Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kikosi kipo kamili, hakuna majeruhi yeyote

Wachezaji wote wapo fiti


Bado bellerin ,lacazette wanaweza kuanzia bench au wasicheze hadi mech ya alhamis Europa


IMG_20191020_214650.jpeg
IMG_20191020_214647.jpeg
IMG_20191020_214641.jpeg
IMG_20191020_214637.jpeg
 
TIERNEY NITAFURAHI NIKIMUONA UWANJANI LEO

Huyu ni typical full back akicheza kushoto ni kati ya vijana ambao ni zao zuri kutoka huko scotland kama ilivyo kwa robertson wa liverpool

Na modern football hizi full backs zimekuwa advanced sana zinacheza kwa kushambulia pia ukiacha primary role yao ambayo ni ukabaji kutokea pembeni uko

Tierney anaweza zaidi mfatilie mipira anayopiga kama cross kwenda final third ya mpinzani ni hatari zaidi pengine kulinganisha na kolasnac

Ambaye mara nyingi mipira yake ni ya chini sana kuliko aeriel balls hii mda mwingine inakuwa rahisi kwa wapinzani kufanya clearance

Mimi simpangii kocha ila huu ni mtazamo wangu kivipi tunaweza kuongezea wigo wa nafasi za ufungaji tukiacha tegemea pengine CM kwa asilia kubwa ili kuwepo uwiano sahihi kimajukumu.

COME ON YOU GUNNERS

Blue monday gunners
IMG_20191009_143331.jpeg
 
Sheffield United, 3 5 2, ngoja tuone counter move yetu kwa timu inayojaza viungo.
Hawa jamaa wapo compact sana. Bila kuwa wabunifu leo naona tutapata tabu kuwafungua kupata nafasi za kufunga.

Kama tutaanza na Mido za Xhaka, Guendouz, Lt11 sitegemei jipya sana.

Hizi zilikua timu nyepesi sana enzi tunacheza mpira wetu wa kitabuni.
 
Hawa jamaa wapo compact sana. Bila kuwa wabunifu leo naona tutapata tabu kuwafungua kupata nafasi za kufunga.

Kama tutaanza na Mido za Xhaka, Guendouz, Lt11 sitegemei jipya sana.

Hizi zilikua timu nyepesi sana enzi tunacheza mpira wetu wa kitabuni.
Enzi hizo yaani lilikua linatandazwa soka hadi Abramovich akamfukuza Mourinho kwakua timu ilikua inashinda lakini mpira hauvutii macho.

Hapo timu inahitaji wachezaji wanaoweza kukaa na mpira muda mrefu. Saka, Pepe, Lacazette, Ozil, Ceballos. Aubameyang kwa mbaaali.

La sivyo leo kazi itatushinda mapema.
 
Waliofanya mazoezi leo 21/10/19

Leno
Martinez

Bellerín
Tierney
Sokratis
Holding
Mustafi
Chambers
D. Luiz
Kolasinac

Ceballos
Özil
Torreira
Maitland-Niles
Willock
Guendouzi
Smith Rowe
Xhaka

Lacazette
Aubameyang
Pépé
Martinelli
Saka

#SHUARS
 
Arsenal have gone eight matches in all competitions without defeat, scoring 21 goals. They could give Tierney & Bellerin their first league appearances of the season. This game might be too soon for Lacazette, who returned to full training only on Thursday after an ankle injury.
IMG_20191020_214637.jpeg
IMG-20191021-WA0001.jpeg
 
Back
Top Bottom