Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

KAMA KOCHA ANA MAWAZO HAYA TUTASUBIRI SANA

Joe Willock can fill the void left by Aaron Ramsey, says Unai Emery https://t.co/QO5otXVS7O


JANA KAMTOA CEBALLOS KAINGIZA WILLOCK TIMU IKAZIDIWA

KILA SIKU AKIMTOA CEBALLOS AKIINGIZA WILLOCK UWANJA UNAINAMA.....

CEBALLOS ANAKAA NA MPIRA HIVO ANA KEEP TEAM POSSESSION ,

CHA AJABU EMERY UTAKUTA ANAMTOA ....
 
Calum Chambers
6 games
1 goals
3 assists
3 clean sheets
3 MOTM
#Arsenal
IMG-20191006-WA0016.jpeg
 
Toka mwaka 2004 arsenyeto hawajashinda Epl takribani miaka 15 sasa nyie wasindikizaji tu.
Kazi kununua wachezaji wa mafungu mafungu kama nyanya
Cheltako mulikaa nusu karne,

miongo mitano,

miaka hamsini,

miezi mia sita,

wiki elfu mbili mia nne,

siku elfu kumi na sita na mia nane

,masaa laki nne na elfu tatu na mia mbili,

dakika milioni ishirini na nne laki moja na elfu tisini na mbili ,

sekunde bilioni moja milioni mia nne hamsini na moja laki tano na elfu ishirini bila ya kubeba kombe

Kama huijui history ya timu yako nishakupa faida
 
Toka mwaka 2004 arsenyeto hawajashinda Epl takribani miaka 15 sasa nyie wasindikizaji tu.
Kazi kununua wachezaji wa mafungu mafungu kama nyanya
Pamoja na hivyo lkn hao arsenal ndo making wa london mpk sasa mkuu. Sasa huon kama ni aibu kutangaza mambo ya baba yako hadharani?
 
Boss kiukweli Granit hakuukwepa ila ile ni instinct reaction akitumaini anaugonga kichwani.

Sikatai mpira ni mchezo wa makosa ila kwenye equation tusiweke makosa kwakua sometime makosa yanaweza yasifanywe so badala yake inabidi tutegemee juhudi na maarifa ya wachezaji wetu. Nelson, Willock na Saka namuamini mno Saka kwakua yeye juhudi na maarifa vimo kushinda hao wawili.

Tuinahitaji ushindi zaidi, yeyote anayetuzuia haina sababu ya kuzunguka naye.
Hahaha
IMG-20191006-WA0003.jpeg
 
Binafsi sijawahi kuwa na imani Emery toka akiwa PSG
UNAI EMERY ALIPEWA MKATABA WA MISIMU MIWILI TU!!!
"Msimu wa kwanza ilikuwa 2018-2019"
"Msimu wa pili ni huu wa 2019-2020"
KWA MPIRA UNAOCHEZWA ARSENAL SASA HIVI HATA MANAGEMENT YA TIMU ISHALIONA SWALA HILI
LA MPIRA MBOVU SEMA TU IMEKAA KIMYA
"Maana ukiitoa "Liverpool" na "Manchester city"
Miongoni mwa zile timu SABA kubwa
Hakuna timu yenye wachezaji wazuri sasa hivi ambayo inazidi WACHEZAJI Arsenal
Ukianzia kwa timu kama
CHELSEA
MANCHESTER UNITED
TOTTENHAM HOTSURS
LIECESTER CITY
Hizi timu zote wachezaji wake UKICHUKUA MMOJA MMOJA HUWEZI kuwalinganisha na wachezaji wa Arsenal

"Hivyo sasa Hapo kinachofanya kazi ni Planning ya kocha tu"

"UNAI yuko anamalizia msimu wake wa mwisho kwa mjibu wa mkataba wake tusubiri tuone"
""KILA MECHI INACHEZA MPIRA WA KUZUIA
TU
NA KAMA ATAENDELEA KUWEPO SIONI MPIRA AU PLANI ANAYOTUMIA PALE ARSENAL YA KUWEZA KUZIFUNGA TIMU KUBWA PALE ENGLAND HATA KAMA ZITAKUWA KWENYE UBOVU KIASI GANI MFANO NI MAN UNT"
""NASEMA NA NITAENDELEA KUSEMA UNAI HATUFAI KABISA""""View attachment 1225613
 
“What I know is this. He is not made for a club who plays with possession.

He must be used for his speed and his ability to conclude very fast counter-attacks.”

The fans who watched Pepe last season speak on his adaptation to Arsenal.
 
Congratulations, @wilfriedzaha!

"Not only does he donate 10% of his salary to charities in Cote D'Ivoire, he also assists in initiatives that support the education and wellbeing of young Africans."
Screenshot_2019-10-07-14-17-15.jpeg
 
Cheltako mulikaa nusu karne,

miongo mitano,

miaka hamsini,

miezi mia sita,

wiki elfu mbili mia nne,

siku elfu kumi na sita na mia nane

,masaa laki nne na elfu tatu na mia mbili,

dakika milioni ishirini na nne laki moja na elfu tisini na mbili ,

sekunde bilioni moja milioni mia nne hamsini na moja laki tano na elfu ishirini bila ya kubeba kombe

Kama huijui history ya timu yako nishakupa faida
Acha kuongea pumba wewe ..kocha ndo iyo Unai, beki ndo iyo Luiz, mawings ndo hao akina Pepe wanakimbia kama kuku aliyekatwa kichwa hahah EPL utasikiaga tu Chelsea na Man city akibeba ..hii arsenal labda ashuke malaika kutoka mbinguni ndo mtaeza beba EPL ..lakin kwa hii kikosi mliyonayo aise ...ata carabao hamubebi hahahaha...
 
Hivi kaka kwanini unatuletea data za wakina mama ntilie mtaani.

Unataka kutuaminisha timu wachezaji wetu ni bora kuliko wa chelsea ukiondoa auba.

Tumechoka na ushabiki wako maandazi eti Ngolo kante akija Asernal hapati namba.

Arsenal hatujawa bora kiasi hicho unachotuaminisha tumechoka na matango pori.

Huu ni uwendawazimu
Sasa wewe ukitoa ngolo kante una mchezaji gan wa maana ?
 
Chambers on Luiz:

"David has been brilliant, he has come in & no-one in the club has a bad word to say about him. He is one of the nicest guys I have met, he talks to you, gives you advice & makes everyone feel like he is giving you his undivided attention" #Arsenal
IMG_20191007_145953.jpeg
 
The international break is timed perfectly for us. It gives us time to get our injured players back into the team. Hopefully we’ll see Tierney, Holding & possibly Lacazette feature against Sheffield. Too early for Bellerin yet I’d imagine, I’d stick with in form Chambers for now.
IMG-20191007-WA0007.jpeg
 
Dani Ceballos has created 6 chances in his last 5 games.

Mesut Özil created 6 in 71 minutes.

I’m taking an efficient playmaker over a hardworking “playmaker”.
 
Acha kuongea pumba wewe ..kocha ndo iyo Unai, beki ndo iyo Luiz, mawings ndo hao akina Pepe wanakimbia kama kuku aliyekatwa kichwa hahah EPL utasikiaga tu Chelsea na Man city akibeba ..hii arsenal labda ashuke malaika kutoka mbinguni ndo mtaeza beba EPL ..lakin kwa hii kikosi mliyonayo aise ...ata carabao hamubebi hahahaha...
Ndio maana tunawapaga majibu yanayowastahili kutokana na ufinyu wa kuchanganua mambo.....jibu halilingani na kilichoongelewa


Mwenzio anadai tuna miaka 15 hatujabeba epl mm sikumbishia ila nimempa faida ambayo hakuwa akiijua.....kuwa mulikaa miaka 50, yeeeessss ni 50years bila kubeba hilo kombe iweje ashangae miaka 15,


Ndio maana huwaga tunasema kuwa nyie washangiliaji wa Chelsea wengi wenu ni vitoto vidogo vya 2000's ndio munasumbua humu,

Washabiki ambao kidogo nawaamini ni wa Liverpool,Man Utd na Arsenal maana wengi wao wameshuhudia timu zikipita katika nyakati zote lakini sio nyinyi WASAKA USHINDI mkiukosa mnakimbiana maana tunaona kushinda vimechi viwili mumejazana kule katka uzi wenu na nyuzi nyngnezo,
Sisi tupotupo sanaaaaaaa mvua na jua
 
Back
Top Bottom