Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Messages
8,570
Points
0

Game Theory

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2006
8,570 0
1.png


Full name: Arsenal Football Club

Nickname(s): The Gunners

Founded: 1 December 1886

League: Premier League

Website: arsenal.com


1.jpg

Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch 105m x 68m


1.jpg

Owners: Stan Kroenke na Alisher Usmanov

1.jpg

Chairman: Sir John Chippendale "Chips" Lindley Keswick


Interim Head Coach: Freddie Ljungberg​


Arsenal Trophies:
League Tittles: 13

First Division/Premier League Champions: 13 (1930/31, 1932/33, 1933/34, 1934/35, 1937/38, 1947/48, 1952/53, 1970/71, 1988/89, 1990/91, 1997/98, 2001/02, 2003/04)

European Trophies: 1
UEFA Cup Winners': 1 (1993/94)

FA Cup Trophies: 13 (1929/30, 1935/36, 1949/50, 1970/71, 1978/79, 1992/93, 1997/98, 2001/02, 2002/03, 2004/05, 2013/14, 2014/15, 2016/17)

League Cup: 2 (1986/87, 1992/93)

Community Shield: 15
FA Charity Cup/FA Community Shield: 15 (1930, 1931, 1933, 1934, 1938, 1948, 1953, 1991, 1998, 1999, 2002, 2004, 2014, 2015, 2017)

Other Trophies
League Centenary Trophy: 1 (1988)
Inter-Cities Fairs Cup: 1 (1969/70)


1.jpg

Arsenal Football Club celebrate as they Crowned The Emirate FA Cup Winners(2017)

Follow this thread for team updates!
 

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Messages
7,550
Points
2,000

DullyJr

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2011
7,550 2,000
DUH AISEE WEWE NI KICHAA NAONA HATUELEWANI NIMESEMA WACHEZAJI WENGI WA EUROPE(WAZUNGU ACHANA NA NGOZI NYEUSI WA EUROPE) WENGI WANAPANDISHWA THAMANI WAONEKANE WAZURI WAKATI VIWANGO HAFIFU

HALAFU HAO WOTEE ULIOWATAJA YAANI WENGI NI WA SOUTH AMERICA NA AFRICA AMBAO NIMEKWAMBIA NI FIGHTERS WAKISAJILIWA HUWA WANA FIGHT MNO SASA HILI MIMI NIMEPINGA?ANGALIA UKICHAA WAKO

NAMALIZIA KWA KUSEMA ARSENAL INAHITAJI USAJILI ILA ISAJILI WACHEZAJI MASHOKA WANAUME YAANI FIGHTERS WENYE KUPAMBANA NA AMBAO WANAFAHAMIKA SANA HATA SISI MASHABIKI TUKISEMA ANASAJILIWA TUNAFURAHI MBONA WAKATI AUBA NA LACA WANATAKA KUSAJILIWA HAMNA MTU ALIYEPINGA??SABABU ILIKUWA CV ZAO ZINASOMEKA EXCELLENT!!! HAPA PIA NIMEONYESHA UKICHAA WAKO WA KUTONIELEWASent using Jamii Forums mobile app
Kurzawa,erriksen,shaqiri,robertson,daniel james, ni waamerika ???kweli wewe ni pungu1...na hujui hata unachokilalamikia,narudia kusema tena kama unataka wanaume weka namba za simu mkuu....watakuja tu na watakata kiu yako......

Sent using Jamii Forums mobile app
 

milangomitatu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
1,485
Points
2,000

milangomitatu

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
1,485 2,000
Kurzawa,erriksen,shaqiri,robertson,daniel james, ni waamerika ???kweli wewe ni pungu1...na hujui hata unachokilalamikia,narudia kusema tena kama unataka wanaume weka namba za simu mkuu....watakuja tu na watakata kiu yako......

