Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
No one on the pitch made more tackles than Gabriel Martinelli (4) against Bournemouth today. He only played half an hour.
Dah jamaa anaimarika kila kukichaBeki wa kulia Calum Chmbers itakuwa vigumu sana kukaa bench.
Wiki ilopita alimweka kapuni Daniel James wa Man Utd na kuhakikisha hakurupuki.
Leo tena akamweka kapuni mshambuliaji wa Bournemouth Josh King na kumfanya awe wa kawaida sana.
Chambers apia alikuwa akipanda mbele na kurudi kuonyesha wazi kwamba anaweza kucheza nafasi hiyo na sio tena Hector Bellerin.
Hivyo tayari nafasi ya beki wa kulia ina washindani.
Safi sana hiyo.
![]()
Picha na Justin Setterfield.
Hahahahaha ngoja ucheze nae mkuj..hiyo soton iliyojichokea?
Baba labda uhesabu siku za shule kufunguliwa mwanao arudi masomoni.Ninyi tunawahesabia mechi..
Another nigga with hands on head like he is thinking "Wow we are not that good h3ow the fvck are we pullinv this off?"Picture of the dayView attachment 1225393
UNAI EMERY ALIPEWA MKATABA WA MISIMU MIWILI TU!!!Hii timu tia maji tia maji