Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ormstein anasema kwamba mpaka sasa inavyoonekana Emery atakuwepo kwenye benchi la ufundi siku ya Alhamisi.

Wachezaji walipewa siku mbili za mapumziko; jana na leo. Habar zaidi zitatoka baadae
Kwa wachezaji kupewa siku mbili za mapumziko na ilihali tuna mechi Alhamisi, inaonesha kuna kitu kinaendelea.


David Ornstein: Unai Emery still in charge on Thursday "as things stand". #AFC
 
Na maboss wa Arsenal hawajazoea haya maisha ya kutimuatimua makocha, what if akaja kocha mwingine kilaza zaidi ya Emery mtafukuza tena.

Na kweli kwa sasa sioni kocha atakayekuja kuwapa makombe kwa haraka ndani ya mwaka labda mmpate Conte, Gadiola. Even Arteta atahitaji kujenga timu zaidi ya miaka 3.
Duniani hakuna kocha kilaza kama emery
 
Arsenal haven’t tweeted in nearly a day. I can’t remember the last time that happened.
 
Huyo ARV ana gundu sijapata kuona!.. Yaan kila akipost matokeo humu lazima wasawazishe na kuiacha timu yake ikiwa taabani
Jamaa hajawahi kuleta msimamo wake ukabaki vile vile

Ana gundu ,sijui aliwahi kupata wapi laana
 
Half Time:Emirates stadium
Arsenal shots 3 on Target 1
Southampton shots 10 on Target 2
Kum******* naapa hii bodi ya Arsenal kama kama kama wanakitu na Unai ni heri watuambie Mashabiki tuchukue maamuzi magumu
Sasa mfano wewe mnyaturu wa mabepwande ni maamuzi gani magumu utachukua?
 
Kwa kuwa nimeona mpira wa spurs chini ya poch. Je Mashabiki mko tayari kumvumilia pochettino miaka 4 ajenge timu kali ya kuchukua ubingwa?
Arsenal hii haiitaji miaka minne

Kitu hiki hata mou alikisema , pale nikuongeza wachezaji wachache tu eneo la back line

Alichofeli emery hadi anashindwa kuvumiliwa na mashabiki sio udhaifu wa kikosi maana kwa historia ya arsenal ndan ya miaka 10 hakuna kikosi cha gharama na chenye talent moja moja kama hiki ,

Alichofeli emery ni kushindwa kutengeneza chemistry ya timu

Kila mech anakuja na tactic na formation mpya , yeye kila mech kwake ni majaribio

Alikuta arsenal ina flow nzuri ya kucheza mpira. ,akajifanya kufumua kila kitu alichoacha mzee Wenger ,matokeo yake hata kumiliki mpira iwe home au away hawezi

Akiwa sevilla aliwahi kucheza msimu mzima bila kushinda away , hivo kinachotokea arsenal sio kigeni

Ilishaonekana wazi wazi Eneo la kiungo

Xhaka na Toreira ndio best na solid midfielder ambapo Arsenal inaonekana inaimarika

Cha ajabu Hamtaki toreira au anamchezesha out of position

Emery ni mbovu kwenye sub , mbovu kwenye eneo la defence toka akiwa Valencia ,

Kwahiyo Huyu ni kocha ambaye ni wa ovyo sana , unambiwa hata team selection inamsumbua

Vitu hivi kwa Poch hana , ana udhaifu wake lkn sio kwenye kukosa Chemistry, kukosa team selection ,
 
TUJIFUNZE HIKI PIA HISTORY NI HONOUR TU NA SIO YALIYOPO

Dunia ya leo ukizungumza machester united basi ni kati ya team zenye historia kubwa mno kwenye soka la wingereza

Ukimtaja carlo ancellot ni kocha mwenye historia kubwa tu kubeba UEFA 3 akiwa na team mbili tofauti

Lakini yote hayo hayakumfanya ancellot asifukuzwe madrid yote haya hayakufanya ancellot asifukuzwe chelsea yote hayo hayakufanya ancellot asifukuzwe buyern

Ok hiyo historia ya united haijawasaidia kitu mwaka wa 6 huu hawapati kombe la league wana struggle mno mbali na arsenal kupotea ila united kafanikiwa kumaliza juu yake mara 1 tu ndani ya hiyo miaka 6

Tunajifunza nini historia zitabaki zilipo kuwa ila future inajengwa na kilichopo sasa hivi huu utetezi wa unai ana

Europa 3 sijui winning % kubwa PSG haujasaidia arsenal kufikia malengo yake tangu msimu jana hiyo historia haijasaidia kutupa point zaidi kuambulia point 3 ndani ya match 5 za mwisho

Watu wanasema ubovu wa wachezaji wakisahau hakuna wachezaji bora bila mkufunzi aliye sahihi kwao history tuweke stoo uko

Ukihitaji kuona ubora tumia ipasavyo rasimali ulizo nazo usajiri ni kamari tu unaweza pata unaweza kosa

Unapotumia historia kumbuka kusema yote emery licha ya kubeba trebble hakuna msimu alimaliza walau nafasi 4 za juu pia usisahau kusema msimu 2015/2016 alimaliza msimu mzima bila ushindi away from home

Ukimaliza utwambie ndiye kocha aliyewahi kukosa kombe la france league 1 tangu waarabu wa invest hapo

Hii nayo ni historia pia
FB_IMG_1574686915110.jpeg
 
Guardiola when asked about Arteta today:

"For sure he will be a manager. I would like him to stay with us as long as possible. But personal life is personal life, his professional desire is professional.”

