ARSENAL VS SHEFFIELD_UNITED
Stadium: Emirates_stadium[emoji342]
Time : 18:00EAT[emoji355](kesho)
[emoji625]mtazamo wangu ni huu hapa[emoji116]
[emoji871] kati ya game ngumu basi hii ni moja wapo licha kwamba tupo nyumbani hii team ya sheffield imejengeka mno kwa misingi ya kiulinzi[emoji2]
[emoji871] yani wapo #organised sana ni kati ya team ambazo ni ngumu kuzifunga wakicheza counter attacks na kwa haraka mno
[emoji871] ukifatilia trending yao ya matokeo sio mbovu je kipi kifanyike upande wetu tuweze pata matokeo chanya
[emoji871] kwa vile hawa jamaa wapo well organised in defending basi tunatakiwa kuwalazimisha kucheza tunavyohitaji sisi
[emoji871] kadri unavyoongeza flow ya team in attacking minded ndio unaruhusu makosa mengi yatokee kwa mpinzani hvyo
[emoji871] tunatakiwa kushambulia kwa mda mrefu zaidi hii itatupa haueni kublock defence yao pengine itatusaidia kuwanyima wao uhuru wa kukaa na mpra
[emoji871] kwa vile ni wazuri kwenye counter attacks basi tunatakiwa kufanya quick pressing na ground coverage kubwa kuwanyima nafasi wao kupiga mipira mirefu hiyo
[emoji871] natumai kocha anajua cha kufanya ndio bila wasi wasi ila inabidi tuwe makini zaidi kiuchezaji
#Hatutoki_na_hatuhami