huyu anajilipua,nimeona kuwa kuna kitu anakitafuta ambacho anakiamini na ikiwa kitafanyika kama ambavyo yeye alivyoplani itakuwa poa sana kwake ingawa nahisi kama anaweza akachukua muda na timu hizi sio z kuvumilia sana.........anweza kuoneshwa mlango wa kutokea soon***** sema emery mbishi
Shida sio kubadilisha , tatizo unabadilisha ili iweje ,mfano sasa laca hayupo, why dogo asichezeI agree with you. Tena I would start him as a CF na auba akacheza kushoto na pepe kulia.
Tatizo asipo-perform ni sisi sisi tutaanza kumnanga Unai kwamba anabadilisha sana kikosi
Hakuna kocha hapoNa xhaka wake
Kwa muhind emery kawaida sanaTukichezea advantage ya Jana losses for spurs,west ham and Leicester tutakuwa tumekosea sana
Mshindwe nyinyi tuJana mmetuwekea mazingira ya top 3
Hua nacheka sana nikimuangalia Emery na kipua chake ka bamia.Kwa muhind emery kawaida sana
Mkuu Leo angalau tumecheza vzr kiasi chakeHii timu ina shida aisee ata sijui tunacheza mpira wa aina Gani.