Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Tunaelewa Freddie sio kocha wa kiwango cha juu, lkn mwamba ana DNA ya Arsenal, bila shaka atapata msaada wa kutosha kwa mashabiki na wachezaj pia. Jambo la msingi ni Unai kusepa, hapa weekend imekua nzur sana
halafu nasikia wamelichelewesha dili la kumfukuza emery mpaka leo kisa leo ni black friday