"He was a holding midfielder, he had incredible vision on the pitch. He’s an incredible human being, he has a great work ethic. I said after a few months of being together that he would be a manager one day.”

IMG_20191125_160647.jpeg
 
Raul Sanllehi ni Kirusi kibaya sana ambacho kimeingia arsenal, kama mnakumbuka huyu ndiye mtu ambaye alishawishi sana Sven Mislintat asipewe Director of Football pindi Ivan Gazidis alipotangaza kuachana na Arsenal.

Na hiki ndio kitu ambacho kilimuumiza sana Sven Mislitant ukiachana na kubishana hasa katika scouting hadi jamaa kuresign.

Hakutaka Power ya Sven Mislitant kama akiwa Director of Football iendelee kutapakaa Arsenal maana alijua upinzani utakuwa mkubwa ndani ya Bodi.

Mfano mkubwa ni usajili wa Denis Suarez ambao Sven Mislitant aliukataa kabisa kwani aliona ni upotevu wa pesa lakini Emery pamoja na Sanllehi wakashinikiza sana.

Jamaa akaamua kuachia timu. na ndio sasa hivi ambaye anamkumbatia Emery akiamini kuna kitu atabadilisha wakati body language za wachezaji zinaongea kabisa jamaa hawamuelewi.
FB_IMG_1574686915110.jpeg
 
HUU NDIO MSINGI WA TUCHEZACHO TATIZO NI APPROACH NA SIO WACHEZAJI

Emery:" I think we did well in terms of defending, the idea was to avoid conceding more than two goals which we managed very well, going forward we needed at least three ,but we not far from the target, today is gone & the focus is for the next match"#AFC

Haya pengine tukaoneshwa vizuri ubovu wa wachezaji kama kocha anazungumza namna hii

Kwamba team iliingia na idea ya kucheza kutoruhusu goal zaidi ya mbili na wamefanikiwa ni upi msingi wa hii idea

Team imeingia mchezoni na defending #lmentality na ndio sababu kuchezesha beki 5 kama first approach kwa misingi hii

Kwanini southampton asipige &shots 21 langoni kwetu kwanini leno asionekane zaidi kuliko auba kwanini sokratis asifanye branda

Football inahitaji vision na msingi wa team kucheza mchezo mzuri ni build up yao au set up yao ilivyo

Tupo home tunaingia na mentality "not concede more than two goals"

kwa kauli hii inashibitisha wanachocheza wachezaji ndio walichofundishwa na kocha

Ok game kumi na moja za mwisho epl ushindi michezo 2 tu halafu utasikia auba mbovu utasikia wachezaji wabovu.,

leicester wameongeza wachezaji wangapi tangu brendan aje leicester ile iliyokuwa inakimbizana na #relegation zone utakosa jibu je wale wachezaji wamekuwa world class kwa sasa?

Huwezi tenganisha team approach tactics na kocha huu utakuwa sio mpira wa sayari hii.

SIJAWAHI KUONA KOCHA WA OVYO KAMA EMERY ,NA SIDHANI KAMA NITASHUHUDIA KOCHA WA OVYO KAMA EMERY
 
Tactics overview Arteta:

If Guardiola is the template, the team might play a 4-3-3 or 4-2-3-1, stretching the pitch in possession with a high defensive line and putting pretty passing patterns together.
 
Arsenal would be interested in talking to Mikel Arteta and Massimiliano Allegri as potential replacements for Unai Emery, who looks increasingly likely to leave the club.

Before the abject 2-2 draw at home to Southampton on Saturday, Arsenal had been determined to stick by head coach Emery until the end of the season but their position has shifted amid mounting concern in the boardroom and anger from supporters. They are eighth in the table and in danger of missing out on the Champions League for a fourth consecutive season.

IMG_20191125_165656_138.jpeg
 
AUBA & LACA WANATAKA KUONGEZA MIKATABA ILA MPAKA WAONE KOCHA MPYA

Arsenal have been trying to negotiate new deals with the Aubameyang and Lacazette but fears are growing they will be reluctant to commit while Unai Emery remains in charge [Mirror] #afc
 
Back
Top Bottom