Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta was educated in La Masia, played for PSG, slugged it out in Scotland at Rangers, captained a defensive, counter-attacking team in David Moyes' Everton before captaining Wenger's Arsenal to two FA cups and then learning under Pep at City. Not a bad footballing education.
 
Carlo Ancelotti is on the verge of joining Everton. Ancelotti was an option for Arsenal but it seems as though they have opted for Mikel Arteta. [@DiMarzio]
 
The contract of Mikel Arteta should be: 2.5 year deal & around £3m / year. Board promised Arteta that they will back him in the January transfer window over new signings. #AFC (@WeberESPN)
 
MIKEL ARTETA NDO JINA LINALOTAWALA SASA KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA INASEMEKANA USIKU HUU YUPO NA KIKAO CHA MWISHO NA JOSH KREONKE KUFIKIA MAKUBALIANO KUINOA ARSENAL

Kwa upande wangu Arteta sio chaguo baya na nadhani hawezi kukubali kutia sign kama hajafikia makubaliano ya kupewa fungu nono la usajili kuanzia january

Japo watu wengi wanaona Arsenal ya sasa hata apewe nani itaharibu hii ni kweli..!! Unai Emery destroyed our culture tunahitaji mtu ambae atapigwa kwa ajili ya kujenga timu na Arteta akija atapigika haswa but kutakua na plans behind hatokubali kuja kuaibika lazima ataahidiwa pesa na atapewa

Kroenke sio bahili ila tajiri huogopa kutoa pesa yake kutokana na watumiaji kutotendea haki pesa yake

Mimi ni mfuasi wa Arteta 100% wampe timu sasa hivi achakazwe mpaka achakae lakini ikifika kwenye usajili nina imani ataanza kuijenga timu

Arsenal ya sasa haihitaji mafanikio inahitaji kujengwa Arsenal imebomoka sana

Arteta atafanikiwa sana Arsenal kama akipewa Misimu miwili ya kujenga timu

At least atatuletea vitu hivi vinne

-mfumo wa kuheshimika
-Hardworking Players
-Kujitambua kwa wachezaji
-Mpira mtamu wa Ki Arsenal, Arsenal

Jamaa sio mpole kama watu wanavyomdhania, alisikika Leroy Sane akisema wachezaji wanamuogopa Arteta kuliko Guardiola na yeye ndo uti wa mgongo wa timu kwa sasa

Ni mtu ambae wachezaji wanafuata amri yake mara moja bila kufokafoka

Kwanini Arteta miaka mitatu aliyokaa pale City tayari kuna debe linapigwa aje kumrithi Guardiola..!? Huitaji degree kujua kwanini

There is something in Arteta , jamaa Hajawai kuwa legend wa Arsenal but he is a leader

Arteta hacheki hovyo jamaa yupo serious sana

Arteta tayari ameshajua how to deal with big players

Aguero, De bruyne, silva , sterling na wengineo wamepitia chini yake

Amecheza Barcelona na Arsenal na Amefundisha man city kama msaidizi nadhani ni sahihi maana asilimia kubwa ya maisha yake ameishi kwenye timu zinazohusiana na zenye culture moja na Arsenal

Apewe misimu miwili na kujenga timu then msimu wa tatu tumdai makombe, hakika subira ni muhimu

Hata kama hatotupa kombe but atatuacha pazuri

Guardiola amejifunza kwa Johan Cruyff na leo hii Arteta amejifunza kwa mwanafunzi wa Johan Cruyff, ujuzi unarithishwa

He is our main man kama atafanikiwa

Nina imani Arteta hatokubali ku sign kama hajaahidiwa fungu la pesa

Sijui kama atakuja but moyo wangu umejenga imani nae

He knows our culture nina imani timu itapambana law ajili yake nina imani tutakuwa na watu wanaopambana
KAMA ARTETA AKIPEWA TIMU BASI APEWE NA MUDA WA KUJENGA TIMU


DONDOO MUHIMU


“My philosophy will be clear, I want the football to be expressive, entertaining. I cannot have a concept of football where everything is based on the opposition.”

- Mikel Arteta in his philosophy


At the end of his career at Arsenal, Arsene Wenger allowed Arteta to lead training sessions on numerous occasions after impressing him with “his eye for small details”. Even Arsenal-players, staff members and the club board were convinced that Arteta had a big future as a coach.


