Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kabisa, thn Freddie aachiwe timu na huyo muhindi tuanze kula maisha sie
Kuna mazingira ya kumtoa kafara Emery


Sema arsenal wale wachezaji hawajui kususa kama wachezaji wa Chelsea .

.ilitakiwa wasuse game hata 2 uone kama anabak huyu Emery
 
IMG_6468.JPG
 
Mesut Ozil

Ozil alipoulizwa kama anaondoka Januari

“ Hapana. Nina mkataba mpaka majira ya kiangazi ya 2021 na nitabaki mpaka muda huo.”

“ Unaweza kupitia nyakati ngumu sana kama sasa hivi, lakini hiyo sio sababu ya kukimbia na sitofanya hivyo. Nipo hapa angalau mpaka mwaka 2021. “
IMG_20191012_224613.jpeg
 
According to Kicker, #Arsenal offered just over €60m for Dayot Upamecano in the summer. That amount could be enough next summer with the player's contract running out.
IMG_20191017_193356.jpeg
 
Ainsley Maitland-Niles on Ljungberg’s influence:

“There’s quite a few things really. He knows me as a winger, so attacking-wise, he’s helped my game a lot. Defensively, I go to someone else to help me because they’re two different styles that I have to play.” [Goal] #afc
IMG_20191018_070546.jpeg
 
Hector Bellerin is fully fit and ready to go, but Calum Chambers was exceptional against United and MOTM against Bournemouth. It was be extremely harsh if Emery was to drop him again. He is the only defender who has not let us down in the Premier League this season.
IMG_20191018_120727.jpeg
 
Mimi ningekuwa Emery ningehakikisha Calum Chambers anarudi kucheza kwenye position yake hapo nyuma kati then Bellerin aanze beki ya kulia... Kiukweli siku Back four ikiwa na Xhambers, Holding, Tieney na Bellerin halafu namba sita Torreila,tutarudisha heshima yetu iliyoanza kupotea!.. Tatizo kocha wetu mkuda sana, haeleweki kabisa!..
 
Mimi ningekuwa Emery ningehakikisha Calum Chambers anarudi kucheza kwenye position yake hapo nyuma kati then Bellerin aanze beki ya kulia... Kiukweli siku Back four ikiwa na Xhambers, Holding, Tieney na Bellerin halafu namba sita Torreila,tutarudisha heshima yetu iliyoanza kupotea!.. Tatizo kocha wetu mkuda sana, haeleweki kabisa!..
Umeongea fact tupu

Kweli aweke hawa vijana ,kati anaweka LT11 KATIKA mfumo wa 4-1-3-2 then mbele ya lt11 anawaweka Mateo- Ozil-ceballos mbele Pepe na Auba au Laca na Auba

Mmoja anaanzia benchi


Au apange hivi

Leno.

Bellerin. Holding. Chambers. Tierney.

Torreira.
Guendouzi. Ceballos/Ozil.

Pépé. Lacazette. Auba.

That’s the team I want week in week out for the rest of this season


FB_IMG_1570350294639.jpeg
 
According to reports,

Santi Cazorla has made contact with Unai Emery personally, and urged him to sign Pau Torres. His current teammate has attracted interest from Chelsea & Manchester City, but Santi is allegedly attempting to convince him that Arsenal would be a better move.!
IMG_20191016_192738.jpeg
 
14 Years Ago Today:

@ThierryHenry overtook @IanWright0 to become Arsenal's all-time top goalscorer.

His Arsenal record:

375 Games
228 Goals
89 Assists

Legend.
 
"He is ready to play. Now we have 2 options in that left-back role with Kola and him. We're going to play a lot of matches after Monday. We will need every player. It depends how he comes into the first training with us, Sead, after his international matches"

- Emery on Tierney
IMG_20190925_002908.jpeg
 
- OFFICIAL
#Arsenal Game at Boxing day against Bournemouth will take place on Thursday, December 26th (3pm)

Arsenal will face #Chelsea and #ManchesterUnited teams at the emirates stadium in 48 hours.

Chelsea on 29 December 2 GMT AND THEN MANCHESTER ON 1 January 8 GMT. )
 
Rob Holding:

"The whole team is together just before we go out [into the tunnel] and we have our final words and shout 'Arsenal' together three times in reply to 'who are we?''
shaffihdauda_-20191006-0001.jpeg
 
Umeongea fact tupu

Kweli aweke hawa vijana ,kati anaweka LT11 KATIKA mfumo wa 4-1-3-2 then mbele ya lt11 anawaweka Mateo- Ozil-ceballos mbele Pepe na Auba au Laca na Auba

Mmoja anaanzia benchi


Au apange hivi

Leno.

Bellerin. Holding. Chambers. Tierney.

Torreira.
Guendouzi. Ceballos/Ozil.

Pépé. Lacazette. Auba.

That’s the team I want week in week out for the rest of this season


View attachment 1237137
Ngoja tusubiri weekend hii tuone atakavyopanga kikosi chake...
 
Back
Top Bottom