AINS-MAINTLAND NILES HUYU KIJANA HUWA ANAKUMBWA NA NINI?

niles ni muingereza huyu pengine ndio product za hale end hizi alianza kupewa senior team debuts chini ya wenger

ila number yake asilia ni CM huyu sema kabarikiwa tu kupata ile kitu tunaita versatility ( kiraka)

cheza yake yote niles kwa asilimia kubwa anacheza kama versatile player na sio nafasi yake halisia anajitahidi

baadhi ya game kweli unaona ana ambition na aggresive kiuchezaji lakini niles amekuwa inconstent hayupo kwenye kiwango kile kile muda mrefu

lakini chini ya arteta naona kadilika kiasi je ataweza kuwa static kwenye kiwango alicho nacho kwa sasa au atarudi kule anapokuwa?

FB_IMG_1579321014672.jpeg
 
HUGE BOOST KUELEKEA GAME YA SHEFFIELD UNITED

Source : arsenal website
Visit : www.arsenal.com

LUCAS_TORREIRA

Taarifa inasema yupo fiti na atakuwepo kwa ajili ya machaguo ya game hiyo ya sheffield united emirates

Ni kwamba alipata minor injury ya misuli tu lakini taarifa ya dactari ni hiyo hapo yupo available for selection

SAED_KOLASNAC

Huyu hatokuwepo game hiyo sababu anasumbuliwa na maumivu ya paja la kushoto

Tutegemee saka kucheza LB sio mbaya ni swala la kupambana hard working

IMG-20200117-WA0017.jpeg
 
AINS-MAINTLAND NILES HUYU KIJANA HUWA ANAKUMBWA NA NINI?

niles ni muingereza huyu pengine ndio product za hale end hizi alianza kupewa senior team debuts chini ya wenger

ila number yake asilia ni CM huyu sema kabarikiwa tu kupata ile kitu tunaita versatility ( kiraka)

cheza yake yote niles kwa asilimia kubwa anacheza kama versatile player na sio nafasi yake halisia anajitahidi

baadhi ya game kweli unaona ana ambition na aggresive kiuchezaji lakini niles amekuwa inconstent hayupo kwenye kiwango kile kile muda mrefu

lakini chini ya arteta naona kadilika kiasi je ataweza kuwa static kwenye kiwango alicho nacho kwa sasa au atarudi kule anapokuwa?

View attachment 1326542

I normally doubt his decision making
 
Back
Top Bottom