Tulikua tunafungwa siyo kwavile Ozil hachezi. Ozil tangu enzi za Wenger hajawahi kua form mfululizo.
Atashine mechi mbili atapotezana tatu au kinyume chake au akaflop zote tano.
So wanaodhani kocha ajaye atahakikisha ushindi kwa kumpa namba Ozil ni wanakosea.