Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Goals conceded by Big Six Teams this season (all comps)

Tottenham
Chelsea
Liverpool
Arsenal
Manchester City
Manchester Utd
 
Huu mwaka inatakiwa huyu Tottenham tuwe mbele yake kwenye msimamo kwa kila namna maana naona majanga yanazididi kuwaandama
Screenshot_20191005-163709.jpeg
 
Kikosi cha Arsenal kilichocheza na Man U kingecheza na Brighton ya leo tungefungwa.

Siyi siri tena kua mpira wa siku hizi viungo ni muhimu mno. 3 5 2 ya Brighton haina tofauti na 3 4 1 2 tuliyokua tunacheza sisi, lakini sisi tulifeli wapi? Tulifeli pale tulipotarajia kiungo Guendouz afanye kazi ya punda.

Tukataraji Elnenny afanye makubwa. Tulikosea. Leo hii tuna option ya viungo nyingi yet hatuwezi kuexploit our full potential what the fvck is this? Tunacheza na Man U kiungo kipo nyang'anyang'a. Ulikua upuuzi.

Isingekua beki ghali duniani kukimbia majukumu tungekufa kamoja vizuri tu. Overall kiungo chetu hakina connection, some people might watch a single game and they'll say tusipouchukua ubingwa basi tumelogwa. Wanasahau hata mechi tulizoshinda tulishinda ushindi mwembamba tena kwa juhudi za strikers.

Watford wakasawazisha simply kwakua ghafla kiungo chetu kikabadilishwa yakaingizwa maandazi. Tukafosi suluhu na Tottenham baada ya kiungo mmoja kufosi kingi. Tukafungwa na Liva baada ya kiungo chao kutuoutshine easily.

So kama kuna mtu ana matumaini ya kombe basi labda atumainie Carabao, tena hiyo ni baada ya kuwatoka Liva. Why hadi kuwatoka Liva? Kwakua again tunakutana na timu inayoongozwa na kocha anayeamini katika kuimarisha kiungo.
 
Mkuu nafurahi sana nikuonaga comment zako,hasa hapo katka para yako unayosema kuwa isingekuwa kosa la beki ghali kukimbia majukumu basi tungefungwa moja bila,sawa nakubali

ila mpira au soka halipo hivyo kama unavyojiaminisha,daima mpira ni mchezo wa makosa ,unapofanya kosa unaadhibiwa kwa kufungwa....maana hata wao walitumia makosa ya wachezaji wa arsenal kupata goli, HIVI YULE GRANIT XHAKA KAMA ASINGEKWEPA ULE MPIRA ULIOPIGWA NA SCOT MC TOMINAY NA WAO WANGEPATA GOLI?

tulifanya kosa tukafungwa na wao wakafanya kosa tukasawazisha .....hakuna timu zitakazofungana kama hakuna makosa yatakayofanyika....

lakini pia ukiwa unaona madhaifu ya beki usisahau kuangalia uimara wa mfungaji,

katika maeneo mengine tupo pamoja....
 
Boss kiukweli Granit hakuukwepa ila ile ni instinct reaction akitumaini anaugonga kichwani.

Sikatai mpira ni mchezo wa makosa ila kwenye equation tusiweke makosa kwakua sometime makosa yanaweza yasifanywe so badala yake inabidi tutegemee juhudi na maarifa ya wachezaji wetu. Nelson, Willock na Saka namuamini mno Saka kwakua yeye juhudi na maarifa vimo kushinda hao wawili.

Tuinahitaji ushindi zaidi, yeyote anayetuzuia haina sababu ya kuzunguka naye.
 
A chance for us tomorrow to go 3rd. Confident we will win it because it’s at the Emirates. We won’t get a better chance to get back to the champions league football than this season.
IMG_20191005_210932.jpeg
 
Kama nyinyi mlivyopigwa kwa Morata?
Na nyinyi mkawapiga kwa Courtois na Hazard.

Julio Kihwelo aliwahi kusema mchezaji mzuri akipigiwa pasi tu namna anavyoipokea utajua tu kama huyu ni player. Sasa muangalie Pepe.
Pepe ni Gevinyo aliyechangamka, pale tumepigwa
 
Tupo nafasi ya sita. Kesho tutaenda kucheza na timu ipo nafasi ya kumi. Tukishinda tunakwea nafasi ya tatu wao wakishinda wanafika nafasi ya nne.

