Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nilichopenda leo timu ipo active, wachezaji wanajituma kilichokosekana hakuna link kwenye ushambuliaji. Akipatikana mtu kama Ozil au Ceballos pale mbele kutakuwa na attacks za kueleweka.
 
Pamoja na kocha Unai kuwa ana matatizo yake, Ila wachezaji wetu naona wapo lazy sana wanapooza mpira, wanapoteza pasi kizembe .Kama hawana cha kupoteza.

Sasa sijui haya nayo ni maelekezo ya kocha. Ukimtoa Auba/Xhaka/Tierney kwenye kikosi kilichoanza sidhani kama kuna aliyebaki ambaye ni mzuri kiviile.
 
Mkuu hili tatizo lipo kwenye timu yetu Unai kuvuruga timu kuanzia kwenye dressing room mpaka uwanjani so hakuna wachezaji watakaojitoa kwa 100% na haya ndio matokeo yake sasa
 
Back
Top Bottom