Mo shyner
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 484
- 1,152
Welcome Back bro...Habarin humu ,nimerejea nimepata nafuu nashukuruni kwa wote walionitakia kheri
Welcome Back bro...Habarin humu ,nimerejea nimepata nafuu nashukuruni kwa wote walionitakia kheri
Hili jembe tukilichukua litatufaa sanaDayot Upamecano’s game by numbers vs. Zenit:
88% pass accuracy
12 ball recoveries
4 clearances
2 aerials won
0 goals conceded
One of the best young CBs
Linajua sanaHili jembe tukilichukua litatufaa sana



hazikupta sekunde 30Linajieleza bro... Acha tushushe miamba kadhaa heshima sio zawadi, tunaitafuta na soon wataheshimu tuuLinajua sana
Ngoja tuombe wamtimue huyu muhind anayeiharibu timu kila sikuLinajieleza bro... Acha tushushe miamba kadhaa heshima sio zawadi, tunaitafuta na soon wataheshimu tuu
Duh! mzee baba bora umerudi aisee, kulikuwa kumepoa Sana humuHabarin humu ,nimerejea nimepata nafuu nashukuruni kwa wote walionitakia kheri




Huyu Gab hatari sana... Moja kati ya zile sajiri bora kabisa pamoja na saliba
Sajiri za Cagigao hizi, naona hata klopp kazisifiaHuyu Gab hatari sana... Moja kati ya zile sajiri bora kabisa pamoja na saliba
Huyu jamaa namuonea huruma sana, lakini navyoiona timu inaangaika kupata matokea ni bora aende tu, simlaumu coz sio kosa lake ni uwezo wake ndio unaomsumbua, timu ilimuamini lakini ameshindwa kurudisha fadhila.Ngoja tuombe wamtimue huyu muhind anayeiharibu timu kila sikuView attachment 1255071
Real... KabisaaHuyu jamaa namuonea huruma sana, lakini navyoiona timu inaangaika kupata matokea ni bora aende tu, simlaumu coz sio kosa lake ni uwezo wake ndio unaomsumbua, timu ilimuamini lakini ameshindwa kurudisha fadhila.
Mtihani huu maana itatuletea shida kumnunua Ceballos jumlakuna taarifa ya Saliba wakuu nimeskia Madrid wameanza kumscout huyo dogo.Hata hajacheza Arsenal jamani wanataka waunge juu kwa juu.