Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Match nzuri sana ya leo,
Everton hawataki kabisa kuaibishwa na vijana wadogo wadogo.
Vijana nao wanavizia kwa akili kabisa.
 
Mkuu,ni bahati mbaya sina correct figures lkn kwa ujumla tumeanguka sana kifedha. Jaribu tu kuangalia mfano kwa dirisha lililopita la summer tumeuza wachezaji wangapi ukilinganisha na kipindi cha nyuma. Pili angalia tumetumia kiasi gani kusajili. Tatu angalia mishahara iliyoongezeka kwa kusajili na kurenew mikabata ya wachezaji. Then angalia hatupo uefa hivyo hatupati gawio zuri kama tunapocheza europa. Angalia gharama za kuvunja mkataba wa Unai na kulipa compansation ya Arteta City zote hizo ni gharama. Pia gate collections zimeshuka kwa matokeo mabovu.
Hapana kaka nakukatalia Arsenal ni moja ya timu tajiri duniani tatizo ni Kroenke kwanza haujui mpira na hajawah kwenda uwanjani zaidi ya mtoto wake kumtuma na Arsenal ina uwezo wa kumchukua kocha yoyote duniani sababu ni moja ya timu kubwa na yenye hela duniani ila changamoto ni Kroenke tu basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,ni bahati mbaya sina correct figures lkn kwa ujumla tumeanguka sana kifedha. Jaribu tu kuangalia mfano kwa dirisha lililopita la summer tumeuza wachezaji wangapi ukilinganisha na kipindi cha nyuma. Pili angalia tumetumia kiasi gani kusajili. Tatu angalia mishahara iliyoongezeka kwa kusajili na kurenew mikabata ya wachezaji. Then angalia hatupo uefa hivyo hatupati gawio zuri kama tunapocheza europa. Angalia gharama za kuvunja mkataba wa Unai na kulipa compansation ya Arteta City zote hizo ni gharama. Pia gate collections zimeshuka kwa matokeo mabovu.
Kumbuka wameongezeka wadhamini sita.
 
Tuna wadhamini mbona tu Kaka ila nakuapia Kroenke akiachia timu hutaamini matokeo Arsenal itarudi kwa kasi mno kama mtu haujui mpira upoje wewe unawaza fedha na faida matokeo ndo haya tufungwe tusifungwe yeye anaponda raha sisi ndo tunaumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FT 0-0:
- Defensively we were well organised and structured effectively
- Auba very quiet overall, albeit the crucial chance that amounted to a great save from Pickford
- Xhaka & Torreira pivot worked well in the middle
- Onto Bournemouth where the Arteta era begins!
#AFC #EVEARS
 
Freddie kaweka rekodi ya aina yake
Home hajashinda hata mechi 1 wakati home kwetu huwa ndo tunachukua point 3
Away hajafungwa hata mechi 1 wakati away huwa ndo tunapigwa siku zote
Kombinesheni ya Xhaka na Torreira ibaki hivi hivi najua Arteta anakuja kuibadili timu hao watoto waliocheza Leo Smith na Neilson ni takataka najua mwisho wao ndo leo
Maajabu na kichekesho Chelsea kala 3 last week hapa wakati Arsenal Leo haijapigiwa short on Target hata 1 haya ni maajabu

Hiyo ndio combination inayo work hapo kati, sio Ya Gunduz ,
 
Freddie kaweka rekodi ya aina yake
Home hajashinda hata mechi 1 wakati home kwetu huwa ndo tunachukua point 3
Away hajafungwa hata mechi 1 wakati away huwa ndo tunapigwa siku zote
Kombinesheni ya Xhaka na Torreira ibaki hivi hivi najua Arteta anakuja kuibadili timu hao watoto waliocheza Leo Smith na Neilson ni takataka najua mwisho wao ndo leo
Maajabu na kichekesho Chelsea kala 3 last week hapa wakati Arsenal Leo haijapigiwa short on Target hata 1 haya ni maajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
All in All mpira wa pass ameurejesha

Shida unaamini sana vijana

Comb ya xhaka na lt11 ndio inyofanya kaz ,

Ila ukiona kuna Gunduz na xhaka au Gunduz na lt11 jua ni majanga tu,

Unai kumkumbatia. Sana Gunduz katika eneo la midfield ilikuwa ni kujichimbia kaburi

Gunduz ni mzuri kupiga pass ila ni mbovu Ku cover area ,pia ni msindikizaji mzuri sana timu ikishambuliwa ,
 
In an attacking sense, there was little of note, but that was a much improved showing from Arsenal. Defensively they were solid and Torreira and Xhaka provided a very good screen. Chambers excellent, as was Saka. Luiz very strong in the second half.
 
Haha eti clean sheet..... Hii arsenal ina nafasi kubwa ya kushinda kuliko kutoa clean sheet..... Haya ni maajabu kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Arteta Alitoa mkwara Leo

Ila Pepe alihitajika sana , Nelson anarukaruka tu

Arteta was in the changing room waiting for the players after full-time, he’s only just left a second ago. He wanted to see attitude and fight today, the players certainly delivered that.
 
Back
Top Bottom