ni muhimu sana kumaliza wa kwanza kundi letu timu zina tisha uko mbele na timu yetu hii safari ndefu sana.
wakina eduardo wana nafasi kubwa ya kumaliza wa kwanza kama hatutashinda mechi hii.
Hivi hao officials wanaoongzwa wanasaidia nini hiyo si penati kabisa tumenyimwa na mtu anapewa kadi.
......Mh!..leo mnalo hilo with less than ten min to go!
Timu letu linaboa kinomaaaa,michazaji hipo hipo tu uwanjani.rotation ya wenger wakati bado hatuja qualify imetu-cost,na kaona kabisa watu hawa creativity lakini kachelewesha mabadiriko matokeo yake ndio haya mambo sasa yamekuwa magumu zaidi.
Kipigo cha spurs ukijumlisha hiki alafu jumamosi asubuhi unaenda kukutana na ashley young balaa tupu.wiki ndefuuuu sana.
Yaani mechi ya leo ni kati ya mechi nilizokuwa naamini kuwa tutashinda, tutakuwa point sawa na Braga ila tutawashinda magoli.....tutavuka tu hata waseme saaanaa
Wenger bana dude linaboa kinoma fanya mabadiriko sasa hivi wapinzani wetu wakina eduardo wanaongoza 2 tayari.
Au wenger anasubiri jamaa wapate goli alafu tuanze kuangaika kuchomoa kama sio kulala?.
yap braga akitufunga anakuwa na point 10 pia kama sisi kwahio game sio ya kuidharau kama wenger anavyofikiria.
i saw it coming,thank u Wenger.
Toka first half tumeona kwamba hakuna results kutoka uchezaji wetu lakini wenger katulia anasubiri dakika za mwisho kufanya mabadiriko matokeo yake ndio haya sasa.
what a goal. wenger dharau zako zimekuponza kwenda zako.
Timu letu linaboa kinomaaaa,michazaji hipo hipo tu uwanjani.rotation ya wenger wakati bado hatuja qualify imetu-cost,na kaona kabisa watu hawa creativity lakini kachelewesha mabadiriko matokeo yake ndio haya mambo sasa yamekuwa magumu zaidi.
Kipigo cha spurs ukijumlisha hiki alafu jumamosi asubuhi unaenda kukutana na ashley young balaa tupu.wiki ndefuuuu sana.
Najuta kwanini nimechomoka ucngizini ili nicheki matokeo manake nimegoma kucheki mechi ili nisiumie. Let WENGER move out, i'm sure his tactics are already obsolete for Arsenal!
mkuu umenichekesha sana na hizo quote zako lol.In Wenger we trust....lol