Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Niliwaambia ni swala la muda tufukuzaaaaaaaaaaaaaa
Pukujaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....gooooooooooooNiliwaambia ni swala la muda tu
Shukrani ziende kwa Edu Jana amebaki na MASHABIKI baada ya mechi kwa dk 15
Hawez kufika x mass huyu kocha
Jana hiyo hiyo aliwekwa kikao na Kina Raul & Edu
Kiukweli hakuna anayependezwa na anavyoiendesha timu
Ameivuruga kuanzia kwenye Dressing room had kwenye pitch
Poor team selection
Poor tactic
Hana first eleven had sasa
Kila mechi amegeuza ya majaribio View attachment 1240949
Kinachonikera ni kuona wachezaji wanatumia nguvu nyingi sana na kucheza mchezo wa kujituma kwenye pitch lakini kwakuwa formation ni mbovu mwishowe tunaambulia patupu...Niliwaambia ni swala la muda tu
Shukrani ziende kwa Edu Jana amebaki na MASHABIKI baada ya mechi kwa dk 15
Hawez kufika x mass huyu kocha
Jana hiyo hiyo aliwekwa kikao na Kina Raul & Edu
Kiukweli hakuna anayependezwa na anavyoiendesha timu
Ameivuruga kuanzia kwenye Dressing room had kwenye pitch
Poor team selection
Poor tactic
Hana first eleven had sasa
Kila mechi amegeuza ya majaribio View attachment 1240949
hivi mechi zote alizocheza rashid na martial , manyumbu alipata point 3?
Wewe na PATEL nani anajua mpira?
Ulishawahi kuwa hata kocha wa UMITASHUMTA?
KLop alipewa muda na PATEL apewe muda ajenge timu ya hataree.
Tupo nyuma ya Emery tunaamini misimu 5 ijayo timu itakuwa fire
Kweli hii itakuwa adhabu kubwa maana anaenda kumkuta Odoi, Willian, Pedro, Mason Mount, Pulisic. Hapo lazima awe muokota mipiraAgent: Utapewa adhabu ya kuuzwa Chelsea.
Tunafungwa na vibonde....yaana afadhali AW.Sheffield United 1 Arsenal 0
Yaliyojiri
Kwanza Tuachane na Yote Hivi Ushawah Kukaa Ukajiuliza Hawa Wachezaji Wanaendaga Mazoezi Kufanya nin??
Ushakaa Ukajiuliza Huyu Kocha Kila Siku Anaendaga Mazoezini Kufundisha nin Ambacho Wachezaji Wanashindwa Kukiletq Uwanjan Msimu Wa Pili Sasa??
Vile Viwanja Vya Ndani Ambavyo Hutumika Kwa Ajili Ya Mbinu na Siri Zote Ambapo Hata Waandishi Wa Habari Hawaruhusiwi Kule Huwa Tunafanyaga Nin Ambacho Tukija Uwanjan Wachezaji Wote Zaidi Ya 20 Wanashindwa Kukileta??
Hivi Mpinzan Wako ni Sheffield Na Unajua Mida Mwingi Atashambulia Mashambulizi Ya Kushtukiza Vp Unaingia na Viungo Ambao Hawana Ubunifu na Wenye Ubunifu Zaidi yao Kinq Ceballos na Ozil Hawaanzi na Mwingine Hata Hajasafir na Team??
Unai Unatufanya Sisi Tumchukie Willock Wakat Hajatukoseq Lolote Unataka Lawama Tumpe Yeye Kashindwa Kucheza Wakat Wachezaji Matured Zaidi Yake Unao??
Janq Tokea Mpira Unaanza Mpaka Anatolewa Yule Nicolaus Pepe alikuwa Best Player Uwanjan Kwa Kila Kitu Achana na Nafasi Ya Wazi Aliyokosa
Jamaa anarud Hadi Chini Anakokota Anasogeza Team Sehem ya Kuwachukua Anawachukuq Sehem ya Kupenyeza Anapenyeza inafika Mahali Anakosa Goli Mtu Anatumia Mwanya Huo Kuaminisha Watu Kuwa Katunyima Ushindi
Tumecheza Dakika Tisini Tumetengeneza Nafasi Moja Afu Team Tuliyocheza Nayo Ni Sheffield Muda Utatuambia ila Tuna Game za Away Nying Sana Ambazo Unai Anaenda Kutuaibisha Kwa Style Hii
Sasa Hivi Hatuna Muda Wa Kuongea Sana Juu ya Ubovu wa Kocha Tuliyenaye Acha Mpira Uongee Hadharani Maana Uzuri Wa Soka Linachezwq Hadharani...
