Kwahiyo unahisi Emery ni kama Zahera?Mna roho mbaya sana, UNAI ana watoto na familia inayomtegemea.. Dah
Kwahiyo unahisi Emery ni kama Zahera?Mna roho mbaya sana, UNAI ana watoto na familia inayomtegemea.. Dah
Haihitaji kurunzi kujua tatizo ni kochaItakua aibu tutakapogundua tatizo siyo kocha.
Haya maisha hatujayazoe ndio maana imetuchukua muda sanaSimba akianza kula nyama ya binadamu kwamwe haachi. Karibuni kwenye maisha ya kufukuza fukuza makocha.
Hakuna kitu kama hicho ,Unakuja kocha mpya mashabiki wataanza kumlaumu Ozil.