Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aaron hii post umeandika ki-layman, hapana shaka wewe sio mhasibu. Profit au loss hazikokotelewi kihivyo.
hayo tuyaache, arteta is coming, ila timu inahitaji major overhaul. kama mchezaji hajitumii uuza au gawa bure, kubali hasara; asikae kwenye timu kuwafundisha ujinga wengine
Mkuu mm kweli sio muhasibu ,ila nili tumia rejea za sky sport , Arsenal walipotangaza loss ya mapato .


Ila hii haizuii kusajiri
 
Mikel Arteta is set to become new Arsenal manager.

Today Man City has accepted - Pep Guardiola wanted him to stay but it’s a great opportunity for Arteta. Here we go! @DiMarzio #AFC #ManCity #Arsenal
IMG_20191217_231150.jpeg
 
Naona kama kwa Arteta tunabugi tu, coz yeye na Freddie hata hawana tofauti yoyote katika experience.
Kiukweli kutoka moyoni mm naimani sana na Arteta

Hata Freddie alionesha mwanga , ni vile tu timu inahitaji overhaul maeneo hasa back line

Ni UNAI ndiye kocha wa ovyo kuwahi kumuona
 
Carlo Ancelotti was disappointed because his first choice was Arsenal Arsenal contacted Carlo Ancelotti and reached an agreement in principle, before pulling back the offer, preferring Arteta instead. [@areanapoliit]
 
-Arteta will say farewell to his friends at Manchester after Oxford clash today
-Arteta's contract with Arsenal is until 2023
-Salary of £5m per annum
-Official announcement by Arsenal tomorrow
-Presentation conference tomorrow at noon

[@TheAFCBeII]
 
One man Arteta is keen to make his assistant at Arsenal is Rodolfo Borrell, who is currently Guardiola's assistant at City alongside Arteta. The other is Man City talent-spotter Sam Fagbemi. #AFC
 
Mikel Arteta back in 2015: Did Arsene Wenger play a part in you wanting to be a manager?

Arteta replied to me: He did...he has a very different way of dealing with things compared to me. I'm a different person but I see a lot of things he does and why he does them. h
IMG_20191217_143258.jpeg
 
#AFC | Current Manchester City Coach Rodolfo Borrell and ex Manchester City Coach Domènec Torrent are early favourites to join Mikel Arteta's backroom staff, according to various reports.
IMG_20191218_184202.jpeg
 
Mikel Arteta:

“My philosophy will be clear. I will have everyone 120% committed, that’s the first thing. If not, you don’t play for me. When it’s time to work it’s time to work, that commitment is vital.”
IMG-20191218-WA0012.jpeg
 
Did Pep Guardiola have experience when he started out at Barcelona? Did anyone know who Arsene Wenger was before he came to Arsenal?

Arteta is one of our own, he’s played for the club and knows what this club means. Support him
IMG_20191217_122249.jpeg
 
UPDATE ON ARTETA.


Inavyoonekana DEAL DONE na mshahara wake ni £5m per Year hadi 2023.


KWA MUJIBU WA PRE PRESS CONFERENCE YA PEP JANA.


Arteta atasafiri kwenda Oxford kwa ajili ya mechi ya carabao hivo atatangazwa kesho alkhamisi kama Kocha wa Arsenal .

Pep ameonesha kabisa anamkubali na hakutaka Aondoke , Bodi ya city ilikuwa imejiandaa kumpa timu ,Maana Pep hana muda mrefu city ataondoka.


Pep anasema Arteta anawork ethic sana muwazi alijua kuwa arteta anakikao na maafisa wa Arsenal baada ya mechi arsenal vs city .Lakini alikuwa muwazi .

Hapa ndonapoelewa kuwa ile mechi alitusamehe la sivo tungekula khamsa .


Pia Pep ameelewa approach ya Arsenal anasema klabu nyingi wanamuapproch mchezaji au manager behind the scene kisha ndio wanaifahamisha klabu .


INASEMAKANA Arteta anamtaka Domenic Torrent na Rodolfo borrel as backroom staff hao watu ni waumini wa Mpira mzuri ,pia anarudi Arsenal na sam fagbemi youth video scout , Alikuwepo Arsenal mwaka 2015.


Huyo Domenic torrent ni assistant coach wa Pep tokea barcelona, bayern mpaka city alipondoka ndipo akumuachia arteta huyo mwingne Rodolfo assistant coach pia pale city alikuwa camp nou ndio aliye simamia ukuaji wa messi pale barca .


Hisia zangu cazorla atarudi Arsenal during summer kwasababu arteta anamkubali sana pia nia ya cazorla yakutaka kurudi Arsenal as backstaff.


Tumsapoti Arteta kama Mzee Wenger alivyotuasa ,

Welcome back Arteta
IMG_20191217_143258.jpeg
 
ARTETA APEWE MUDA KUPROVE ANA KITU GANI

Note : usajiri wa kocha ni kamari tu kama ulivyo usajiri wa wachezaji success ni majaliwa tu hvyo tusi jurge sana ujio wa arteta kwamba hawezi

Experience ni pamoja na ku learn( kusoma) kwa walio mzidi kakaa na Guadiora 3 years, now natumai kapata kitu atleast ujue huu ni muda mrefu zaidi

Kuliko wa zidane aliokaa kama assitant chini ya ancellot kabla ya mafanikio yake ya UEFA

Nafikiri cha msingi ni support kwa project atakayohitaji kujenga yeye na plan zake kama zitatutoa hapa tulipo kwa sasa

Nakumbuka mpaka sasa rivals kama manchester united tangu 2013 hawajawahi kusajiri kocha asiye na experience as head coach wote walikuwa experienced mfano moyes van gal mourinho

Je ni mafanikio gani makubwa zaidi wamepata ukiacha FA na EUROPA hiiinatupa funzo mafanikio ni process na bahati ya mtu kufanikiwa kwa alichokijenga

Tukipunguza matarajio tutauona ukweli binafsi ntamsupport tu akifail basi atakuja mwingine sio kila doubts ni sahihi

IMG-20191218-WA0012.jpeg
 
Back
Top Bottom