Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kimsingi mechi ya leo ni ngumu sana!.. Kitu kinachonipa matumaini ni kuwa kocha keshaanza kuibadili timu japo hatujaanza kupata ushindi!.. Hebu fikiria timu haina full backs (wote majeruhi), mabeki wa kati wanafungisha ovyo bila sababu, Chambers, holding majeruhi.. Yaani saka anacheza namba tatu!.. Mechi ya leo naamini tutapigana sana.. Lakini napenda kuwaasa ndugu zangu wana Arsenal kama tukifungwa leo tusikate tamaa na kuanza kumlaumu kocha!.. Wote ni mashahidi mechi iliyopita tulicheza vizuri na viwango vya wachezaji Ozil vimeanza kuboreka, sema kuna mapopoma siku ile walituharibia ushindi wetu na kitupa majonzi tele!.. Leo natumaini tutakipiga vizuri kabisa na kuna uwezekano mkubwa wa kushinda hii mechi kama tutadominate mpira, lakini pia tunaweza tushishinde kutokana na full backs wetu wote watatu kuwa majeruhi na centre backs wawili pia kuwa majeruhi.. Kea hiyo tukifungwa tusikate tamaa!.. Hebu fikiria kocha amepokea timu toka kwa yule popoma aliyemuuza Ramsey na kutultea balaa pale kati!.. Kiukweli kitendo cha kumuuza Ramsey na kumpeleja Miki kwa kumkopo kimesababisha timu isiwe na balance kabisa.. Mimi bado naamini Miki ni mchezaji mzuri ambaye anaweza kutusaidia ukilinganisha na hawa waliopo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi nashangaa sana unabaki na willock Nelson Smith halafu unamtoa Miki kwa mkopo?dah akili ya viongozi wa Arsenal bana najua sasa hivi mavi yao yanagonga Chupi sababu ya kupenda kupuuzia vitu serious kama hivi wanaona sasa kumbe kushuka Daraja kunawezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ndo leo akikaa Kati MATTEO G tutakula tena mvua kama kawaida yetu sisi wazee wa sare na Vipigo tusijipe Matumaini mechi ya Leo hata juzi nilisema humu kwa sasa tupotupo tu hatujui tunachokitaka sisi mashabiki wa Arsenal huwa tunapenda sana KUJIPA MATUMAINI ila Leo naona wote tupo neutral hili ndilo linalotakiwa kwa sasa sababu hatuna timu ya Viwango ya kushindana na wakubwa zetu kwa sasa

Niwe mkweli sababu sitaki stress mechi ya leo Arsenal nampa 40 % Manchester 60 % kushinda ila lolote linaweza kutokea katika Mpira wa Miguu

MIMI NINA MIAKA 20 NAISHABIKIA ARSENAL YANGU ILA NKIONGEA UKWELI NAONEKANA SIO SHABIKI WA DAMU ILA UKWELI UNAKUWEKA HURU SANA NA NDO ITIKADI YANGU KATIKA MAISHA YANGU BINAFSI PIA HAITAKIWI KUFICHA UKWELI KAMWE

COYG !! HAPPY NEW YEAR TO YOU ALL

Sent using Jamii Forums mobile app
bro em jipe likizo ndefu, kufatilia arsenal.

hunaga mawazo chanya, muda wote unawazia arsenal matokeo hasii tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ndo leo akikaa Kati MATTEO G tutakula tena mvua kama kawaida yetu sisi wazee wa sare na Vipigo tusijipe Matumaini mechi ya Leo hata juzi nilisema humu kwa sasa tupotupo tu hatujui tunachokitaka sisi mashabiki wa Arsenal huwa tunapenda sana KUJIPA MATUMAINI ila Leo naona wote tupo neutral hili ndilo linalotakiwa kwa sasa sababu hatuna timu ya Viwango ya kushindana na wakubwa zetu kwa sasa

Niwe mkweli sababu sitaki stress mechi ya leo Arsenal nampa 40 % Manchester 60 % kushinda ila lolote linaweza kutokea katika Mpira wa Miguu

MIMI NINA MIAKA 20 NAISHABIKIA ARSENAL YANGU ILA NKIONGEA UKWELI NAONEKANA SIO SHABIKI WA DAMU ILA UKWELI UNAKUWEKA HURU SANA NA NDO ITIKADI YANGU KATIKA MAISHA YANGU BINAFSI PIA HAITAKIWI KUFICHA UKWELI KAMWE

COYG !! HAPPY NEW YEAR TO YOU ALL

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeeeehhhh....hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Brighton anampa shda Chelsea na ni timu ya kawaida tu!! Sisi juzi tulishindwa nini na tunajijua ni TIMU KUBWA?MPAKA CHELSEA AKATUZIDI KILA KITU?NDO MAANA KWA SASA NAONA SISI ARSENAL NI TIMU NDOGO TU YA KAWAIDA ILA JINA LINATUBEBA NA TUNALOJIDAI NALO WAKATI KIUHALISIA NI KAJITIMU CHA KAWAIDA

TUKISHINDA DHIDI YA MANCHESTER UNITED NA CRYSTAL PALACE AWAY ANGALAU NTAPUNGUZA KUSEMA UKWELI

Sent using Jamii Forums mobile app
chelsea mechi ya arsenal alibebwa na refa na makosa ya wachezaji wetu.

chelsea ni tia maji sana, leo anakufuraisha kesho anakuliza.

