Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Haya tusubiri hiyo January isije tokea ukawa bado mpo nafasi ya 20Najua ninachoongea, ila kwa kuwa hakikupendezi unajiaminisha kwamba ni boko
Kinachonichekesha ni excuse mnayotumia mashabiki wa Arsenal ku justify kufanya kwenu vibaya. Mara kocha, Mara sijui Guendouzi....... Hahahaa, kuhusu Guendouzi wote mlikuwa hamtaki kumuona akianza lakini Unai akaendelea kumuamini na sasa naona wote mnamuamini
Arsenal kamzidi United kwenye ushambuliaji tu, hamna beki pale. Luiz ni Chelsea reject, hao wengine hata Burnley hawapati namba. Arsenal ana moja kati ya record mbovu za ulinzi pale EPL, nakumbuka Liver alimlamba 4 sijui 5.
Kwahiyo United strength yake ni defense na Arsenal ni forward ndio maana United anaweza kufunga goli moja na akashinda mechi, ila Arsenal anaweza kupata goli 3 na bado akapoteza mechi
Pia, usiogope kuhusu United maana January ana room ya kuimarisha timu ikiwemo safu ya ushambuliaji as long as hela ipo (Ndio uzuri wa kushabikia timu zenye hela)
Kutumia nguvu kusema Arsenal atamaliza juu ya United ni kupoteza muda, maana na mimi naweza kutumia nguvu kusema United atamaliza juu ya Arsenal. Nakumbuka uliwatabiria Chelsea vibaya na sasa hivi utabiri wako unaelekea kukugeuka, hivyo hata huu utabiri juu ya United unaweza kukugeuka
Baki na ushauri wangu, muda ndio jibu la nani atakuwa zaidi msimu huu kati ya United na Arsenal
Mkuu hujui kama wachezaji wa Arsenal wana mgomo, hawamtaki kocha?
Ushauri kwa unayebet
Mechi tatu kuanzia hii uwe unaiua Arsenal.
Haya tusubiri hiyo January isije tokea ukawa bado mpo nafasi ya 20
Ndio maana nilikwambia maswala ya arsenal yaache au uliza
Wanaomkataa Mateo wana sababu na ni za msingi , Mateo akicheza na Xhaka kiungo hakijawahi kuwa stable , japokuwa Mateo ni mzuri kudrive team
Kwahiyo usichanganye mambo ,
Na hizi hoja ni kuanzia kwa watu wakaribu wa arsenal hadi mashabiki , maana anamchezesha Xhaka as DM na kumuacha lt11 au kumchezesha out of position , hivo kufanya comb ya Mateo isiwe bora , kwahiyo waliomkataa Mateo wapo sahihi ,wakihitaji bas awachezeshe LT as DM Na xhaka as CM maana ilionesha ni comb nzuri .
Unasema January mnaleta striker , hatushangai maana hamjaanza Leo , hata hili dirisha simmetumia hela nyingi kuliko timu zote ,still hakuna mabadiliko, unaposema beki za arsenal mbovu sijajua una kigezo gani, kwanza unatakiwa uelewe karibu mabeki wanne hawajacheza hadi sasa na ambao ni first eleven ,na takwimu zinaniambia mmeshapigwa goli 9 hadi sasa , na mna beki imara , lkn cha ajabu bado tupo juu yenu wenye beki imara , ila mpo nafas ya 15 sijui .
Mm nitakukumbusha siku ,man u hii imalize juu yetu itakuwa kichekesho , utabiri wangu kwa Chelsea ni ule ule wala sijaubadilisha , kama utabadirika ni hiki kinachotokea kwa man u yupo nafas za 15 .
Manchester United Goals after their 4:0 win against Chelsea
1 vs wolves
1 vs Crystal Palace
1 vs Southampton
1 vs Leicester
1 vs Astana
0 West Ham
1 Rochdale
1 Arsenal
0 AZ Alkmaar
0 New Castle
1 Liverpool
1 FZ Partizan
Binary Results.[emoji41]
Ole in???
