Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Another win
Another three points
Another clean sheet
#UEL
Another win
Another three points
Another clean sheet
#UEL

#UEL
Willock ana afadhali nelson ndo hamna kitu wa turudishe nketiaMartinel na Saka
Hawa ndio watoto ninaowaelewa Sana
Ila willock na mwenzake Nelson wanatakiwa watolewe loan
Mechi mbili goals 4 na assist 1Vitoto vya malkia vitasubiri sana hapa kwa martinell lile goli la kwanza inaonesh kazaliwa kufunga.
Namba yake halisi ni LW, lakini anazicheza vzr kabisa CF & RW
Mechi 2
2 goals & 1 assist
Kakosa magoli matatuMbona pepe hajacheza vibaya kwa dakika hizo, na sijaona alichokosea ,
Alafu kamsukuma martinelli alivyo ruka cross iliyopigwa na aubamayeng yaani pepe hamna kituKakosa magoli matatu
Krosi fyongo moja.
Pasi fyongo zaidi ya moja.
Komedi ndani ya box 2.
Kwa haraka hizo ndiyo nazikumbuka.
Hahaha mbona Tierney alimfuata mshkaji huku kadinda?
Alafu kamsukuma martinelli alivyo ruka cross iliyopigwa na aubamayeng yaani pepe hamna kitu
Aisee umeangalia wapi MPIRA,?Kakosa magoli matatu
Krosi fyongo moja.
Pasi fyongo zaidi ya moja.
Komedi ndani ya box 2.
Kwa haraka hizo ndiyo nazikumbuka.
Huu ni uongo mtakatifuKakosa magoli matatu
Krosi fyongo moja.
Pasi fyongo zaidi ya moja.
Komedi ndani ya box 2.
Kwa haraka hizo ndiyo nazikumbuka.