Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
SVEN mtu sana yule jamaa , kwa £70m tu aliwaleta kina Leno, Lt11 , Mateo, na sokratisKatika siku nilisikitika kwa arsenal basi ni kuondoka kwa sven hapo ndio nilianza kumchukia zaidi unai
Edu viatu kwake vikubwa havimtoshi,
Sven alikuwa poa sana , Emery akamletea nongwa ,