Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ORNSTEIN | Mauricio Pochetino ndiye chaguo la kwanza la Arsenal kama mrithi wa Unai, kinacho subiriwa ni jibu lake tu.

Changamoto za kumpata Pochetino ni 2 ambazo ni ndogo sana na zina tatulika yaki tengenezwa mazingira mazuri:

1. Alisha weka wazi kwamba hatokuja kuwa kocha wa Arsenal kutokana na uhasimu wetu na Spurs.

2. Malipo ya £12m ya Kipengele cha kuvunja mkataba na spurs endapo asipo ajiriwa tena ndani ya miezi 6.

#coyg
emoji837.png
emoji836.png

Mkuu, Chaguo namba moja la Arsenal ni Brendan Rogers

Leicester wamesema watataka 14M za fidia ambazo Raul na Edua hawataona shida kwani watamweleza mzee Kroenke na familia yake.

Huyu anazungumza kiingereza safi na anawasiliana uzuri na kwa usahihi na media..

Media presence ya Arsenal imeporomoka sana hivi karibuni hivyo wanataka ku-fix hiyo.

Wakimchukua Rogers basi Leicester inashuka chini na Arsenal itapanda juu.

Hivyo Freddie ataipeleka timu hadi msimu uishe na huenda wakamchukua Rogers kabla ya msimu ujao ila itategemea na matokeo ya sasa ya Freddie.

Kwa uifupi wanataka Arsena ileile ya Arsene Wenger yaani mawasiliano mazuri na media na kiingereza.

Pochetino na Allegry ni chaguo jingine ila ni kwa sababu hizohizo za hapo juu, Arsenal wanaona Rogers anafaa zaidi kwa malengo ya muda mrefu.

Nuno ni chaguo namba mbili lakini nae ana rekodi nzuri tu kutokana na Wolves lakini bado hajanyakua kombe lolote.

Kuna Marcelino aliekuwa Valencia ambae ae ndo kwanza sasa hivi anajifunza hii lugha ya kiingereza, lugha ya wala mayai.

Hivyo tusubiri mazee Raul Sanllehi na Edu watakapoanza mchakato kuwapigia simu walengwa wote Jumatatu.

Idea ni kuirudisha Arsenal kukekule ilikokuwa kwenye mpira wa mashambulizi mengi na mgoli kwa wingi.
 
Mkuu, Chaguo namba moja la Arsenal ni Brendan Rogers

Leicester wamesema watataka 14M za fidia ambazo Raul na Edua hawataona shida kwani watamweleza mzee Kroenke na familia yake.

Huyu anazungumza kiingereza safi na anawasiliana uzuri na kwa usahihi na media..

Media presence ya Arsenal imeporomoka sana hivi karibuni hivyo wanataka ku-fix hiyo.

Wakimchukua Rogers basi Leicester inashuka chini na Arsenal itapanda juu.

Hivyo Freddie ataipeleka timu hadi msimu uishe na huenda wakamchukua Rogers kabla ya msimu ujao ila itategemea na matokeo ya sasa ya Freddie.

Kwa uifupi wanataka Arsena ileile ya Arsene Wenger yaani mawasiliano mazuri na media na kiingereza.

Pochetino na Allegry ni chaguo jingine ila ni kwa sababu hizohizo za hapo juu, Arsenal wanaona Rogers anafaa zaidi kwa malengo ya muda mrefu.

Nuno ni chaguo namba mbili lakini nae ana rekodi nzuri tu kutokana na Wolves lakini bado hajanyakua kombe lolote.

Kuna Marcelino aliekuwa Valencia ambae ae ndo kwanza sasa hivi anajifunza hii lugha ya kiingereza, lugha ya wala mayai.

Hivyo tusubiri mazee Raul Sanllehi na Edu watakapoanza mchakato kuwapigia simu walengwa wote Jumatatu.

Idea ni kuirudisha Arsenal kukekule ilikokuwa kwenye mpira wa mashambulizi mengi na mgoli kwa wingi.
Nimekupata mkuu

Leo Rodger alipoulizwa kuhusu kujiunga Arsenal


Brendan Rodgers on being linked with the #Arsenal job: "We think we are starting something exciting. Arsenal is a fantastic club. One of the greats in this country. If the people at #Arsenal have moved Unai on, I’m sure they have an idea of who they want to bring in" Gurjit on Twitter
 
Ornstein on Pochettino:

'I think more so that come would down to whether he [Mauricio] want to do it and how the reaction would be among Tottenham fans would be very interesting, if it was to develop'
 
Ornstein on Mikel Arteta:

'Mikel Arteta of course has admirers. However, he didnt get the job last time and he hasn't done a lot that would suggest that he would get the job this time. Other than continuing his very impressive path at Man City with Pep Guardiola. Many people..think that he has eyes on the job there and taking over and succeeding Pep one day. The only difference, one person told me, between him [Arteta] and Freddie is that he's worked with Pep Guardiola. So I think there would be reservations there as well.'
 
Ornstein on Allegri:

'No, I don't think that will happen. Allegri did not impress Arsenal when he was interviewed for the job in 2018. He barely spoken any English, even in small talk and his agent was said to speak more English than he spoke in Italian'
 
David Ornstein:

A number of people are mentioning Brendan Rodgers. There was huge admiration and possibly there still is among the Arsenal hierarchy. Let's not forget that he was not interviewed last time, when 8 candidates were interviewed and Emery got the job. It was deemed..by some that he wasn't quite ready to make the move from Celtic perhaps. His character wasn't quite right at the time and some reservation over some of the players he'd be dealing with and whether he was capable of handling their personalities and egos.
 
