Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kikosi kiko vizuri. Wasiwasi wangu team nyingi kwasasa zimeshatujuwa mbele tuko vizuri hivyo zinakaba alafu wanatupiga counter attack
First time Aubameyang, Lacazette, Özil & Pepe start together for Arsenal.


Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
 
Naona jinsi mnavyojifariji humu hasa baada ya kuona kikosi chenu.

NB:Baadae msije mtafuta mchawi
GGMU
 
Leeds United head coach Marcelo Bielsa has confirmed on-loan striker Eddie Nketiah will return to Arsenal this month. #lufc #arsenal


Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu next game unaionaje dhidi ya Manchester United?Mimi nasema tukipona tutafungwa 2 au 3 sababu Manchester United watakaa nyuma na kufanya counter attack Mwaka huu mpaka bodi akili zitarudi na kukaa sawa Manina kabisa kama Arteta hii mechi kaishindwa ya Man u asijisumbie tutakula kipigo takatifu hvyo tujiandae kwa kipigo na kuwa nafasi ya 15

Sent using Jamii Forums mobile app
You are wrong mkuu au umeona vibaya
 
You are wrong mkuu au umeona vibaya
TIMU YETU HII USIJIPE MATUMAINI KABISA UTAPATA PRESHA KUBWA MIMI NIMEKIPENDA KIKOSI KIPO VIZURI SANA ILA KUSEMA TUTASHINDA HILO SINA UHAKIKA NALO ASILIMIA 50 SABABU MAN U KWA COUNTER ATTACK UNAWAFAHAMU VIZURI HVYO NGOJA TUANGALIE TU SABABU YA KIKOSI MAMBO YANAWEZA YASIWE MABAYA SANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeona nlivyokuchambulia hapo na unaona style yao wanavyocheza?tuombe Mungu ila mpaka sasa dk ya 5 wao wanakuja juu licha ndo kwanza mpira umeanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Makocha ndio wamekuwa wakituangusha na maamuzi yao. Ila Leo nadhani Arteta amepata kikosi vizuri.

Juzi against chelsea, dakika ya 70 why asingemtoa Nelson na kumuingiza Pepe as fresh legs???
 
Back
Top Bottom