Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,307
Daaah tumefikia huko mkuu, kusubiri kocha atimuliwe ndio tumchukue?Carlo Ancelloti sacked, now available for arsenal job
Kwangu mimi sioni kama Carlo Ancelloti ataweza kusolve matatizo yetu tuliyonayo na kuweka misingi mizuri ya baadae.
Tunahitaji kocha anayeweza kuunda kikosi cha ushindani, kocha mwenye uwezo wa kuinua molari za wachezaji uwanjani.
Sent using Jamii Forums mobile app