Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

MTAZAMO WANGU JUU YA LJUMBERG

Tusiwe wepesi kusifu pia tusiwe wepesi kukosoa hadi tuone kipi kafanya kwa mazingira kaachiwa team iko disorganised sana anahitaji muda kufanya kitu kama kweli anahitaji changes

Fredie sio mgeni kwenye career ya ukocha licha ya kwamba hajawahi kustand kama head coach wa senior team alikuwa huko youth team under15 baadae under23 hivyo ana kitu

Kitu cha msingi anatakiwa kujenga ni ushawishi na kuwa muwazi ( #transparent) kimbinu kiuchezaji najua kwake language barrier haipo

Kama ilivyokuwa kwa Unai wachezaji hasa hawa vijana kama Saka,willock waliwahi nukuliwa kwamba aliwasaidia sana kutafsiri nini kocha anahitaji kipindi akiwa msaidizi

Hii ni ishara nzuri kukubalika kwa wachezaji isitoshe huyu ni arsenal #DNA anajua #identity ya club tangu 1998 adi 2007alipokuwa arsenal kama mchezaji

Hofu yangu ni #experience tu (uzoefu) kushindana na hawa makocha wengine epl ambao tayari wapo #completed #package kimbinu

Ila kwa vile ni interm coach tusubiri tuone nini kitajiri

zaidi muda ni mwalimu sahihi
IMG_20191130_200406.jpeg
 
zaidi muda ni mwalimu sahihiView attachment 1277894
Huyu tutamvumilia
 
Arsenal DNA imerudi na Ljumberg kawambia wachezaji wawe huru, wapambanie timu na wajue thamani ya kuvaa jezi ya Arsenal waipiganie na wafurahie tena kucheza mchezo wao waliouzoea. #
IMG-20191130-WA0015.jpeg
 
Iwapo atatumia 4-3-3 I predict

(4-3-3): Leno; Bellerin, Holding, Sokratis, Tierney; Xhaka, Torreira, Guendouzi; Ozil, Aubameyang, Lacazette.
 
Freddie Ljungberg will take charge of Arsenal for the first time on Sunday against Norwich. But, the newly appointed interim head coach has a few pressing injury concerns to deal with ahead of the Gunners’ latest Premier League fixture.

The major issues lie in defence, an area that is already blighted with inconsistencies. David Luiz (bruised ribs), Shkodran Mustafi (ankle), Rob Holding (knee), Sead Kolasinac (thigh) and Hector Bellerin (hamstring) are all facing a race against time to prove their fitness to take on Norwich.

The spate of injury doubts means that Calum Chambers and Sokratis could combine at the heart of the Arsenal defence, while Bellerin could be risked on the right flank. Kieran Tierney, who featured in the 2-1 loss to Eintracht Frankfurt, should keep his place as the left-back.

Ljungberg is expected to line his side up in the 4-2-3-1 formation. In the midfield double pivot, Lucas Torreira ought to feature as the holding midfielder, with Matteo Guendouzi likely to pip Granit Xhaka to the second spot in the middle of the park.

Mesut Ozil is expected to be given the free role in the hole, from where he can pull the strings. The so-called ‘fab four’ should start together for the very first time, with Ljungberg expected to keep things simple. Nicolas Pepe and Pierre-Emerick Aubameyang will, therefore, be the two wide men, with Alexandre Lacazette being the central striker.

Probable Lineup (4-2-3-1): Leno; Bellerin, Chambers, Sokratis, Tierney; Guendouzi, Torreira; Pepe, Ozil, Aubemayang; Lacazette
 
Sio kweli.

Moja ya vitu vilivyom-cost sana Emery ni vitu lake na ozil.

Guendouzi is one of the very important player kwenye squad ya arsenal.

Tukutane saa kumi na moja
Huyu mtoto bado sana ,

Na ndiye anaicost sana midfield yetu

Mwaka wa pili huu ana assist 1 kama sikosei ,

Ana mapungufu mengi sana , bado hatakiwi kuanza mbele ya kina toreira. Xhaka na ceballos
Mnatumia nguvu kubwa bure umo hamnamo mchezaji daraja LA Arsenal

DM Torreira offensively yuko njema pamoja na kucheza kiungo mkabaji Alitupia Goli muhimu za kuipa matokeo Team

Defensively yuko njema haya Mateo last season kamaliza hana hata assist

msimu huuu ndio kaipata moja

Kiukweli tukiacha ushabiki, huyu mtoto bado sana kuingia kikosi cha kwanza ,inabid waanze kaka zake ,yeye atokee bench hasa mech tukiwa tumeikamata .
 
Back
Top Bottom