Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

wachezaji arsenal wengi ni mechi moj kachez vzur mechi inayofat ka flop ,yani inakua ngum kujua kam leo atachezaj nd mana kil mshabik w arsenal ana XI yake pa 1 n unai.
 
100% I would start Martinelli over Saka today.... il go for Martinelli, Auba & Pepe as our front 3 Saka has had 2 starts in a row and has been ok but I feel Martinelli deserves his chance now
 
Tierney on leaving Celtic:

"It has been hard, people probably think ‘he just moved for this reason or that reason’ but they don’t realise it was a big thing for me. I don’t have to explain my love for Celtic, everyone knows it’s my club & the club I’ve supported all my life"
IMG_20191004_225010.jpeg
 
Hector Bellerin and Kieran Tierney look set to be in contention to make their first Premier League appearances of the season.
IMG_20191006_110550.jpeg
 
Pepe anahitaji muda zaidi wa kucheza ili kupata uzoefu kuna wengine wanachukua muda kidogo na wengine wanahitaji muda mrefu,
Lakini kila mchezaji anahitaji muda anapofika hapa.

Pepe ni muhimu kwetu kama walivyo wachezaji wengine ajiamini na asijali kuhusu pesa alizonunuliwa au kuhusu maneno ya watu maana hii ni club kubwa usipofanya vzr lazima watu waongee ila nina uhakika Pepe ni mchezaji mzuri sana na ataendelea kuwa hapa na nina uhakika atakuja kufanya makubwa ila anahitaji muda, wachezaji wengi wanapokuja hapa miezi ya kwanza au mwaka wa kwanza huwa c rahic kwao lakini nitaendelea kufanya nae kazi na kuhakikisha anakuwa sawa.- Unai Emery
IMG_20191005_210936.jpeg
 
Ozil .

Mechi iliyopita pale OT kocha wa Arsenal Unai Emery katikati ya kiwanja alikuwa na viungo watatu kwenye mfumo wake wa 4-3-3 , na viungo wa tatu wa kati walikuwa kwenye mstari mmoja mnyoofu ( Straight line ) sio kwamba mmoja chini ( deeper) na viungo wawili mbele yake ( Two advanced Central Midfielders ) na hao viungo wote wana sifa zinazofanana, matokeo yake safu ya ushambuliaji ikakosa huduma yenye ubora unaostahili .

Lakini ukirudisha mkanda nyuma kipindi cha kwanza Vicarage Road dhidi ya Watford , Mesut Ozik alikuwa ana ' run the show ' Pasi zake, Movement zake, kujua nini kinaendelea mbele yake , kutambua movements za washambuliaji wake na kujua muda gani wa kuwalisha wamaliziaji kabla ya Unai kuamua kumtoa kipindi cha pili na tunajua nini kilitokea.

Ndio wapenzi wengi wa soka tunajua Ozil ana matatizo yake, lakini siamini kama Arsenal sasa wanauthubutu wa kuona kwamba wanaweza kutengeneza nafasi za kutosha zilizo bora bila ya Mjerumani huyo tena dhidi ya timu ambazo eneo la robo tatu ya mwisho ya uwanja wanazuia vizuri , hapo ndio unahitaji ' Magic ' ya Ozil kutumia ufungo sahihi ili afungue hiyo safu ya Ulinzi ya timu pinzani.

Mechi ya Watford Ozil kwa dakika alizocheza alicreate chance za magoli 6 , kabla Unai hajamtoa ,na kuwaingiza wale watoto Wanaokimbiakimbia .


IMG-20191003-WA0017.jpeg
 
Seen on Getty Images in training yesterday (5/10/19)

G: Leno, Martinez, Macey

D: Tierney, Sokratis, Maitland-Niles, Holding, Mustafi, Chambers, D. Luiz, Kolasinac

M: Ceballos, Özil, Torreira, Willock, Guendouzi, Xhaka

F: Aubameyang, Pépé, Nelson, Martinelli, Saka

#ARSBOU
IMG_20191005_210939.jpeg
IMG_20191005_210941.jpeg
 
Arsenal predicted lineup (4-3-3): Leno; Chambers, Sokratis, Luiz, Kolasinac; ceballos Xhaka, Guendouzi; Pepe, Aubameyang, Saka.
 
Kama nyinyi mlivyopigwa kwa Morata?
Na nyinyi mkawapiga kwa Courtois na Hazard.

Julio Kihwelo aliwahi kusema mchezaji mzuri akipigiwa pasi tu namna anavyoipokea utajua tu kama huyu ni player. Sasa muangalie Pepe.
Morata tulirudisha pesa ..yan hakuna loss wala profit ..ila uyu Pepe kwa kweli Lile wamewanyoosha vilivyo ..ni bonge la khasara pale..

Kiufupi arsenal kuanzia kocha mpka baadhi ya wachezaji tumepigwa
 
Morata tulirudisha pesa ..yan hakuna loss wala profit ..ila uyu Pepe kwa kweli Lile wamewanyoosha vilivyo ..ni bonge la khasara pale..

Kiufupi arsenal kuanzia kocha mpka baadhi ya wachezaji tumepigwa
Kazi unayo dadeki. Na mshukuru Madrid hawataki tena biashara na nyinyi wangewatwisha zigo jingine mhangaike nalo.

Kuhusu Pepe na Emery kua tumepigwa yaweza kua kweli ila wewe mwenye kocha na wachezaji visiki mpo nafasi ya tisa sisi tuliopigwa tupo nafasi ya sita huku tukiwa na option ya kufika nafasi ya tatu which am saying we are fvckin taking it.

Angalia vumbi ninalokutimulia....
 
Back
Top Bottom