Sent using Jamii Forums mobile app
NIAMBIE HAWA ULIOWATAJA NANI ANA UWEZO WA KUJA KUISAIDIA ARSENAL YA SASA?SHAQIRI?DANI JAMES?HEHEHE ACHA MASIHARA BASI HAPO HAKUNA WACHEZAJI NI MAJINA TU UMETAJA HAYO HAO WOTE TIMU ZAO WANAKAA BENCHI UKIACHANA NA ROBERTSON AMBAYE ANGALAU AMEPATA BAHATI YA MTENDE HAPO BADO HUJATAJA WATU WA SHOKA AISEE TULIZA KICHWA UKIWA UNAANDIKA BASI WE CHIZISent using Jamii Forums mobile app
 

milangomitatu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
1,485
Points
2,000

milangomitatu

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
1,485 2,000
BAADA YA OZIL KUONGEA HATA MASHABIKI WENGI WAPO KAMA MIMI OZIL HAWEZI KUTUSAIDIA SABABU ANAJUA ANALIPWA HELA NYINGI NA HATAKI KUONDOKA SABABU HYO NA BADO MKATABA ANAO ILA MTU AMBAYE MISIMU MIWILI TOKA MSIMU WOTE ULIOPITA HADI HUU WA SASA UNAOENDELEA ANA ASSIST KAMA 6 NA GOLI 1 KAMA SIJAKOSEA BADO HATUTAKUWA NA JPYA LAZIMA TUSAJILI MWANAUME NAMBA 10 FIGHTER ILI KUWALISHA FRONT THREE WETU HAPO
20200116_144353.jpeg
20200116_144323.jpeg
20200116_144258.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments:

scrappy

Senior Member
Joined
Apr 8, 2019
Messages
196
Points
250

scrappy

Senior Member
Joined Apr 8, 2019
196 250
BAADA YA OZIL KUONGEA HATA MASHABIKI WENGI WAPO KAMA MIMI OZIL HAWEZI KUTUSAIDIA SABABU ANAJUA ANALIPWA HELA NYINGI NA HATAKI KUONDOKA SABABU HYO NA BADO MKATABA ANAO ILA MTU AMBAYE MISIMU MIWILI TOKA MSIMU WOTE ULIOPITA HADI HUU WA SASA UNAOENDELEA ANA ASSIST KAMA 6 NA GOLI 1 KAMA SIJAKOSEA BADO HATUTAKUWA NA JPYA LAZIMA TUSAJILI MWANAUME NAMBA 10 FIGHTER ILI KUWALISHA FRONT THREE WETU HAPO View attachment 1324991 View attachment 1324995 View attachment 1324996

Sent using Jamii Forums mobile app
we jamaa kutwaa nzima unalalamika tu. pereka malalamiko kwa josh kroenk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Messages
7,550
Points
2,000

DullyJr

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2011
7,550 2,000
NIAMBIE HAWA ULIOWATAJA NANI ANA UWEZO WA KUJA KUISAIDIA ARSENAL YA SASA?SHAQIRI?DANI JAMES?HEHEHE ACHA MASIHARA BASI HAPO HAKUNA WACHEZAJI NI MAJINA TU UMETAJA HAYO HAO WOTE TIMU ZAO WANAKAA BENCHI UKIACHANA NA ROBERTSON AMBAYE ANGALAU AMEPATA BAHATI YA MTENDE HAPO BADO HUJATAJA WATU WA SHOKA AISEE TULIZA KICHWA UKIWA UNAANDIKA BASI WE CHIZISent using Jamii Forums mobile app
Wewe punguONE sasa hivi ukipost usengerema wako tunakupa dozi mpaka hao funza kichwani mwako waishe wote.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

milangomitatu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
1,485
Points
2,000

milangomitatu

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
1,485 2,000
Wewe punguONE sasa hivi ukipost usengerema wako tunakupa dozi mpaka hao funza kichwani mwako waishe wote.....

Sent using Jamii Forums mobile app
NAJUA HAUNA AKILI ZA KUCHAMBUA MAMBO HVYO TUTAENDA HIVI HIVI HADI TUTAELEWANA PENYE UKWELI NTASEMA UKWELI PALE NAPOONA HAPA SIPO NTAPAREKEBISHA TUTAELEWANA TU MTU MWENYE AKILI NDOGO KAMA WEWE USIYEJUA KUCHAMBUA MAMBO NI LAZIMA TWENDE TARATIBU TARATIBU TUELEWANE


Sent using Jamii Forums mobile app
 

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Messages
18,483
Points
2,000

radika

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2014
18,483 2,000
DUH AISEE WEWE NI KICHAA NAONA HATUELEWANI NIMESEMA WACHEZAJI WENGI WA EUROPE(WAZUNGU ACHANA NA NGOZI NYEUSI WA EUROPE) WENGI WANAPANDISHWA THAMANI WAONEKANE WAZURI WAKATI VIWANGO HAFIFU

