Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Mkuu tuna kocha mbovu kuliko makocha wote pale EPL.


mnaifanya top four iwe rahic kwa kila timuSaiz man u yuko vibaya spurs nae haelewek na bado mbashindwa tumia chance mkimbie juu kule
Mkuu tuna kocha mbovu kuliko makocha wote pale EPL.


mnaifanya top four iwe rahic kwa kila timuNashangaa jamaa wamechuna kama vile hawajaona.Ndugu zangu huyu Pepe kuna goli amekosa first half,hapana huyu tumepigwa kwa kweli
Yani huyu PEPE hajatulia kbs. Kama lilivyo jina lake. Sijui ana papara za nn
Hana nguvu za miguu, hana muono wa pasi pia hawezi kumalizia. Kiufupi EPL hataiweza.Nashangaa jamaa wamechuna kama vile hawajaona.
AiseeNashangaa jamaa wamechuna kama vile hawajaona.
Pepe ana kasi tatizo hana nguvu miguuni hana utulivu kabisa ,na kibaya zaidi creativity yake imepotea.Nashangaa jamaa wamechuna kama vile hawajaona.
Nimemwangalia game nyingi sana sioni kama atatusaidiaPepe ana kasi tatizo hana nguvu miguuni hana utulivu kabisa ,na kibaya zaidi creativity yake imepotea.
ngapi ngapi bosi? natumia FreebasicsMjinga sana.
Tumelilia pesa ya usajili. Ikaja.
Kisha huu ndiyo utumbo unaopangwa.
Yaani mood niliyonayo hapa, mtu akinikanyaga tu huo ugomvi wake si wa kipolepole.
Qummermerqe
hilo ni garasha lililotukuka, ndio madhara hayo ya kununua wachezaji wa mafungu mafungu, hao ni wachezaji wenye hadhi ya kucheza bonanza.Ndugu zangu huyu Pepe kuna goli amekosa first half,hapana huyu tumepigwa kwa kweli
Pole mkuusitapoteza muda wangu kuangalia mechi ya arsenal mpaka unai afukuzwe, jamaa anarudia makosa yaleyale.