DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Nyumbu ni NYUMBU tu.Haha kumbe hampendi kuitwa NYUMBU hahaha sasa tutaanza kukazia zaid maan sisi pia hatupendi kuona NYUMBU mkiwa na amani(amani yenu hugeuka kuwa kero kwa weekend moja tu sisi wengine sasa tukiwaachia mwezi je?)
Mzee kumbe unasali hapo Ubungo ???? Aiseehhh itabidi jumamosi moja nifike hapo.Safi sana kwa hekima na ushauri wako
Nikutakie sabato njema , Karibu Siku moja tusali wote Hapa Ubungo hill
|| Arsenal are preparing a bid of around €45m (£38m) for Juventus CB, Merih Demiral, after bids of €29m (£25.5m) from Leicester & €40m (£34m) from BVB, were rejected in the last 24hrs.
Umesikia wapi?Mbona nasikia hatuna pesa ya usajiri board imegoma muhindi alitumia zote.
Tutajumuika wote na Aaron Arsenal mkuu.Mzee kumbe unasali hapo Ubungo ???? Aiseehhh itabidi jumamosi moja nifike hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakosea watu heshima mkuu. Tafadhali sana.

️
Ajsante mkuu!.. Siku nikipata nafasi tutajumuikaSafi sana kwa hekima na ushauri wako
Nikutakie sabato njema , Karibu Siku moja tusali wote Hapa Ubungo hill
ndio maana narudia tena akili zako hazijakomaa.we nzako wanajadili vitu vya msingi kwenye uzi wenu, we huku unaleta matusi yasikuwa na msingi kwenye huu uzi. au hizo bao 2 ulizopokea juzi kati zinakuchetuwa akili?!Nilidhani scrappy ni jina tu, kumbe akili yako nayo ni scrapy
Anza na ass anal wenzio ndio uje kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app