HALAFU HAO WOTEE ULIOWATAJA YAANI WENGI NI WA SOUTH AMERICA NA AFRICA AMBAO NIMEKWAMBIA NI FIGHTERS WAKISAJILIWA HUWA WANA FIGHT MNO SASA HILI MIMI NIMEPINGA?ANGALIA UKICHAA WAKO

NAMALIZIA KWA KUSEMA ARSENAL INAHITAJI USAJILI ILA ISAJILI WACHEZAJI MASHOKA WANAUME YAANI FIGHTERS WENYE KUPAMBANA NA AMBAO WANAFAHAMIKA SANA HATA SISI MASHABIKI TUKISEMA ANASAJILIWA TUNAFURAHI MBONA WAKATI AUBA NA LACA WANATAKA KUSAJILIWA HAMNA MTU ALIYEPINGA??SABABU ILIKUWA CV ZAO ZINASOMEKA EXCELLENT!!! HAPA PIA NIMEONYESHA UKICHAA WAKO WA KUTONIELEWASent using Jamii Forums mobile app
Henry,vieira na anelka ni usajili ambao arsenal waliufanya halafu mashabiki hawakujua kama watakuwa majembe usajili unaweza fanywa na kocha nyie mashabik mkabak gizani angalia usajili wa Georginio Wijnaldum huo ni mfano tu anapiga kazi ya maana kushinda wale tulikuwa tunajua wanamajina
 

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
16,297
Points
2,000

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
16,297 2,000
Mchezaji mzuri sio pesa wewe acha ukilaza,kupata mchezaji mzuri ni jicho tu....
Unaweza mwaga mapesa ukaambulia patupu.....unasema mchezaji wa 10m-15m ni kilaza????Gabriel ni kilaza?Erriksen ni kilaza?Kurzawa?Cavani?D.James?Robbertson?Minamino?Shaqiri?
Bei ya mchezaji inaathiriwa na mambo mengi ikiwemo mkataba.....

Hujui hata Mahrez,na Kante walinunuliwa kwa bei gani na leicester.....

Hujui lolote kuhusu soka na makorokoro yake,wewe umekalia kulalama tu na kutaka wanaume,yaani kilio chako ni wanaume tu....weka mawasiliano ndugu utawapata.
Ndio maana nasemaga wewe ni wakupuuzwa ila tutakuelimisha mdogomdogo usijali.Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa tumuache
 

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
16,297
Points
2,000

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
16,297 2,000
KURZAWA TO ARSENAL

ANAKUJA KUZIBA NAFASI YA LEFT BACK AMBAYO KIERAN TIERNY ANA INJURY. NA KOLASINAC ANASUMBULIWA NA INJURY YA KILA MARA


SOURCE:DAVID ORNSTEIN


Arsenal in advanced talks to sign PSG left-back Layvin Kurzawa. Negotiating today over deal for this window. Free agent in summer so trying to do it now without fee. #AFC working on 3-4 loan / free / low fee deals (doesn’t mean will do all) @TheAthleticUK: Arsenal in advanced talks to sign Layvin Kurzawa, PSG's...
IMG_20200115_220616.jpeg
 

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
16,297
Points
2,000

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
16,297 2,000
KAMA ARTETA ALIVYOSEMA JANUARY NI DIRISHA TACTICAL NA GUMU , HIVO WATAONGEZA WATU WACHACHE KWA AJIRI YA KUZIBA BAADHI YA NAFASI , NA DIRISHA KUBWA NDIPO UTAFANYIKA USAJIRI MKUBWA.


David Ornstein kasema Tunaweza kuleta wachezaji watatu hadi wanne kwa January hii ,ambao ni Loan au small fees.

NAFASI ZINAZOANGALIWA NI BEKI WA KATI. ,KIUNGO WA KATI WA KUMSAIDIA LUCAS TOREIRADavid Ornstein:

Arsenal hope to do more in coming business in Jan and are working on 3/4 deals mostly on loan or small fees. Arsenal (apart from a full back) expected to turn their focus on Central midfield & Central defence
arsenalbongo_-20200111-0001.jpeg
 

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
16,297
Points
2,000

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
16,297 2,000
RAUL YUPO UFARANSA ANA NEGOTIATE DEAL LA KURZAWA

Arsenal in advanced talks over Layvin Kurzawa deal - Raul Sanllehi leading the discussions.
Club working on three to four low-cost deals.

From @David_Ornstein and @jamesmcnicholas

 

Forum statistics

Threads 1,392,088
Members 528,540
Posts 34,098,039
Top