Kwa hali hii Acha niweke akiba ya maneno
Nitakukumbusha Siku moja ,maana UNAI subiri January mumlete veteran mzdukich
Vipi hali ykoNjia nzuri ya kujipa moyo, ni kuzuga unataka ufungwe ili kocha atimuliwe kumbe kimoyo moyo karoho kanauma unapofungwa
Siku za nyuma tumekuwa tukiaminishwa kwamba akicheza Laca, Tierney, Bellarin, Torreira lazima ushindi upatikane lakini leo naona ni yale yale [emoji23]
Uyo mahaba yamemzidi anaona arsenal ni bora pengine kuliko hata Man cityNajua ninachoongea, ila kwa kuwa hakikupendezi unajiaminisha kwamba ni boko
Kinachonichekesha ni excuse mnayotumia mashabiki wa Arsenal ku justify kufanya kwenu vibaya. Mara kocha, Mara sijui Guendouzi....... Hahahaa, kuhusu Guendouzi wote mlikuwa hamtaki kumuona akianza lakini Unai akaendelea kumuamini na sasa naona wote mnamuamini
Arsenal kamzidi United kwenye ushambuliaji tu, hamna beki pale. Luiz ni Chelsea reject, hao wengine hata Burnley hawapati namba. Arsenal ana moja kati ya record mbovu za ulinzi pale EPL, nakumbuka Liver alimlamba 4 sijui 5.
Kwahiyo United strength yake ni defense na Arsenal ni forward ndio maana United anaweza kufunga goli moja na akashinda mechi, ila Arsenal anaweza kupata goli 3 na bado akapoteza mechi
Pia, usiogope kuhusu United maana January ana room ya kuimarisha timu ikiwemo safu ya ushambuliaji as long as hela ipo (Ndio uzuri wa kushabikia timu zenye hela)
Kutumia nguvu kusema Arsenal atamaliza juu ya United ni kupoteza muda, maana na mimi naweza kutumia nguvu kusema United atamaliza juu ya Arsenal. Nakumbuka uliwatabiria Chelsea vibaya na sasa hivi utabiri wako unaelekea kukugeuka, hivyo hata huu utabiri juu ya United unaweza kukugeuka
Baki na ushauri wangu, muda ndio jibu la nani atakuwa zaidi msimu huu kati ya United na Arsenal
Wewe una wachezaji gani wa kuwazid Arsenal?Unavyoongea utadhani Arsenal ina wachezaji wa maana, utadhani Torreira ni kiungo wa maana, utadhani Mustafi, Holding na Luiz ni mabeki wa maana
Matatizo ya United yatakwisha kabla ya Arsenal, sababu always Tajiri anaweza kumaliza matatizo yake mapema kuliko masikini asiye na resources za kutosha
PALE EMIRATES MAGOLI YANAINGIA, MASHABIKI WANASHANGILIA KWA NGUVU ZOTE, HALAFU KUNA MTU YUPO TANZANIA ANAJIFARIJI NGOJA TUPIGWE ILI KOCHA AFUKUZWE [emoji1787][emoji1787](Njia bora sana ya kujifariji)
Umeona wapi Tukishinda wanasema KOCHA abaki?Hongereni kwa ushindi wa jana.
Mashabiki wa Arsenal duniani hamuelewekagi mnataka nini ndio maana uongozi wa club unacheza na akili zenu.
Mkifungwa kocha out, mkishinda mnasahau matatizo yanayowakabili hayo ndio maisha yenu miaka na miaka.
Kuweni na msimamo kama kocha hamtaki hata ashinde mechi kuzomewa ni pale pale, mabango ni pale pale.
Kama Patel ana mbinu za hovyo hata amrudishe ozil still matokeo yatakuwa moto baridi moto baridi.
Kama kocha ni mbovu mfukuzeni sio kushinikiza apange kikosi mnachotaka.
KOCHA HUYU KIMEO SANA,.KOCHA HUYU dah
Unai Emery on Mesut Ozil: "This is not the time to talk about this. He's not in the squad and that is the decision." #ARSVSC #EuropaLeague
we nyang'au madhaifu yenu ni Ed Woodward na usitegemee kufukuzwa wamiliki wanaangalia faida tu.matatizo yenu yatabaki hapo hapo kila msimu..Unavyoongea utadhani Arsenal ina wachezaji wa maana, utadhani Torreira ni kiungo wa maana, utadhani Mustafi, Holding na Luiz ni mabeki wa maana