Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Screenshot_20191201-162934_Goal News.jpg


Game # 8 vs Bournemouth he was performer number 4
 

Attachments

  • Screenshot_20191201-162934_Goal News.jpg
    Screenshot_20191201-162934_Goal News.jpg
    54.9 KB · Views: 5
Willock Willock Willock

Ana kitu gani cha ziada ambacho mimi sikioni?, anayejua naomba aniambie.
Naanza kuamini tuna tatizo zaidi ya Unai. Kama Willock /Guendouz ndio tegemeo Letu. Hawa ni wachezaji wa huko Aston Villa sio Arsenal. Tunahitaji kocha atakayefanya maamuzi magumu.
 
Kwa hiyo for the past 13 games Guendouzi amekuwa best performer kwenye mechi 3. Hizi ndio numbers and numbers do not lie.

Hatusemi kwamba ndio the best midfielder in EPL lakini kwa wachezaji waliopo Arsenal lazima Guendouzi atapata namba tu mtake msitake
 
NAONA REFA ANAWATAFUTIA USHINDI KAMA WA MWAKINYO, PENALT INARUDIWA ETI WAKATI KRUL ALISHAITOA..PUMBAF
 
Back
Top Bottom