Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,310
Next season hakai hata benchi uyuRopokeni mnavyotaka si limdomo lenu. Naendelea kula mshahara bure. Chelsea chukua yote. View attachment 1306695
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida kuu ni confidence mkuu, EPL ukikosa hiki kigezo unaweza kuona maisha machungu,coz watu wanajua kutumia nafasi,ukidelay unaliwa wewe.First half wachezaji walkua wanacheza kwa kujiamini mno timu ilitulia hadi raha ila kipindi Cha pili sijui nin kilitokea ila uelekeo walau unaonekana
tatizo la Upamecano ni injury prone,Wazee hali yetu sio nzuri kimahesabu tunaweza maliza position mbaya kuliko misimu yote ya nyuma bila usajili wa kueleweka january,
Tumepata kocha mzuri naweza kusema hivo kwa game hizi mbili nilizoziona, ila tatizo hata wachezaji kujiamini kumepotea (***** Emery popote ulipo). Nadhani Ndidi na Upamecano ni lazima watue Emirates january hii tuokeke kwenye aibu hii ya huu msimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
naam mkuu na mie nipo kwenye huo moyo wa chuma. OnceTupo mkuu wenye iyo mioyo ya chuma
naam mkuu na mie nipo kwenye huo moyo wa chuma. Once gunners always gunnersTupo mkuu wenye iyo mioyo ya chuma
Wazee kilichoniuma leo,hawa leo walikuwa washakubali, tulikuwa tunawala hata 3 mapema sana ila ndio hivyo ukiwa mzembe lazima uazibiwe,Hakuna haja ya kumlaumu kocha
Wakulaumiwa ni Willock tu,sijui lini atakuwa na hadhi ya kuvaa ile jezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Arsenal haina matatizo makubwa kama wewe unavyodhani, tulikuwa na shida ya kocha kwanza, pili tunashida ya wachezaji wawili tu.Kwangu ni CB mmoja mzuri na Kiungo wa kupartner na LT11 pale kati, mbele yao awepo Ozil au Ceballos.Toka kipindi cha Unai Emery nilitahadhalisha humu kuwa wachezaji wengi tulionao ni below average, hawana hadhi ya kuchezea Arsenal. Niliishia kushambuliwa, wengi wakadai wachezaji wapo kwenye mgomo wa kocha.
Kocha amebadilishwa na matokeo bado yapo vile vile bado watu humu wana matumaini hewa na kutoa utetezi usio na maana yoyote.
Wameshindwa kuelewa kuwa tatizo tunaloliona sasa limeanza zaidi ya miaka 10 iliyopita haya ni matokeo tu. Requirement mwishoni mwa enzi za Wenger ilikua kichekesho, hatukupata wachezaji wa maana, waliokua na afadhali waliuzwa na hata academy yetu haikutoa wachezaji wazuri.
Kutoka hapa tulipo tunahitaji mabadiliko makubwa hasa kwenye sera ya usajili. Tupate wachezaji wenye uwezo watakao unda timu ya ushindani, hii si chini ya miaka 3. Hivyo ndugu zangu Gunners tusitegemee makubwa kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo vipi,niongeze sautiiiiiiiLeo Arsenal tunashinda, Chelsea ni timu ya kawaida haina uwezo wa kumfunga Arsenal
Kila lakheri chama langu Arsenal.
Wajitose hata kwa Kolibaly, tunahitaji beki bora sio bora beki, yaani beki aje kujifunza tena[emoji1745]
Ka uona wapi
Ukisema ukweli unaoneakana mbaya LENGO LA ARSENAL MSIMU HUU NI TIMU KUTOSHUKA DARAJA HAYO MENGINE TUWAACHIE WAKUBWA WALIOTUZIDI KIWANGO KAMA WOLVESToka kipindi cha Unai Emery nilitahadhalisha humu kuwa wachezaji wengi tulionao ni below average, hawana hadhi ya kuchezea Arsenal. Niliishia kushambuliwa, wengi wakadai wachezaji wapo kwenye mgomo wa kocha.
Kocha amebadilishwa na matokeo bado yapo vile vile bado watu humu wana matumaini hewa na kutoa utetezi usio na maana yoyote.
Wameshindwa kuelewa kuwa tatizo tunaloliona sasa limeanza zaidi ya miaka 10 iliyopita haya ni matokeo tu. Requirement mwishoni mwa enzi za Wenger ilikua kichekesho, hatukupata wachezaji wa maana, waliokua na afadhali waliuzwa na hata academy yetu haikutoa wachezaji wazuri.
Kutoka hapa tulipo tunahitaji mabadiliko makubwa hasa kwenye sera ya usajili. Tupate wachezaji wenye uwezo watakao unda timu ya ushindani, hii si chini ya miaka 3. Hivyo ndugu zangu Gunners tusitegemee makubwa kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wew Chelsea hua haifungwi au?
Ozil ni kama mgonjwa wa homa ya vipindi naye hatakiwi kuwepo Arsenal kama tunahitaji timu Kali Ozil ni mmoja wa wachezaji wa kuchapa lapaArsenal haina matatizo makubwa kama wewe unavyodhani, tulikuwa na shida ya kocha kwanza, pili tunashida ya wachezaji wawili tu.Kwangu ni CB mmoja mzuri na Kiungo wa kupartner na LT11 pale kati, mbele yao awepo Ozil au Ceballos.
Injury pia ya Full backs kama KT na Bellerin zimetufikisha hapa, haikuwa mategemeo wao kuumia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee hali yetu sio nzuri kimahesabu tunaweza maliza position mbaya kuliko misimu yote ya nyuma bila usajili wa kueleweka january,
Tumepata kocha mzuri naweza kusema hivo kwa game hizi mbili nilizoziona, ila tatizo hata wachezaji kujiamini kumepotea (***** Emery popote ulipo). Nadhani Ndidi na Upamecano ni lazima watue Emirates january hii tuokeke kwenye aibu hii ya huu msimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushabiki tambo mzee baba.... Kwan we ulivyotamba ulijua utashinda 100%..
First half wachezaji walkua wanacheza kwa kujiamini mno timu ilitulia hadi raha ila kipindi Cha pili sijui nin kilitokea ila uelekeo walau unaonekana