According to reports, Arteta impressed Wenger, Arsenal-players, staff members and the club board to such an extent that he was immediately considered as one of the favourites to lead a post-Wenger Arsenal. Arsenal were keen to hold on to him once he announced his retirement.


Mikel Arteta’s reputation as a promising young coach, however, got the new City-manager at the time, Pep Guardiola, interested in bringing him to City as part of his coaching staff. Arteta knew that this was a fantastic opportunity to learn from one of the best managers.



Pep Guardiola on Arteta’s impact on Raheem Sterling:

“Mikel Arteta is working many, many hours and days after training specifically about the last action on the pitch – that control in the last moment to make the right movement in the final three or four metres.

#COYG
IMG-20191216-WA0011.jpeg
 
#TATHIMINI YANGU NA MTAZAMO WANGU PIA

Moja tusisahau sana team yetu ina damage iko kwenye recovery period binafsi si expect makubwa kihvyo ila naangalia progressive ya kinachojengwa

Football analysis wala hakuhitajiki hasira binafsi jana niliona buld up play yetu haikuwa mbaya kuposess mbele ya team kama city sio jambo jepesi ( japo hatukutengeza mashambulizi hatari langoni kwao)

Hata waliomfunga City wengi wao walitumia quicky counter attacks kuwafunga halafu wanacheza collective defending hii mara zote inawawia sana ugumu city. ,rejea Man u ,Liverpool jinsi walivyomfunga city,

Kiungo chetu kama nilivyosema hatukuwa compact unaporuhusu free flowing ya viungo wa team pinzani basi unaruhusu build up kubwa ya magoal langoni kwako toka kwao

Mtu kama KDB ni creator ni mpigaji ukiruhusu afanye movements kulingana na plan zao kimchezo lazima tuumie na ndio kilitokea

Tulichezesha double pivot midfielders lakini bado guendouz hakuwa solid, ni mpigaji mzuri wa pass ila ni msindikizaji mzuri sana , ndio maana sijawahi kuamini kama Gunduz anafaa kuanza kikosi cha kwanza , na combination yake na LT11 au xhaka haijawahi kufanya kazi ,

Hivo torreira pekee hawezi ku cover ground nzima na city wanahitaji #zonal #marking ya viungo wao na attkers wao

Tuliruhusu goal nyepesi sababu kukosa marking lakini nafikiri hii ni sehemu ya kujifunza uwezi jifunza bila makosa

Tupo kipindi kigumu then tunakutana city inayohitaji kubounce back kimsingi kocha alijitahidi kujenga identity licha ya kufungwa sikuboreka kuangalia mpra

Usajiri hii ni kuboresha na usajiri ni kamali tusifikiri sana usajiri ndio suruhisho pekee bila utimamu wa team nzima kimbinu na kimchezo ata tuletewe nani hataonekana mzigo

Recovery inahitaji muda kiasi kurudi kwenye ukawaida kama ni matumizi makubwa ya pesa ata united wanatumia mno ila still bado team ina struggle kurudi kwenye best ways

Nipo na arsenal vipindi vyote shida hizi na furaha pia

COYG
FB_IMG_1576531389076.jpeg
 
So it seems Domenec Torrent might also join Arsenal as part of Artetas Staff ...would be a great appointment #afc #arsenal
IMG-20191217-WA0000.jpeg
 
Domenec Torrent, who was Pep's right hand man for a decade is said to be ready to become Mikel Arteta's assistant if Mikel Arteta decided to joinl Arsenal. Torrent left NYCFC last month & he's free agent right now.
IMG_20191217_070259.jpeg
 
Arsene Wenger:


“Once they make the decision in an objective way, I will support him (Arteta). Overall, he has all the qualities, he knows the club, he was captain of the club, a leader who has passion for the game - so why not?”
IMG-20191216-WA0011.jpeg
 
Arsenal interested in signing Bayer Leverkusen winger Leon Bailey. Summer approach is more likely than January. Chelsea also in the race for the player. #afc #cfc
 
niliskia xavi aloso ataungana na arteta! ni kwel Aaron?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yah Ila Alonso amegoma kwa taarifa zilizopo ,labda tusubiri Arteta akitangazwa official

Xabi Alonso (His future) "I’m at ease here (Sociedad) my head is only here, I have no other thoughts. No proposal has come to me and I am where I want to be. I’m very happy.”
 