bora sisi ambao matatizo yetu yanaeleweka na yanafanyiwa kazi kila siku ya Mungu na matokeo yanaonekana baadhi ya maeneo na kuzidii kutengamaa.

trust the process.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi mechi ya leo ni ngumu sana!.. Kitu kinachonipa matumaini ni kuwa kocha keshaanza kuibadili timu japo hatujaanza kupata ushindi!.. Hebu fikiria timu haina full backs (wote majeruhi), mabeki wa kati wanafungisha ovyo bila sababu, Chambers, holding majeruhi.. Yaani saka anacheza namba tatu!.. Mechi ya leo naamini tutapigana sana.. Lakini napenda kuwaasa ndugu zangu wana Arsenal kama tukifungwa leo tusikate tamaa na kuanza kumlaumu kocha!.. Wote ni mashahidi mechi iliyopita tulicheza vizuri na viwango vya wachezaji Ozil vimeanza kuboreka, sema kuna mapopoma siku ile walituharibia ushindi wetu na kitupa majonzi tele!.. Leo natumaini tutakipiga vizuri kabisa na kuna uwezekano mkubwa wa kushinda hii mechi kama tutadominate mpira, lakini pia tunaweza tushishinde kutokana na full backs wetu wote watatu kuwa majeruhi na centre backs wawili pia kuwa majeruhi.. Kea hiyo tukifungwa tusikate tamaa!.. Hebu fikiria kocha amepokea timu toka kwa yule popoma aliyemuuza Ramsey na kutultea balaa pale kati!.. Kiukweli kitendo cha kumuuza Ramsey na kumpeleja Miki kwa kumkopo kimesababisha timu isiwe na balance kabisa.. Mimi bado naamini Miki ni mchezaji mzuri ambaye anaweza kutusaidia ukilinganisha na hawa waliopo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawasawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Brighton anampa shda Chelsea na ni timu ya kawaida tu!! Sisi juzi tulishindwa nini na tunajijua ni TIMU KUBWA?MPAKA CHELSEA AKATUZIDI KILA KITU?NDO MAANA KWA SASA NAONA SISI ARSENAL NI TIMU NDOGO TU YA KAWAIDA ILA JINA LINATUBEBA NA TUNALOJIDAI NALO WAKATI KIUHALISIA NI KAJITIMU CHA KAWAIDA

TUKISHINDA DHIDI YA MANCHESTER UNITED NA CRYSTAL PALACE AWAY ANGALAU NTAPUNGUZA KUSEMA UKWELI

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ushabiki huuwezi,nyie ndio mnaojinyonga hakika.....
Sasa hivyo tu unabwabwaja namna hiyo na unaonekana wazi hata kula huli,usingizi hupati vizuri unaweweseka naamini timu ikishuka daraja utahama hapo unapoishi...
Au ukajinyonga kabisa...
Isitoshe nahisi ushabadilisha njia uliyokuwa unapita sababu wanakutania sana....

Wakati wenzio ndio kwanza tunavaa uzi wa Arsenal kwa kujiamini kabisa....hapa nilipo nimeitinga ile DREAMCAST nasubr game ....

Nyie ndio mnakimbia kaya kisa mzee kachalala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kwaio hamna updates zozote?
aisee mkuu Aaron popote ulipo pengo lako linaonekana
 
Wewe ushabiki huuwezi,nyie ndio mnaojinyonga hakika.....
Sasa hivyo tu unabwabwaja namna hiyo na unaonekana wazi hata kula huli,usingizi hupati vizuri unaweweseka naamini timu ikishuka daraja utahama hapo unapoishi...
Au ukajinyonga kabisa...
Isitoshe nahisi ushabadilisha njia uliyokuwa unapita sababu wanakutania sana....

Wakati wenzio ndio kwanza tunavaa uzi wa Arsenal kwa kujiamini kabisa....hapa nilipo nimeitinga ile DREAMCAST nasubr game ....

Nyie ndio mnakimbia kaya kisa mzee kachalala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ambaye nasema ukweli usingizi siwezi kukosa na hata mechi Leo siangalii sababu jana nimekesha kusubiri Mwaka hvyo siwezi poteza mechi ambayo kimsingi Arsenal kushinda ni 40% wewe angalia game yetu halafu utanipa Matokeo
Mimi kwangu uongo ni mwiko kabisa na nikiwa mkweli unakasirika!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We are 12 point off top 4

A good result tonight would see us only 9 points away.

Still everything to play for, shouldn’t put all our eggs in one basket and wish for a Europa league win.

Need everyone to dig in tonight and spank the mancs

COME ON ARSENAL
 
Bellerin, Sokratis, Holding, Tierney and Kolasinac are all injured. Mustafi apparently missed a training. Available defenders for tonight: David Luiz. That means only one lads.
 
Hii table ilivyokaa Leo tukifungwa humu Leo humu tutakimbiana ona nafasi tuliyopo leo muda huu
20200101_195955.jpeg

UPDATE ARSENAL NI WA 13 NA SOUTHAMPTON WA 11 BAADA YA KUSHINDA LEO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikel Arteta is willing to build his Arsenal team around Mesut Ozil.

Gunners boss Arteta is putting his faith in the mercurial midfielder as he wants the team to “play in a certain way to facilitate Ozil’s strengths”. [@MirrorFootball]
 
Back
Top Bottom