Katika Sehemu Ambayo Arsenal Wamekuwa Wabovu Kuliko Zote Ni Idara Ya Kiungo
Kwanin Nasema Kiungo?? Hii ndo Sehemu Ambayo Hutumika Kuficha Madhaifu ya Backline Mara Zote Kama Viungo Wenyewe Mpira Hawaitak Ni Guendoz Tuu kwanin Tuswe Open Kwenye Defence
Toka Naijua Arsenal Miaka Yote Haijawah Kuwa Dhaifu Sehem Ya Kiungo ndo Nashuhudia Sasa..
Unai Out...View attachment 1240944
Kocha shoga huyu.Uruguayans are not happy with the way Emery is using Torreira...
If Unai Emery isn't gone before January, Lucas Torreira should leave in the upcoming transfer window. He is basically wasting important years of his career at Arsenal now.
Torreira arrived as one of the most promising No6's in Europe, but has since been misused by Emery.View attachment 1240984
Uendi kujadiliana na top four wenzako?Ahsante mkuu....ndio soka
Kweli hii itakuwa adhabu kubwa maana anaenda kumkuta Odoi, Willian, Pedro, Mason Mount, Pulisic. Hapo lazima awe muokota mipira
Sheffield United 1 Arsenal 0
Yaliyojiri
Kwanza Tuachane na Yote Hivi Ushawah Kukaa Ukajiuliza Hawa Wachezaji Wanaendaga Mazoezi Kufanya nin??
Ushakaa Ukajiuliza Huyu Kocha Kila Siku Anaendaga Mazoezini Kufundisha nin Ambacho Wachezaji Wanashindwa Kukiletq Uwanjan Msimu Wa Pili Sasa??
Vile Viwanja Vya Ndani Ambavyo Hutumika Kwa Ajili Ya Mbinu na Siri Zote Ambapo Hata Waandishi Wa Habari Hawaruhusiwi Kule Huwa Tunafanyaga Nin Ambacho Tukija Uwanjan Wachezaji Wote Zaidi Ya 20 Wanashindwa Kukileta??
Hivi Mpinzan Wako ni Sheffield Na Unajua Mida Mwingi Atashambulia Mashambulizi Ya Kushtukiza Vp Unaingia na Viungo Ambao Hawana Ubunifu na Wenye Ubunifu Zaidi yao Kinq Ceballos na Ozil Hawaanzi na Mwingine Hata Hajasafir na Team??
Unai Unatufanya Sisi Tumchukie Willock Wakat Hajatukoseq Lolote Unataka Lawama Tumpe Yeye Kashindwa Kucheza Wakat Wachezaji Matured Zaidi Yake Unao??
Janq Tokea Mpira Unaanza Mpaka Anatolewa Yule Nicolaus Pepe alikuwa Best Player Uwanjan Kwa Kila Kitu Achana na Nafasi Ya Wazi Aliyokosa
Jamaa anarud Hadi Chini Anakokota Anasogeza Team Sehem ya Kuwachukua Anawachukuq Sehem ya Kupenyeza Anapenyeza inafika Mahali Anakosa Goli Mtu Anatumia Mwanya Huo Kuaminisha Watu Kuwa Katunyima Ushindi
Tumecheza Dakika Tisini Tumetengeneza Nafasi Moja Afu Team Tuliyocheza Nayo Ni Sheffield Muda Utatuambia ila Tuna Game za Away Nying Sana Ambazo Unai Anaenda Kutuaibisha Kwa Style Hii
Sasa Hivi Hatuna Muda Wa Kuongea Sana Juu ya Ubovu wa Kocha Tuliyenaye Acha Mpira Uongee Hadharani Maana Uzuri Wa Soka Linachezwq Hadharani...
Katika Sehemu Ambayo Arsenal Wamekuwa Wabovu Kuliko Zote Ni Idara Ya Kiungo
Kwanin Nasema Kiungo?? Hii ndo Sehemu Ambayo Hutumika Kuficha Madhaifu ya Backline Mara Zote Kama Viungo Wenyewe Mpira Hawaitak Ni Guendoz Tuu kwanin Tuswe Open Kwenye Defence
Toka Naijua Arsenal Miaka Yote Haijawah Kuwa Dhaifu Sehem Ya Kiungo ndo Nashuhudia Sasa..
Unai Out...View attachment 1240944
Niliwaambia ni swala la muda tu
Shukrani ziende kwa Edu Jana amebaki na MASHABIKI baada ya mechi kwa dk 15
Hawez kufika x mass huyu kocha
Jana hiyo hiyo aliwekwa kikao na Kina Raul & Edu
Kiukweli hakuna anayependezwa na anavyoiendesha timu
Ameivuruga kuanzia kwenye Dressing room had kwenye pitch
Poor team selection
Poor tactic
Hana first eleven had sasa
Kila mechi amegeuza ya majaribio View attachment 1240949
Na iwe mwanzo na Mwisho kuleta hizo kwato na kidomodomo chako kule jukwaa la klabu kubwa chelsea . Nyang'au mkubwa wewe . Wewe pamoja na huyo mjinga mwenzio Dully Jr.