Pep Guardiola confirms Arteta will be travelling with Manchester City for their clash against Oxford tomorrow. Also adds that Arteta is in talks with Arsenal and that he doesn't know what is going to happen.
#AFC | “He’s talking with Arsenal so I don’t know what will happen.” - Pep Guardiola on Arteta’s future.

He also confirmed he was aware of the meeting that took place on Sunday night.
Pep on Arteta meeting with Arsenal: "I knew about it. He was incredibly honest and transparent with me."


Mikel said his goodbyes after the Arsenal game. I'm sorry to see him go but we all wished him well. He's taught me a lot and I'm sure he will go on to have a great career.

- Raheem Sterling


Arsenal and Mikel Arteta have now reached a stage of negotiation where potential transfers are being discussed, with it now widely anticipated the former midfielder will take the job before the weekend. Mikel Arteta identifies Arsenal transfer targets


Arsenal and Mikel Arteta have now reached a stage of discussions where the Spaniard is now also discussing potential transfer targets for #AFC to sign in the future. [@MiguelDelaney]


Man City are insisting that Arteta’s contract be fully paid up by Arsenal before letting him go. This is not expected to be any issue for the Gunners. [@MiguelDelaney]
 
#MIKEL ARTETA NI UPI UTARATIBU WA KUFATWA NA JE NI SAHIHI KWETU

Sikupenda ongerla hii kitu mapema hadi mtu atakapo kuwa appointed ila nimeona niongee kidogo

Mimi nitasema kitu kimoja kwanini team ime concetrate na arteta kwa sasa kuliko candidates wengine

moja kila club ina set #objectives na #policies zao hivyo wanahitaji mtu anae jua mazingira ya club na nature yake kwa usahihi zaidi

Arteta kacheza arsenal anaifahamu identity ya club isotoshe kawahi kuwa hadi team captain hivyo moja ya sifa kuwa favorate kwake

Mbili team haitaki kurejea kosa ililofanya kumchukua Emery ,

ukifatilia speech ya josh baada kumfukuza emery ni kwamba wanatafuta right candidate na sio first candidate .

Sehemu iliyo mfelisha emery pia ni lack of transparent ( uwazi ) sababu language barrier hii kwa arteta haipo ni moja ya kigezo pia Bodi imesema itakiangalia sana.

Ok nafikiri process za kumtoa city sio siku moja licha ya kufanya mazungumzo na arteta mwenyewe bado team inatakiwa kufanya mazungumzo na city ambayo kwa taarifa nimesoma yapo kwenye hatua nzuri yanahusu

Arteta mpaka sasa kabakiza miezi 18 tu mkataba wake na city, hivyo kumchukua kwa muda huu arsenal inabidi kulipia kitu kinaitwa compensation fee

Hii ni fedha hutolewa kufidia loss iliyotokea kwa muajiri wa mwanzo maana kumuondolea sehemu ya back staff inahitaji muda kwao kufanya replacement pengine kufix plan upya ambazo zilikuwa tayari fixed kwa huyu aliyeondoka

Vyombo vinareport ni karibu £ 1.2m agreement ikifikiwa na officials vilabu vyote basi arteta atakuwa free kutambulishwa kama itakuwa ( najua ni pro hawezi kubali kusign contract pasina kudemand nini anahitaji ili kujenga kilicho bora nafikiri kina fahm contract negotitor wa arsenal watakamilisha)

LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA

Tuwe wavumilivu mimi ni team

#Hatutoki wala #hatuhami
IMG_20191217_213438.jpeg
 
Arsenal closing in on Manchester City double swoop with talent-spotter Sam Fagbemi set to join as talks continue over Mikel Arteta becoming new boss. [@SamiMokbel81_DM]

Arsenal are raiding Manchester City for another key member of their backroom team with talent-spotter and leading recruitment specialist Sam Fagbemi set to move to the Emirates. The move is at an advanced stage and is expected to be concluded in the coming days. (Mail) #afc


Fagbemi, 25, currently leads City's youth scouting strategy in the south, working closely with head of academy recruitment and talent Joe Shields - who Arsenal have also tried to lure to the Emirates. (Mail) #afc


As well as Fagbemi, Arsenal are also targeting Wolves' highly-rated talent spotter Phil Antwi. (Mail) #afc
 
Back
Top Bottom