Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa tathmini yako, unaona hii timu lini itacheza UEFA?
Mkuu tuna kikosi dhaifu huu ni ukweli, kuna takataka nyingi zinabidi ziondoke tuunde timu ya ushindani.

Kwa msimu huu tukimaliza top 6 itakua ni mafanikio, binafsi naamini kama mabadiliko ya kuondoa takataka yakifanyika timu itaweza kucheza UEFA misimu 2 ijayo baada ya huu.
 
Tafuteni Coach, huyu atawashusha daraja.. Sioni kipya kilichoongezeka zaidi ya wachezaji kucheza kwa morali kwakua ni coach mpya.. But kwa mbinu ni vile vile tu.

Unamuachaje Willock mpk dk ya 70, anaingiaje Saka wakati nje una 70mil paund iko kwenye Bench?
 
Mkuu tuna kikosi dhaifu huu ni ukweli, kuna takataka nyingi zinabidi ziondoke tuunde timu ya ushindani.

Kwa msimu huu tukimaliza top 6 itakua ni mafanikio, binafsi naamini kama mabadiliko ya kuondoa takataka yakifanyika timu itaweza kucheza UEFA misimu 2 ijayo baada ya huu.
Huu ndio ukweli mchungu.
 
Tena wachovu wengi wapo nyuma huku wanakera kweli yaani.
 
Hivi hatuwezi kutafuta CB wawili U-23 wakaanza kucheza kwenye first team yetu. Hawa tulionao hawana uwezo huo. Magoli yote ni Uzembe kabisa, wanachelewa kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.
Mkuu kama hawa CBs tulionao wenye uzoefu wanafanya school boy mistakes, hao amateurs wa U-23 si ndo wataleta majanga makubwa?

Inatakiwa tupate CBs wenye uzoefu wataotengeneza chemistry nzuri baina yao, kwenye mpira hakuna shortcuts kama huwekezi kwa akili tarajia maumivu.
 
Ljungberg bado ana element za u- unai, he is still shy to come out of the bench and give instructions.
 
No team with fewer than 21 points after 14 Premier League games has ever finished in the top four
 
Back
Top Bottom