Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Umesema ukweli, lakini Hapana nakataa kuwa Arsenal imekosa mchezaji mzuri wa kufit nafasi hiyo kwa dirisha hili, its all about economizing, hii timu yetu naijua vizuri, hapo wamepiga hesabu kuna group of young players so wakimleta boateng kushirikiana na luiz watasaidia in short run then watakuwa wamesha add experience kwa hawa Young players, halafu mikataba yao ikiisha wawaache huru kufree wage bills, im sure Arsenal isiposajili beki mdogo january hii hata summer hawawezi sajili beki, sababu hata Saliba atakuwa amerudi, nakuhakikishia hilo.Hesabu za CB wanazopiga bodi kwa long term ni kuhusu Dinos,Saliba,Chambers,Holding basi.
Dinos will be sold soon, he is injury prone
 
Hujielewi wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hiyo unaetukana watu hapa tena matusi ya nguoni wewe ndio unajielewa!... Hebu jaribu kuwa mstaarabu, kwa kutambua thamani ya utu wa binadamu mwenzako!. Yaani ushabiki tu wa mpira usababishe matusi makubwa hivi toka kwako!.. Hebu jifunzeni kuwa na tunu ya upendo na hakika tutabarikiwa sana... Karibu tujumuike pamoja katika Sabato takatifu ya leo!.. TUBARIKIWE SOTE HUMU NDANI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ARSENAL NA CHELSEA KATIAK BATTLE .YA KUMNASA BRUNO GUIMARES ....

..Mjue huyu Bruno Guimares Rodriguez Moura..... Mzaliwa wa Rio de Janeiro ......mwaka 1997 November miaka 22 Taifa Brazil.......

Maisha ya soka yameanzia CD Audax ....na baadae .kuhamia Atletico paranese .....2017 ....

.Bruno Guimares na matheus Henrique wamekuwa viungo bora ndani ya miaka 2 mfululizo ...... Namuona Ramsey katika sura ya kibrazil ni anacheza namba tofaut katika eneo LA kiungo..

ni central midfielder

ni central defensive midifilder

ni box to box Bruno

ni mzuri katika ball retention waliomuangalia iniesta vizuri wataelewa hiii sentensi .....

.ana good work ethic is atlethetic ....

.uwezo mzur wa kukaba .....

. Upigaji mzuri wa pass ....udambwi (you tube) ....

.anapatikana kwa 22m pauni pesa ya madafu .......

.. By Paparazzi From south AmericaView attachment 1311947
SHDA YA ARSENAL NI HII TETESI TETESI MWEZI UNAISHA KIMYA KINAPITA KAMA HATUTASAJILI WACHEZAJI MWEZI HUU NA TUKAENDELEA KUBAKI NA VITOTO HIVI BILA KUWAPELEKA KWA MKOPO BASI MASHABIKI HUKO ULAYA WAKIENDELEA KWENDA UWANJANI WATAKUWA WAPUMBAVU MAANA BODI WAO WANAKULA RAHA NA PESA ZA MASHABIKI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mnavyoita wenzenu nyumbu huwa mnasifia au mnatukana
Kwa hiyo hiyo unaetukana watu hapa tena matusi ya nguoni wewe ndio unajielewa!... Hebu jaribu kuwa mstaarabu, kwa kutambua thamani ya utu wa binadamu mwenzako!. Yaani ushabiki tu wa mpira usababishe matusi makubwa hivi toka kwako!.. Hebu jifunzeni kuwa na tunu ya upendo na hakika tutabarikiwa sana... Karibu tujumuike pamoja katika Sabato takatifu ya leo!.. TUBARIKIWE SOTE HUMU NDANI

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ARSENAL NA CHELSEA KATIAK BATTLE .YA KUMNASA BRUNO GUIMARES ....

..Mjue huyu Bruno Guimares Rodriguez Moura..... Mzaliwa wa Rio de Janeiro ......mwaka 1997 November miaka 22 Taifa Brazil.......

Maisha ya soka yameanzia CD Audax ....na baadae .kuhamia Atletico paranese .....2017 ....

.Bruno Guimares na matheus Henrique wamekuwa viungo bora ndani ya miaka 2 mfululizo ...... Namuona Ramsey katika sura ya kibrazil ni anacheza namba tofaut katika eneo LA kiungo..

ni central midfielder

ni central defensive midifilder

ni box to box Bruno

ni mzuri katika ball retention waliomuangalia iniesta vizuri wataelewa hiii sentensi .....

.ana good work ethic is atlethetic ....

.uwezo mzur wa kukaba .....

. Upigaji mzuri wa pass ....udambwi (you tube) ....

.anapatikana kwa 22m pauni pesa ya madafu .......

.. By Paparazzi From south AmericaView attachment 1311947
Huyu hapa

Brazil wachezaji hawaishi, halafu ni vipaji sasa, yaani ukilegeza tu unakalishwa benchi.
 
Kwa hiyo hiyo unaetukana watu hapa tena matusi ya nguoni wewe ndio unajielewa!... Hebu jaribu kuwa mstaarabu, kwa kutambua thamani ya utu wa binadamu mwenzako!. Yaani ushabiki tu wa mpira usababishe matusi makubwa hivi toka kwako!.. Hebu jifunzeni kuwa na tunu ya upendo na hakika tutabarikiwa sana... Karibu tujumuike pamoja katika Sabato takatifu ya leo!.. TUBARIKIWE SOTE HUMU NDANI

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana kwa hekima na ushauri wako

Nikutakie sabato njema , Karibu Siku moja tusali wote Hapa Ubungo hill
 
A weekend without a game

But we'll keep working on the training pitches

#EmiratesFACup Arsenal on Twitter
IMG_20200104_145826.jpeg
IMG_20200104_145817.jpeg
IMG_20200104_145800.jpeg
IMG_20200104_145756.jpeg
 
Lucas Torreira kapokonya mipira mingi ndani ya michezo 3 Tofaut na alivyofanya ndani ya michezo 10 akiwa na muhindi
IMG-20200104-WA0004.jpeg
 
Back
Top Bottom