iokote
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 601
- 876
Acha avitie shot vitoto.Ningekuwa Arteta, kutokana na umuhimu wa hii game kolasinac asingerudi uwanjani from Half time
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha avitie shot vitoto.Ningekuwa Arteta, kutokana na umuhimu wa hii game kolasinac asingerudi uwanjani from Half time
Naona yeye mwenyewe naona kati ya Pepe na Nelson nani muhimu kwa sasaMakocha ndio wamekuwa wakituangusha na maamuzi yao. Ila Leo nadhani Arteta amepata kikosi vizuri.
Juzi against chelsea, dakika ya 70 why asingemtoa Nelson na kumuingiza Pepe as fresh legs???
Hesgoal adika hiyo cheki gemu
Hahahaha kaka mbona hujiamini maana timu yetu haitabiriki lakini tuendelee kusaliNtarudi kukomenti baada ya gemu kuisha
Mimi kipindi hiki cha kwanza kinanitosha kwa soka hili. Kipindi cha pili sijali lolote litakalotokea.
Hawa manyumbu washakaaHahahaha kaka mbona hujiamini maana timu yetu haitabiriki lakini tuendelee kusali
Sent using Jamii Forums mobile app
Red card kaka
Arteta hampendi Pepe kama Guardiola alivyokuwa anamchukia EtooArteta asiweke vitoto, huu mpira wa kikubwa
Arteta nae ana umama sana kwenye subTuendelee kusali Kaingia Nelson then Saka bado willock lazima afuate watoto wa Arteta tuendelee kusali
Sent using Jamii Forums mobile app