permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,328
- 15,036
Ungeanza na JulioHaha picha inachekesha sana hiyo..
Ungeanza na JulioHaha picha inachekesha sana hiyo..
2-1Tumerudisha, Norwich 1 - 1 Arsenal
Aubamayang (P), dk. 28


Umeona ubora wa magoli yao?Mkuu kama inakuuma, kasomee u-refaree uwe unatoa maamuzi kwenye mechi.




Hana uwezo wa kumiliki mpira, akipokwonywa hana uwezo wa kuurejesha, hawezi kukaba, hana muono wa pass.Willok anatukosti
Hana uwezo wa kumiliki mpira, akipokwonywa hana uwezo wa kuurejesha, hawezi kukaba, hana muono wa pass.
Kiufupi Willock hana hadhi ya kuichezea Arsenal, below average player.
Ndio maana nauliza tena anayejua kwann huyu mwehu anaanza F11 aniambie.
Kuna haja ya kumuamini Rob Holding sio hawa jamaa.Backline yetu inasikitisha sana, Liuz na Mustafi wanafanya makosa ya kipuuzi sana.
Philosophy ya unai kuwatoka ina hitaji mudadaaaah alaa xjui kama ii timu itakuwa strong tena nishaikatia tamaa bora tuende championship.
mmmhhhhhhhh najtahid san kuwa mbali na hii timu baada ya muda mahaba yanarudi tena kwa kasi ya 4g.
Siku zote ukimuona mustafi cb tarajia majangaKuna haja ya kumuamini Rob Holding sio hawa jamaa.
Luiz hana kasi, ni mzuri timu inapokua inashambulia ila kama unashambuliwa hana uwezo wa kukaba.Backline yetu inasikitisha sana, Liuz na Mustafi wanafanya makosa ya kipuuzi sana.
Sijui kama tuna kocha wa mabeki, kama yupo ni tatizo kubwa sana. Tatizo Letu la msingi lipo kwenye beki zetu za kati. Mabadiliko makubwa yanahitajika.Kuna haja ya kumuamini Rob Holding sio hawa jamaa.