Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ata ile game ya chelsea mli kuwa mshinde ila mapungufu arteta kayaona mmeupiga mwingii

Sent using Jamii Forums mobile app
Na referee aliwabeba Chelsea

Screenshot_20200101-235111_Chrome.jpg
 
Arteta aache upumbavu wa Sub zake Nelson alikuwa anaanguka tu kila saa yaani HAMNA KITU UPUPU MTUPU KABISA

ARTETA LEO GAME KAIWEZA NA SABABU BAADA YA MASHABIKI KUONA KIKOSI WATU TUKAAMUA KUANGALIA GAME NA KIKOSI KIMEONYESHA NINI MASHABIKI HUWA TUNAKITAKA HAPA SAFI SANA MIA KWA MIA

SHDA NI SUB INABIDI WATU WA KAZI WAONGEZEKE ZAIDI KIKOSINI DAH HATIMAYE TUMEONA MWANGA NA SISI HALI HAIKUWA NZURI NDO MAANA UKWELI UKAWA UNASEMWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom