Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu kuna watu wenyewe wanaona emery yupo sawa, lkn hata wakuu wa bodi hawaridhishwi na timu inavyocheza

Mkuu Aaron, mimi nakuelewa sana tena sana tu.

ila Arsenal hii si ile tuloizoea siku zote.

Emery huchezesha timu kulingana na mipango ya timu adui, hivyo Arsenal kushindwa kuwa na game plan za maana.

Game plan za maana za Arsenal ambazo hutoa matokeo ya moja kwa moja ni zile zinazohusu ligi ya Europa kwani zile ni timu ambazo hazipo kwenye PL.

Timu nyingi za PL chini ya Top 6 hucheza sana kwa kujihami huku zikifanya "counter attack" na mipira mirefu.

Hivyo strategy ya Unai Emery ni kusoma kila timu kabla ya kucheza mbinu ambayo ni ya kipekee kidogo.

Lakini mwisho wa siku tunapata points kama za leo, na hata hiyo bodi itakuwa inaangalia matokeo zaidi.

Ukitaka kufahamu zaidi kuhusu msimamo wa Arsenal kwenye ligi, basi fuatilia wakati wa Xmas ndipo patatoa picha halisi.

Arsenal ikiwa ndani ya 3 bora baada ya Boxing Day basi tutamaliza ligi ndani ya top 4.
 
Wanajidanganya tu mkuu timu iko hovyo sana ushindi wa ujanja ujanja tu, tungekua na kocha mzuri msimu huu tungekuwa pazuri sababu timu kubwa nyingi mbovu
Hawajidanganyi ,ni kutokujua mpira,

Lait timu ingekuwa na kocha huu msimu ilikuwa ni kugombea ubingwa kabisa

Arsenal are somehow a point behind the champions despite arguably not having a single impressive performance in the Premier League this season.
Screenshot_2019-10-06-20-56-19.jpeg
 
Mechi ya leo i
Wanajidanganya tu mkuu timu iko hovyo sana ushindi wa ujanja ujanja tu, tungekua na kocha mzuri msimu huu tungekuwa pazuri sababu timu kubwa nyingi mbovu

Mechi ya leo imeonyesha kwamba ngome ya Arsenal kidogo imeanza kuelewana ingaw abado kuna kasoro za hapa na pale, lakini haiku wazi sana kama mechi za nyuma.

Pili, ukumbuke mpaka sasa Arsenal imepoteza mechi moja tu ya ligi dhidi ya Liverpool hivyo hiyo pekee inaonyesha kwamba timu inaimarika kadri muda unavyojongea.

Tatu ushirikiano wa mabeki David Luiz na Calum Chambers umezidi kuimarika na ukiwaangalia hata ile mechi na Aston Villa ambapo Arsenal walibaki 10 uwanjani, leo walijitahidi sana kuwasiliana na kucheza kama safu ya ulinzi.

Davidi LUiz anaonyesha kwamba sasa ametulia tangu ahamie kutoka Chelsea na hata Nicolas Pepe nae amenza kutulia na kuelewa mtindo wa uchezaji unaotakiwa.

Nicolas Pepe ndie alietengeneza goli la Arsenal na David Luiz akafunga.

Mimi ni mpenzi wa Arsenal tangu mwaka 1996 hivyo nakueleza kutokana na uzoefu wa kuisoma timu yetu.

Hivyo basi naweza kukwambia kwamba Arsenal kwa sasa inaongeza "momentum" na tusiwe na wasiwasi.

Kuna dalili kwamba Arsenal ikipata ile timu yake ya kwanza yaani first 11 basi mambo yatakuwa motomoto.

COYGs!!!
 
Mkuu Aaron, mimi nakuelewa sana tena sana tu.

ila Arsenal hii si ile tuloizoea siku zote.

Emery huchezesha timu kulingana na mipango ya timu adui, hivyo Arsenal kushindwa kuwa na game plan za maana.

Game plan za maana za Arsenal ambazo hutoa matokeo ya moja kwa moja ni zile zinazohusu ligi ya Europa kwani zile ni timu ambazo hazipo kwenye PL.

Timu nyingi za PL chini ya Top 6 hucheza sana kwa kujihami huku zikifanya "counter attack" na mipira mirefu.

Hivyo strategy ya Unai Emery ni kusoma kila timu kabla ya kucheza mbinu ambayo ni ya kipekee kidogo.

Lakini mwisho wa siku tunapata points kama za leo, na hata hiyo bodi itakuwa inaangalia matokeo zaidi.

Ukitaka kufahamu zaidi kuhusu msimamo wa Arsenal kwenye ligi, basi fuatilia wakati wa Xmas ndipo patatoa picha halisi.

Arsenal ikiwa ndani ya 3 bora baada ya Boxing Day basi tutamaliza ligi ndani ya top 4.
Hata huko Europa akikutana na wajanja hanaga plan,

Angalia ushind wetu ni wakubahatisha kila siku,

Ukiangalia hata Watu WA karibu na klabu hawaridhishwi na timu inabyocheza maana madhara yake ni makubwa ,huwez kubahatisha mech 10, uta loose tu
 
Mkuu kuna watu wenyewe wanaona emery yupo sawa, lkn hata wakuu wa bodi hawaridhishwi na timu inavyocheza
Me nadhani Unai Emery anatakiwa kubadirika hasa kwenye upangaji wa kikosi chake, vinginevyo sina hakika kwamba tutaweza kumaliza top 4
 
Mechi ya leo i

Mechi ya leo imeonyesha kwamba ngome ya Arsenal kidogo imeanza kuelewana ingaw abado kuna kasoro za hapa na pale, lakini haiku wazi sana kama mechi za nyuma.

Pili, ukumbuke mpaka sasa Arsenal imepoteza mechi moja tu ya ligi dhidi ya Liverpool hivyo hiyo pekee inaonyesha kwamba timu inaimarika kadri muda unavyojongea.

Tatu ushirikiano wa mabeki David Luiz na Calum Chambers umezidi kuimarika na ukiwaangalia hata ile mechi na Aston Villa ambapo Arsenal walibaki 10 uwanjani, leo walijitahidi sana kuwasiliana na kucheza kama safu ya ulinzi.

Davidi LUiz anaonyesha kwamba sasa ametulia tangu ahamie kutoka Chelsea na hata Nicolas Pepe nae amenza kutulia na kuelewa mtindo wa uchezaji unaotakiwa.

Nicolas Pepe ndie alietengeneza goli la Arsenal na David Luiz akafunga.

Mimi ni mpenzi wa Arsenal tangu mwaka 1996 hivyo nakueleza kutokana na uzoefu wa kuisoma timu yetu.

Hivyo basi naweza kukwambia kwamba Arsenal kwa sasa inaongeza "momentum" na tusiwe na wasiwasi.

Kuna dalili kwamba Arsenal ikipata ile timu yake ya kwanza yaani first 11 basi mambo yatakuwa motomoto.

COYGs!!!
Nakubaliana na ww mkuu,

Lakin kiukweli mbinu za emery haziridhishi sana,

Wachezaji anao wazuri

Nikiweka ushabiki pemben ,sioni ukitoa mancity na Liverpool ,timu yenye wachezaji wazuri zaid YETU, cha ajabu hata kumiliki mpira ni ngumu

Kuna poor team selection

Timu kama arsenal inabid imiliki MPIRA ,ndio njia ya kwanza ya kujilinda

Angalia Leo 2nd half timu muda wote inazuia tu
 
Me nadhani Unai Emery anatakiwa kubadirika hasa kwenye upangaji wa kikosi chake, vinginevyo sina hakika kwamba tutaweza kumaliza top 4
Shida ya emery hawez kumiliki mpira ,na hiyo ndio silaha ya kwanza ya kujilinda
Arsenal managed just 12 shots today with just four after the 35th minute. Just two attempts on target. AT HOME. Against Bournemouth.
 
Leo emery kapost , watu wanampa ushauri

Malalamiko ni yale Yale , Timu imiliki mpira kwanza

It’s been a very busy and positive last month, and fortunately, we can still improve a lot and will keep working hard. Together we are stronger Arsenal https://t.co/kM8okozbYa
Screenshot_2019-10-06-21-07-14.jpeg
 
Mechi ya leo i

Mechi ya leo imeonyesha kwamba ngome ya Arsenal kidogo imeanza kuelewana ingaw abado kuna kasoro za hapa na pale, lakini haiku wazi sana kama mechi za nyuma.

Pili, ukumbuke mpaka sasa Arsenal imepoteza mechi moja tu ya ligi dhidi ya Liverpool hivyo hiyo pekee inaonyesha kwamba timu inaimarika kadri muda unavyojongea.

Tatu ushirikiano wa mabeki David Luiz na Calum Chambers umezidi kuimarika na ukiwaangalia hata ile mechi na Aston Villa ambapo Arsenal walibaki 10 uwanjani, leo walijitahidi sana kuwasiliana na kucheza kama safu ya ulinzi.

Davidi LUiz anaonyesha kwamba sasa ametulia tangu ahamie kutoka Chelsea na hata Nicolas Pepe nae amenza kutulia na kuelewa mtindo wa uchezaji unaotakiwa.

Nicolas Pepe ndie alietengeneza goli la Arsenal na David Luiz akafunga.

Mimi ni mpenzi wa Arsenal tangu mwaka 1996 hivyo nakueleza kutokana na uzoefu wa kuisoma timu yetu.

Hivyo basi naweza kukwambia kwamba Arsenal kwa sasa inaongeza "momentum" na tusiwe na wasiwasi.

Kuna dalili kwamba Arsenal ikipata ile timu yake ya kwanza yaani first 11 basi mambo yatakuwa motomoto.

COYGs!!!
Sisi ni wavumilivu mkuu tangu enzi zile, ngoja tumpe muda kocha.

Ila hongera kwa kurudi humu tena, manake ni kitambo hujaonekana.
 
Being 3rd, just 1 point behind City is good. But here is the thing, these kind of performances aren't sustainable over 38 games. We learn't this the hard way last season. Hopefully we go up a notch with Bellerin/Tierney/Holding back in action.
shaffihdauda_-20191006-0001.jpeg
 
Sisi ni wavumilivu mkuu tangu enzi zile, ngoja tumpe muda kocha.

Ila hongera kwa kurudi humu tena, manake ni kitambo hujaonekana.
Huyu kumvumilia tayari, maana wale mizigo wameondolewa, kaletewa wachezaji wazuri na bado Josh alisema January wanarud sokon

Shida timu haiperform vzr

Emery aimalishe timu kukaa na mpira kwanza,
 
Mkuu, Arsenal leo ststs zaonyesha imemiliki mpira asilimia 52.5

Kinachofanyika ni game plan - kupata goli la kwanza na kuumiliki mpira.

Pili kile kitu chaitwa "game management" yaani unahodhi mipira na kuziia msifungwe.

Timu kama Liverpol wanatumia hizi mbinu.

Ile game na Aston Villa pia ni mfano kwamba unaweza kubadili mbinu ili kutafuta magoli kwa nguvu.
 
Hujanishawishi bado mkuu, kwa miaka mitatu ya mwisho ya wenga mfululizo tulikuwa tumechokaaaaa.

Tukawa tunamsifu Mourinho kwamba he is a winner no matter what, winning in a smart way or winning ugly, at the end of the day we wanted points. Sasa hivi tumebadilika sasa. Eeeee wanaadamu nyie mbona hakuna la kuwaridhisha??

Ulisema, tunataka kurudi UEFA na hilo ndio lengo la timu, Leo imekuwaje tena?? Cant you see we are in a right track as a team???
 
Huyu kumvumilia tayari, maana wale mizigo wameondolewa, kaletewa wachezaji wazuri na bado Josh alisema January wanarud sokon

Shida timu haiperform vzr

Emery aimalishe timu kukaa na mpira kwanza,
Uko sahihi mkuu, Kama anaona Lt11 hamtaki Kama DM yetu basi amuuze amlete huyo DM mwingine ambaye anadhani atamsaidia kuliko hivi sasa kumtumia Xhaka nafasi asiyoiweza. Timu ikikosa namba 6 ya kazi kazi itakuwa ngumu kukaa na mpira. Mzee Wenger kipindi chake cha mwisho alipata tabu kutokana na kukosa namba 6 halisi, huyu UE wetu anataka kuturudisha kule kule
 
Shida ya emery hawez kumiliki mpira ,na hiyo ndio silaha ya kwanza ya kujilinda
Arsenal managed just 12 shots today with just four after the 35th minute. Just two attempts on target. AT HOME. Against Bournemouth.

Emery tayari anafahamika kwamba yeye ni defensive coach yaani kocha anaependa timu inayojihami sana.

Kwa mfano mechi na Man Utd ambayo tulitakiwa tushinde kirahisi yeye akawapanga wachezaji watatu wa kiungo Xhaka, Torreira na Guendouzi.

Arsenal wakatengeneza mashambulizi saba tu na yote hayo hayakutokea kwenye sehemu ya kiungo.

Mtindo huu ukwa unamzuia Nicolas Pepe kutengeneza mashambulizi baada ya yale ya Man Utd kuvunjwa na wachezaji wa kiungo.

Ilitakiwa wachezaji hawa wa kiungo wawe wanawasaidia Pepe na Aubameyang kushambulia na badala yake wakawa wanafuata mtindo wa Emery wa "Safety First approach" ambao ni wa kujihami zaidi.

Emery anatakiwa atengeneze mfumo mzuri ambao unamruhusu Pepe acheze anavyotaka na awe huru kupika mashambulizi kwa ajili ya washambuliaji wa kati Auba na Laca au Saka na Willock.

Tungoje mechi na Shefield United tarehe 20 baada ya international break tuone Arsenal ikipambana na timu hiyo ambayo nayo hupenda kujihami na kufanya counter attacks.
 
Uko sahihi mkuu, Kama anaona Lt11 hamtaki Kama DM yetu basi amuuze amlete huyo DM mwingine ambaye anadhani atamsaidia kuliko hivi sasa kumtumia Xhaka nafasi asiyoiweza. Timu ikikosa namba 6 ya kazi kazi itakuwa ngumu kukaa na mpira. Mzee Wenger kipindi chake cha mwisho alipata tabu kutokana na kukosa namba 6 halisi, huyu UE wetu anataka kuturudisha kule kule
Alimtaka nzonzi au banega , Sven akamkatalia ,akaletewa LT11 hamtaki ,

Na sababu moja wapo ya timu kutomiliki mpira ni kukosa namba 6 wa kuzuia

Wenger kabla hajaondoka aliomba namba 6, klabu ikamleta LT11 kipind emery anaingia ,

Yeye bado anakomaa na xhaka as DM ambaye kupitia xhaka tuna concede goals kibao ambazo zinazuilika
 
Emery tayari anafahamika kwamba yeye ni defensive coach yaani kocha anaependa timu inayojihami sana.

Kwa mfano mechi na Man Utd ambayo tulitakiwa tushinde kirahisi yeye akawapanga wachezaji watatu wa kiungo Xhaka, Torreira na Guendouzi.

Arsenal wakatengeneza mashambulizi saba tu na yote hayo hayakutokea kwenye sehemu ya kiungo.

Mtindo huu ukwa unamzuia Nicolas Pepe kutengeneza mashambulizi baada ya yale ya Man Utd kuvunjwa na wachezaji wa kiungo.

Ilitakiwa wachezaji hawa wa kiungo wawe wanawasaidia Pepe na Aubameyang kushanbulia na badala yake wakawa wanafuata mtindo wa Emery wa "Safety First approach" ambao ni wa kujihami zaidi.

Emery anatakiwa atengeneze mfumo mzuri ambao unamrhusu Pepe acheze anavyotaka na awe huru kupika mashambulizi kwa ajili ya washambuliaji wa kati Auba na Laca au Saka na Willock.

Tungoje mechi na Shefield United tarehe 20 baada ya international break tuone Arsenal ikipambana na timu hiyo ambayo nayo hupenda kujihami na kufanya counter attacks.
Kweli umeeleza vzr sana ,nimeona hata kina James benge wakilizungumzia hili unalosema,

Emery KWA kweli inabid abadilike haraka , timu kubwa msimu huu hazipo sawa , hata huyu Chelsea hayupo vzr ,
 
The Pepe change was wrong, he wasn’t having a great game but Rico was always sitting back aware of Pepe threat.
 
Back
Top Bottom