Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wewe ndio unajipambanua ni mkweli ....

Mbona ulitudanganya hutoangalia hii mechi!!!!????
Hahahaaaaaaaaaa
Aiseeeeh wewe ushabiki huuwezi...
Umenikumbusha nyimbo ya Hussein Machozi _ Utaipenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
KIKOSI NDO KIMEFANYA WATU WAKAE MACHO UNAMWONA KOLASINAC PEPE WANAANZA UTALALA KWELI?

ANGEANZA NELSON SAKA MATTEO LEO HII NINGELALA MAPEMA NA USHINDI LEO USINGEPATIKANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ambaye nasema ukweli usingizi siwezi kukosa na hata mechi Leo siangalii sababu jana nimekesha kusubiri Mwaka hvyo siwezi poteza mechi ambayo kimsingi Arsenal kushinda ni 40% wewe angalia game yetu halafu utanipa Matokeo
Mimi kwangu uongo ni mwiko kabisa na nikiwa mkweli unakasirika!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli gani unaousema wewe ikiwa hapa tayari ushadanganya?????ukweli una wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu toreira mbwa anakaba hadi anaishiwa nguvu

Halafu unai mjinga mmoja. aliona hafai kweli hii dunia kila mtu na akili zake..

..huyu pepe kila game anatakiwa kuanza kabisa kuliko hawa wajinga watoto kina nelson
 
Kweli aisee Emery aliharibu kabisa mpira mzuri
IMG_20200102_012232_703.jpeg
 
Arsenal kipindi cha 2 huwa wanapoa sana sana

Sent using Jamii Forums mobile app
David Luiz says the the squad is not at the physical level to play with intensity for 90 mins. Says it is something we will fix over time. Adds that when you don't have the intensity, you need to have heart. Says he loves the attitude of our youngsters.
 
Arteta aache upumbavu wa Sub zake Nelson alikuwa anaanguka tu kila saa yaani HAMNA KITU UPUPU MTUPU KABISA

ARTETA LEO GAME KAIWEZA NA SABABU BAADA YA MASHABIKI KUONA KIKOSI WATU TUKAAMUA KUANGALIA GAME NA KIKOSI KIMEONYESHA NINI MASHABIKI HUWA TUNAKITAKA HAPA SAFI SANA MIA KWA MIA

SHDA NI SUB INABIDI WATU WA KAZI WAONGEZEKE ZAIDI KIKOSINI DAH HATIMAYE TUMEONA MWANGA NA SISI HALI HAIKUWA NZURI NDO MAANA UKWELI UKAWA UNASEMWA

Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha hajakosea kufanya ile sub!. Kumbuka kuanzia dakika ya 50 man u walikuwa wameanza kufqnya mashambulizi makali na kumiliki mpira mpaka wakatuzidi ball possession ikawa arsenal 48 - 52 man u.. Alichofanya kocha akamtoa pepe japo leo ndie kaongoza kwa rating kubwa na kumuingiza nelson ambaye anaweza kukaba japo kugunga ni bahati nasibu. Na pia sub ya Saka ilitusaidia kupeleka mipira mbele na pia kuwin ball possession na ndio maana unaona baada y kumwingiza Guendouz tukaanza kupossess vzr na pia uhakika wa kushinda game ukaonekana!.. Kwa hiyo hawa madogo wanafaa kuingia kipindi cha pili ili kuongezea nguvu pale palipo na mapungufu.... Kimsingi Kocha tumepata na kuanzia sasa timu ndogo zitapata tabu sana kwa mpira ule tunaocheza sasa.. Yaani timu inamiliki mpira na kutowapa wapinzani nafasi ya kushambulia kwa utulivu maana muda mwingi wanakuwa hawana mpire!.. MUNGU IBALIKI ARSENAL YETU NAANZA KUONA TUNAMSHUSHA MTU PALE TPO FOUR.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Granit Xhaka Vs Manchester United:

73 touches
93% pass accuracy
6 long balls completed
Won 7/10 ground duels
2 interceptions
Drew 3 fouls to help us relieve pressure

Bossed the midfield as he always does against United.
 
Back
Top Bottom