Ljungberg on saying he’ll bring smiles back to faces:

“At the end of the day, if you play good football & have a result, there’s nothing better than that to raise spirits.” #afc
Ljungberg on his coaching staff: “I’ve been asked to organise what I can. It’s been quick, it’s been a quick turnaround since yesterday! I’m trying to look at Norwich & trying to sort everything out but of course, I think we’ll have things in place for the game tomorrow.” #afc
IMG_20191130_200608.jpeg
IMG_20191130_200500.jpeg
IMG_20191130_200406.jpeg
IMG_20191130_200423.jpeg
 
Freddie

on how he would you describe his approach to the game…


I've been at Arsenal for a long, long, long time, I like entertaining football but of course at the same time you can't concede goals. That's a tricky balance to find. For me, happy footballers play the best football. That's a part I learnt as a player, there is a time to work hard but at the same time we need to enjoy what we're doing. Often the players we have enjoy playing offensive football which makes them happy.
IMG_20191130_200406.jpeg
 
Club owner Stan Kroenke's son Josh Kroenke was there at London Colney to witness Freddie's first full session as Interim Head Coach, with Per Mertesacker getting involved too.

He also gave a quick team talk to the squad and staff on field today.

Sunday Norwich I'm ready
IMG_20191130_204447.jpeg
IMG_20191130_204442.jpeg
IMG_20191130_200722.jpeg
 
JOSH KREONKE INTERVIEW ALIYOFANYA LEO

'We can still achieve our goals'

Following the appointment of Freddie Ljungberg as interim head coach, Josh Kroenke spoke to us on behalf of the board and owners Kroenke Sports & Entertainment.

He explained the reasons behind the decision to replace Unai Emery and outlined the next steps.

Here's a transcript of the interview:

on how the decision came about…
Like all of our fans and supporters around the globe, we've been concerned about our recent string of performances. We wanted to support Unai and his staff until we decided it was time to make a change and ultimately we came to that decision over the last several weeks as a group between myself, Raul, Vinai and Edu.

on how difficult the decision was...


Very difficult. First and foremost Unai is a good man, someone that we all respect very much. His work ethic on a daily basis between him and his staff was fantastic. Ultimately we started to fall short of several goals that we set. We still feel that we can achieve those goals this season, which is why we decided to make the change now.

on Freddie Ljungberg taking over...


First and foremost Freddie has Arsenal DNA. Obviously he was a player here for a number of years, the supporters know him very well and he's worked diligently behind the scenes for the past several years, including the last year and a half or so with Arsenal again. So it's been great to have him around, he knows the club's DNA and we feel he is the right person in the moment to take the club forward.

on his message to Freddie and the players...
My message to Freddie and the players was let's get back to basics and most importantly let's get back to having some fun. I think footballers are at their best when I see smiles on their faces and going out there and winning matches. That's a winning formula to me.

on the process now...
Our process is already underway. It's going to be led by Raul, Vinai, Edu and Huss here internally. I look forward to getting with them and working closely with them throughout this process.

on a timescale...
Because of our confidence in Freddie we're very fortunate that we're going to be entering into our process and doing a thorough search and it's about finding the right candidate, it's not about finding the first candidate.


Copyright 2019 The Arsenal Football Club plc. Permission to use quotations from this article is granted subject to appropriate credit being given to www.arsenal.com as the source.

IMG_20191130_204447.jpeg
 
KWANINI UNAI HAWEZI KUKUMBUKWA NDANI YA ARSENAL ??

Unai hakuwa chochote ndani ya arsenal kutokana na alichokipanda na alichokivuna.

Unai kashindwa kuitengeneza timu ya kwanza miezi yake 18.....

Unai kaleta mgawanyiko wa wachezaji ndani ya arsenal....

Unai kaleta mgawanyiko wa mashabiki ndan ya arsenal....

Unai kavunja record nzuri na kuweka mbovu ndani ya arsenal....

Unai kaiharibu historia ya uwanja wa Emirates toka uanzishwe......

Unai kasababisha wachezaji maarufu na stars ndani ya arsenal kupotea.....

Unai kaishushia arsenal mapato.....

Unai kaiondoa falsafa ya mpira wa arsenal....

Unai kawashusha thamani sana wachezaji wa arsenal.....

Unai karuhusu goli nyingi zaid ya alizoruhusu Wenger msimu wake wa mwisho na wa pili kutoka mwisho......

Kwa haya yote hawezi kukumbukwa kwa lolote maana hana zuri kubwa alilolifanya ambalo watu wengi watakaa walikumbuke.

Kama Freddie ataweza kufanya hata matatu kati ya hayo hapo juu na akarekebisha akafanikiwa basi huyu anaweza akaja kukumbukwa zaidi ya unai.

Freddie akitengeneza timu ya ushindani....tutamkumbuka na tutampenda

Akiwa na kikosi permanent yaan first eleven ...tutaweza kumkumbuka maana tutaona wapi anakwama na WAP anafanikiwa.

*Unai hana cha kukumbukwa ambacho kinaweza kuiumiza arsenal au kuwaumiza mashabiki na kuwafanya wammic*
FB_IMG_1575115134236.jpeg
 
JOSH KREONKE

on Freddie Ljungberg taking over...

First and foremost Freddie has Arsenal DNA. Obviously he was a player here for a number of years, the supporters know him very well and he's worked diligently behind the scenes for the past several years, including the last year and a half or so with Arsenal again. So it's been great to have him around, he knows the club's DNA and we feel he is the right person in the moment to take the club forward.
IMG_20191130_200704.jpeg
 
Ljungberg in 2016:


"When Arsene leaves, I'd like us to have a manager who has an attacking and passing game and doesn't change it. That's extremely important because he has been here for 20 years and built all that up."
IMG_20191130_200722.jpeg
 
Back
Top Bottom