ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,527
- 7,923


Mkuu hata ww na timu yako ulipitia kipindi tunachopitia sisi kwa sasa, so tuache na timu yetu.Karibuni kwenye uzi wa Liverpool tujadili mambo ya mpira. Achaneni na huu mtimu wa kuumiza moyo.
Of course..Ila tuipongeze Arsenal yaleo na tumpongeze kocha. Kwanza timu nimeona ikicheza kwa kujituma na kutafuta ushindi, pili kocha ni mara yakwanza anapanga kikosi kikubwa, tatu Norwich wapo onfire. Mimi naona 2-2 tumejitahidi, ninauhakika kwa Emery tungepigwa
Liverpool timing bomb
Mkuu hata ww na timu yako ulipitia kipindi tunachopitia sisi kwa sasa, so tuache na timu yetu.
1)Leo baada ya kipindi kirefu tumeweza kumiliki mpira kwa almost 70 minutes Kati ya 90 minutesHaya unaweza kufanya tathimini:-
UPANGAJI WA KIKOSI CHA LEO VS KIKOSI CHA EMERY
MFUMO WA LEO VS MFUMO WA EMERY.
KIWANGO CHA WACHEZAJI LEO VS EMERY ERA.
Huyu kocha angepanga kikosi vizuri,tungepata ushindi vizuri... Sifurahii sare,but at least kuna improvement kiasi flani....Norwich wametoka kumpiga Everton kwao 2-0...hivyo si timu ya kubeza....Nina uhakika 'good ebening' asingechomoka na pointi hii gemu...Haya unaweza kufanya tathimini:-
UPANGAJI WA KIKOSI CHA LEO VS KIKOSI CHA EMERY
MFUMO WA LEO VS MFUMO WA EMERY.
KIWANGO CHA WACHEZAJI LEO VS EMERY ERA.
Ila tuipongeze Arsenal yaleo na tumpongeze kocha. Kwanza timu nimeona ikicheza kwa kujituma na kutafuta ushindi, pili kocha ni mara yakwanza anapanga kikosi kikubwa, tatu Norwich wapo onfire. Mimi naona 2-2 tumejitahidi, ninauhakika kwa Emery tungepigwa
Ww ndo unateseka hapa...si uende jukwaa lakoShauri yenu, endeleeni kuteseka.
1)Leo baada ya kipindi kirefu tumeweza kumiliki mpira kwa almost 70 minutes Kati ya 90 minutes
2)Mfumo wa Leo tumeonyesha kuna improvement licha Freddie ana siku 2 tangia aanze kazi
3)Tatizo lipo nyuma Mustafi is useless kabisa na hata wachambuzi wanasema goli 2 ni zake
4)Katikati pia pana shda sana hasa Matteo na Xhaka muda Mwingi hawatabiriki yaani kutoa boko ni kitu cha kawaida
5)Sub za Freddie nazo zina shda hasa Pepe ambaye ilikuwa ni lazima aingie tutafute magoli zaidi ila sababu anampenda mwanae Sako akaleta mapenzi binafsi
La mwisho Msimu huu kwangu mimi binafsi naona hata top Six hatutamaliza tujiandae kwa hili
Ww ndo unateseka hapa...si uende jukwaa lako
Naona Unajisahaulisha, wewe hata Europa ulikuwa unaikosa.Kwa tathmini yako, unaona hii timu lini itacheza UEFA?
Hivi hatuwezi kutafuta CB wawili U-23 wakaanza kucheza kwenye first team yetu. Hawa tulionao hawana uwezo huo. Magoli yote ni Uzembe kabisa, wanachelewa kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.Hawa Norwich wanatushambulia sana, na inabidi tukubali kuwa hatuna CBs