Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuambiana ukweli inasaidia sana kuliko kuambiana ujinga ambao hautupi Msaada wowote wakati tunafanana na NORWICH na ASTON VILLA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha sawa mkuu.... Ngoja tuone
 
Kuambiana ukweli inasaidia sana kuliko kuambiana ujinga ambao hautupi Msaada wowote wakati tunafanana na NORWICH na ASTON VILLA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu humu watu hawataki kuambiwa ukweli, mara kibao nimesema timu yetu jinsi ilivyo mbovu ila watu wanajipa matumaini hewa. Tusubiri hadi tushuke daraja ndio akili zitawakaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!!
 
Mkuu mbona povu jingi kama hii timu ndio kwanza umeanza kuipenda jana????
Sifa ya shabiki ni uvumilivu.

STAMALA .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuru wa kuongea mkuu,usiwafungie watu katika box la fikra kwa kile unachofikiria wewe basi na mwingine afikirie hikohiko ....NO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na huyu Manure, yeye na mwenake Garry Neville hawana lolote, walipewa ukocha wakachemka kuliko, wivu tu...
 
Uhuru wa kuongea mkuu,usiwafungie watu katika box la fikra kwa kile unachofikiria wewe basi na mwingine afikirie hikohiko ....NO.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naongea ukweli wewe unaweka ushabiki hapo ndo tatizo ila Mimi nachosema kama upo tayari kushabikia Arsenal vs Blackpool next season sawa ila kwa shabiki kama Mimi sitaweza lazima viongozi waje na wazo mbadala ambalo hata sisi tunaweza tusiwe tunalifikiria sababu 6 matches (3 matches home 3 loss)na (3 matches away 3 draws)ni dalili ya kushuka daraja ndo maana tunaongea live bila chenga na hata kama hawatuskii tutaenda kwenye pages zao kuwaambia ukweli nani aanze kuangalia game za championship humu mara Arsenal vs QPR mara Arsenal vs Charlton halafu unajua Mashabiki wanaamini eti Arsenal haiwez shuka Daraja ni kujipa moyo wa kijinga Mpira sio siasa ni akili na technique basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…