Hii ni vita.

Timu za midtable zimegundua namna yao ya kucheza na timu zinazotambia majina na pesa za usajili. Wamegundua kua ukiwabana sana nyuma wanakua frustrated wanajisahau unapiga counter unamaliza shughuli. At the same time katikati paminywe.

Man City kaonja hiyo dawa. Man U kaionja hadi sasa kazoea. Tottenham ni shuhuda mbichi aliyepasuka kwa mtindo huo wikiendi hii.

So kesho tunakutana na midtable Bournemouth na kiukweli natamani kikosi kiwe hivi... Tierney (LB) Holding (CB) Mustafi(CB) Bellerin (RB), Xhaka (CMF) Torreira (CMF) Ceballos (CMF) Pepe (SS atokee kulia) Auba (SS atokee kushoto) Martnell (CF)

Lacazette kwakua kapona (Arsenal IG page) kufikia dakika ya 60 hivi Martnell atampisha Laca, kisha Laca atakaa kwa Auba halafu Auba atakaa kwa Martnell.

Chambers standby kumreplace Bellerin au Mustafi. Ozil standby kumpokea Ceballos. Hawa wakina Nelson, Willock na Saka wasubiri kwanza baba zao wafanye kazi.

Man U wako na New Castle na sioni wakishinda. Siyo kwavile Newcastle kali hapana ila kwakua Man U hawana striker, so binafsi natarajia suluhu zaidi au wao kufungwa unless refa awabebe kama ndugu zetu Liva.
 
Kaka unaotaaa mchana kaka.

Hivi Guendouzi kakosea nini???😛😛😛😛😛😛

Hicho kikosi haiwezekani hata kidogo na utakuja kuniambia hapa.
 
Hahaha hajanikosea. Ila dah ebwana akitoka Emery kutekwa na Guendouz unafuata wewe kisha kuna shabiki mmoja wa Man U hua naangalia naye mpira basi ukipoint udhaifu wa Guendouz jamaa atamwaga sifa hutaamini kama anashabikia Man U.
Kaka unaotaaa mchana kaka.

Hivi Guendouzi kakosea nini???

Hicho kikosi haiwezekani hata kidogo na utakuja kuniambia hapa.
 
Sawasawa mkuu
Tupo nafasi ya sita. Kesho tutaenda kucheza na timu ipo nafasi ya kumi. Tukishinda tunakwea nafasi ya tatu wao wakishinda wanafika nafasi ya nne.

Hii ni vita.

Timu za midtable zimegundua namna yao ya kucheza na timu zinazotambia majina na pesa za usajili. Wamegundua kua ukiwabana sana nyuma wanakua frustrated wanajisahau unapiga counter unamaliza shughuli. At the same time katikati paminywe.

Man City kaonja hiyo dawa. Man U kaionja hadi sasa kazoea. Tottenham ni shuhuda mbichi aliyepasuka kwa mtindo huo wikiendi hii.

So kesho tunakutana na midtable Bournemouth na kiukweli natamani kikosi kiwe hivi... Tierney (LB) Holding (CB) Mustafi(CB) Bellerin (RB), Xhaka (CMF) Torreira (CMF) Ceballos (CMF) Pepe (SS atokee kulia) Auba (SS atokee kushoto) Martnell (CF)

Lacazette kwakua kapona (Arsenal IG page) kufikia dakika ya 60 hivi Martnell atampisha Laca, kisha Laca atakaa kwa Auba halafu Auba atakaa kwa Martnell.

Chambers standby kumreplace Bellerin au Mustafi. Ozil standby kumpokea Ceballos. Hawa wakina Nelson, Willock na Saka wasubiri kwanza baba zao wafanye kazi.

Man U wako na New Castle na sioni wakishinda. Siyo kwavile Newcastle kali hapana ila kwakua Man U hawana striker, so binafsi natarajia suluhu zaidi au wao kufungwa unless refa awabebe kama ndugu zetu Liva.
 
Kwasasa GUE anaisaidia sana timu, huwezi kumcopare huyu na yule wa msimu uliopita

Back
Top Bottom