Wewe ndie huna jipya na husomagi maamndiko ya wenzakoHuna jipya,hakuna anayemshambulia Freddie kwa muda huu,
Tafuteni Coach, huyu atawashusha daraja.. Sioni kipya kilichoongezeka zaidi ya wachezaji kucheza kwa morali kwakua ni coach mpya.. But kwa mbinu ni vile vile tu.
Unamuachaje Willock mpk dk ya 70, anaingiaje Saka wakati nje una 70mil paund iko kwenye Bench?
Hahaha huyo uliyemquote kama sample yako una uhakika ni shabiki wa Arsenal?umesoma vizuri alichoandika au hujui kutafsiri?????Wewe ndie huna jipya na husomagi maamndiko ya wenzako
Wako wengi tu wameanza kumshambulia nimeweka sample hapa na mashabiki tano hivi wa Arsenal wamelike
Mkuu unajihangaisha kubishana na huyo jamaa.... Mm nimemuona toka jana anavyohangaika humu...wakupuuzwa tu huyo..Hahaha huyo uliyemquote kama sample yako una uhakika ni shabiki wa Arsenal?umesoma vizuri alichoandika au hujui kutafsiri?????
Nakiri hiyo nilichemka ila muda tu hakuna kuna wengi humu wameshaanza kumkosoa kochaHahaha huyo uliyemquote kama sample yako una uhakika ni shabiki wa Arsenal?umesoma vizuri alichoandika au hujui kutafsiri?????
Naona sasa umeanza kukua,safi sana kwa kukubali kuwa umekurupuka na ni kawaida yako kukurupuka....Nakiri hiyo nilichemka ila muda tu hakuna kuna wengi humu wameshaanza kumkosoa kocha
Jigga atakuwa ameacha kuja Emirates sababu ya stress!!Happy 50th Birthday Gooners #Jayz
Shawn Corey Carter, known professionally as Jay-Z, is an American rapper, songwriter, producer, entrepreneur, and record executive. He is regarded as one of the greatest rappers of all time.
Born: December 4, 1969 (age 50 years), Brooklyn, New York, United States
Net worth: US $1 billion (2019)
Spouse: Beyoncé (m. 2008)
Children: Blue Ivy Carter, Rumi Carter, Sir CarterView attachment 1281759View attachment 1281760
Timu yetu haitabiriki ipo ipo tuJigga atakuwa ameacha kuja Emirates sababu ya stress!!
Jana kipofu kaoba mwezi!6th [emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1282052
Jana kipofu kaona mwezi!
Aje Diego simionAtlético Madrid may part ways with manager Diego Simeone soon. Members of the board are dissapointed with the performances and had set out clear objectives for the league and Champions League. [@marca]
Arsenal could land Carlo Ancelotti for free next week. [Mirror]
Arsenal could land managerial target Carlo Ancelotti for free next week ARSENAL on Twitter
Wewe umeweka msimamo hahaaaaa basi hii game tunashinda na tumakupita kwa point.....6th [emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1282052